Picha: DJ choka umri umeenda unajua

Picha: DJ choka umri umeenda unajua

Mweeeee! Sasa naanza kuamini kuwa mtu ukiwa na mwili mkubwa akili zinapungua....kwa hiyo wakati mwenzake anaposti picha yake ya asubuhi akitoka kuamka ye anapost chupi ya mkewe.......hatari...

Ana act vituko wakati hata havimfit jitu zima linakuwa ovyo alaf naskia kwa mizinga balaa hata wanamziki wa dance hawaon ndan na tu miguu twake kama kale kanajiita mbuta nn cjui
 
Huyu jamaa ovyo kweli mi nilikuwa namfollow insta ila kuna siku akaposti chupi ya mkewe ikiwa ina tumavimavi na tudamu nika mu an follow cku hyo hyo alaf mi namuona kama mshamba flan hv mi jitu la wapi hili jaman mbona kama ana tuelement twa u beche hv kazi kujipendekeza kwa wenye vyao anaboa na lipua lake kama aurus mabele xvfsjnugdjisan zake maku huyo

Anapenda sana kujipendekeza kwa mastaa yani kila event yeye yupo, nakumbuka hadi kwenye vugu vugu la anaconda alikuwa mpambe wa jide kesho tena yupo kwq mwana fa, juzi kati tena namuona kwenye tour za kili , yani jamaa linaboa kama toto mambo yake , anashoboka sana na mastaa mpaka kero, sijui kuna msanii gani apa bongo hajawaho kupiga picha na choka, yani yule mzee shobo nyingi sana
 
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu............
Nani kasema......mashavu yameshaanza kuchuma kunde afu we unamuita M-bebi!™
Yule ni kikongwe....wamecheza vikopo pamoja na Le Mutuz

h hahahahah asante jf
 
Mweeeee! Sasa naanza kuamini kuwa mtu ukiwa na mwili mkubwa akili zinapungua....kwa hiyo wakati mwenzake anaposti picha yake ya asubuhi akitoka kuamka ye anapost chupi ya mkewe.......hatari...

Juzi kapost yupo swimming na demu kavaa chup1 tu , nikasema hili jamaa linajielewa kweli halafu limeoa
 
Ana act vituko wakati hata havimfit jitu zima linakuwa ovyo alaf naskia kwa mizinga balaa hata wanamziki wa dance hawaon ndan na tu miguu twake kama kale kanajiita mbuta nn cjui

sina mbavu jamani mimi
 
Choka hajachoka jamani choka akichoka ataachamwenyewe
 
Ha.haa.haa. Sii BURE... lazima DEMU wako kamfagilia so unaogopa utagongewa siku si nyingi....
 
anamuiga le big show le mutuz...
hivi ni dj wa club au redio gani?

Huo U DJ sijui anaufanyia wapi naona kutwa anazurula na wasanii , halafu sijui kama kuna msanii hajapiga naye picha huyu maana ana shobo sana na mastaa
 
"Mwenye mke halalamiki, nyie mnapiga kelele, yanawahusu nini?" Nukuu kutoka kwa Marehemu Ramadhani Mwishehe Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, siku anaongea na Waandishi wa Habari Dar es salaam! Chanzo cha kauli ni pale Waandishi wa Habari walipokuwa wakimsakama kuhusu tuhuma za Braza Ditto kutoka na mke mtu!!!

Na wana-JF mmeng'ang'ania DJ Choka ana mke, ana mke... kwani huyo mkewe kawalalamikia, au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom