Picha: DJ choka umri umeenda unajua

Picha: DJ choka umri umeenda unajua

Ulie leta trend hii nahisi unamatatizo mengi sn kwani raha na umri vinahusiana vipi???mshikaji upo vizuri pia hakuna panapokataza eti kwakuwa unafamilia ndo uache kula raha.Raha zinasababishwa na kipato mtu apatacho huoni ulaya wazee wa miaka tisini wala kula raha???au hujafikiria bi kwasababu gani??sababu ni pesa.
 
Wateva man but t is wat it is....alafu naona akili zako na zake ni zile zile so i wont argue....
 
kutokana na hiyo link naomba niijue jinsia ya warumi

aaaha ahahh ahaaa, wewe nae umbea tu, hiyo niliandika mda sana, kipindi hicho nikiwa bado sijafahamika, hata sitaki kuisoma tena maana naona soo, it was a kind of too much nadhan unaelewa, so achana na yule warumi bhana.

Ni kawaida sana, inatokea hata kwa wasanii maarufu, mtu ukijulikana watu watatafuta sababu/vitu vya kukufedhehesha ili urudi nyuma but nimesoma vitu vingi sana i know psychology, so ninaweza kuimudu hii hali.
 
Last edited by a moderator:
warumi

Huyu jamaa ovyo kweli mi nilikuwa namfollow insta ila kuna siku akaposti chupi ya mkewe ikiwa ina tumavimavi na tudamu nika mu an follow cku hyo hyo alaf mi namuona kama mshamba flan hv mi jitu la wapi hili jaman mbona kama ana tuelement twa u beche hv kazi kujipendekeza kwa wenye vyao anaboa na lipua lake kama aurus mabele xvfsjnugdjisan zake maku huyo

Haaa haaa haaaaaa haaaa.....duh mbavu zangu jamani
 
Last edited by a moderator:
Ana act vituko wakati hata havimfit jitu zima linakuwa ovyo alaf naskia kwa mizinga balaa hata wanamziki wa dance hawaon ndan na tu miguu twake kama kale kanajiita mbuta nn cjui

Hahaha eti tumiguu kama twa mbuta nanga mwee
 
Simchukii i hate the fact anakaa na wanawake kutwa while she has a woman and a kid...anamfundisha nn mwanae

Whle she has tena?kama hujui tumia lugha mama mbona tunaelelewana tu.....mwisho kabsa fanyeni yenu kila mtu na maisha yake
 
Nimetoa marekebisho hapo usitake kujifanya we mkewe...mxiiiiuwwww umeamka kwake nn...asubuh asubuh duh...
 
Mm namfollow dj choka ananifurahisha kwa kweli na kauli zake za nitalala uzeeni! Life has no formular and it is too short so have fun guys....
 
Kama dj choka mkubwa je Le mutuz tumwite kikongwe!? Waacheni wale maisha Jamani ukifa haurudi!! DJ Choka kula bata mdogo wangu

- Salute maan tukutane Instagram Party Mwanza October 4 at Jembe ni jembe Club U know!!, juzi Miss Redds Ilala 2014 kama kawaida yangu sold out at Kempisk Hyatt so tunasonga mbeleee U know!!

- Le Mutuz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom