Picha: DJ choka umri umeenda unajua

Picha: DJ choka umri umeenda unajua

-Na mzee wako tumuulize nini kaka maana unatakiwa kuanza na mzee wako au huna au hana elimu ndio maana hajulikani? Maana wazee wote wa zamani wanaojulikana huwa wana elimu sana U know au? hahahahahah

Le Big Show

The Mutuz achana nao hao, watu kama hao tunawapuzia! hapa mjini mwendo wa kula bata na mitikasi! #teamLeMutuz
 
Mm namfollow dj choka ananifurahisha kwa kweli na kauli zake za nitalala uzeeni! Life has no formular and it is too short so have fun guys....
Mbona ni kijana tu,huyu marehemu alikua,ana mchukia tu kaka wa watu hana baya,mcheshi mno ,amejawa na upendo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom