PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

mkutano wa ccm umejaa watoto.Na watendaji wa ccm wameanza kuuza maeneo ya jamii huko ukonga
 
mkutano wa ccm umejaa watoto.Na watendaji wa ccm wameanza kuuza maeneo ya jamii huko ukonga

Watoto hao wameona chupi ya Dimond, wamesikiliza matusi ya Seif Khatibu kuwa CDM inaongozwa na wazinzi, viti maalum vya CDM ni zawadi ya kutoa ngono na kitanda na siku CUF imepigwa mimba Seif anaijua. Wazazi wakatazeni watoto wenu kwenda kwenye hii mikutano. It is dangerous!!!
 
Natamani kesho magazeti yatoe picha kwa style hyo na maelezo machache tu bila kutia chinvi
 
Watu walikwenda kumuona huyo domo na kata k yake, ccm hatudanganyiki!
 
Tamasha la muziki wa bongo flava vs Chadema!Nguvu ya umma kamwe haikamatiki!
 
Watanzania ni asili yetu kujazana kwenye mikutano,ni katika starehe zetu. Msema kweli ni sanduku la kura.
 
376162152.jpg
 
Kwa kweli MACCM yamechokwa kuliko kawaida pamoja na kurushwa na TBC imetusaidia kusoma moods a watanzania waliokuwa kwenye mkutano wao kwanza walikuwa hawatangamani na wazungumzaji,walichoka walikuwa hawahamsiki,ilikuwa tabu kuitikia salamu ya CCM hoyee,Wa mama wale wanene pale mbele ya viti walijichokea walikuwa wanaongea kuliko kawaida,wote walikaa kwenye viti,manake ilikuwa mbinu ya kuonyesha wamejaa ukweli hawakuzidi 200 ukichanganya na atoto waliozunguka pembeni mwa viti,ukiangalia kwenye mkutano wa CCM, walijaa watu wazima na wa chadema ni vijana wanaochukua asilimia 70 ya wakazi wa Tanzania, kwa kweli CCM wangeacha kuchonga kuhusu chadema wangetafuta mbinu ya utekelezaji wa ahadi zao, haitoshi kusema ahadi zimetekelezwa sana kila kata kila kijiji wakati ni propaganda na hilo linaumiza wananchi,embu anagalia mkutano wa vijana wabunge bila katibu mkuu umeshona namna hiyo
Naamini Kinana ameenda morogoro kuwatafutia mashamba waarabu au wachina na wahindi s kitu kingine wana moro angalieni mutavuna mabuwa
 
Napendaga sana ule wimbo unaoimba "operesheni sangaraa... yakomesha mafisadiiiii", naule mwingine unaoimba " Arumeru wote tulianza na mungu....tukamaliza na Muungu...."
 
Startv iliyoko pale Mwanza kwenye taarifa yake ya saa mbili usiku haijatangaza mkutano wa Chadema uliofanyika Mwanza,badala yake ikatangaza ule wa Morogoro wa Kinana na watoto wa shule za msingi!!! Diallo at work.
 
Mwana diwani unaweka picha za uchaguzi weka za leo KInana aibu tupu tumeona TBC aibu kwa katibu mkuu anatia huruma angalia huu wa vijana


400741_504897529557565_1750389005_n.jpg
 
There are currently 319 users browsing this thread. (73 members and 246 guests)

tehhh..... vijana wa lumumba kishaaa habari yao, single za udini , uchaga, ukanda, ugaidi, chama cha vurugu naona zimekosa wasikilizaji... tehhh RIP MASISIEMU.

HAYA NDIYO MANAYOYAWEZA
1. WIZI WA RASILIMALI ZA WATZ
2. MIAKA 51 MNAHUBIRI SERA TU
3. RUSHWA NA UPENDELEO KATIKA NAFASI MBALIMBALI
4. UCHAWI
ETC
5. MNAZIKUMBUKA AHADI ZENU HZI, HATUJASAHAU......


AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...


1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36. Kulinda haki za walemavu - Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha


 
Hoa wana-morogoro hawakwenda kumsikiliza kinana na ujumbe wake bali walikwenda kupata burudani ya musiki isiyo na kiingilio. Tunajua jinsi wananchi wengi wa morogoro walivyopigika kimaisha: Kulipia kiingilio kumuona diamond wataweza wapi? Wakiandaliwa tamasha la bure, kwa nini wasihidhurie? Tumeona makamanda walivyofunika mwanza. Na hapo hajatia mguu dr. Slaa! Kinana ni walewale wanaotapatapa. Propaganda zao zote zimegonga mwamba, na cha moto wanakiona. Wamejiingiza kwenye kona mbaya, hawana pa kuchomokea. Wamekwisha.
 
Back
Top Bottom