PICHA: Chuki ya Dola dhidi ya wananchi inatoka wapi?

PICHA: Chuki ya Dola dhidi ya wananchi inatoka wapi?

Salum mwalimu naibu katibu mkuu zanzibar na wenzake 17 wamenyimwa dhamana had I tarehe 30.. Uvumilivu unamwisho wake tukutane September 1
hao huenda wakatolewa rumande baada ya tarehe 1 septemba. lengo wasiweze kushiriki kwenye ukuta. bado viongozi wengine wachadema wataendelea kukamatwa na kuswekwa rumande...
 
Ukweli wa hizi picha ni huu hapa
image.jpg
 
Ninaomba ccm iache kutumia polisi kupambana na wananchi kwa jinsi isivyo halali.

Halii hii inamadhara mapana na maerfu kuliko yanavyoweza kudhaniwa na wapiga debe wa ccm mtandaoni.

Polisi wanawajibu wa kulinda watu na mali zao. Wanapashwa wawe rafiki wa watu wema ili wawe chombo kimoja.

Ninasikitishwa na baadhi ya wasemaji wa jeshi la polisi kuongea masuala mazito kwa wepesi usiomithilika. Wanasema suala la ulinzi ni kazi ya polisi hviyo raia hawahitaji kufanya ulinzi, bila kukukmbuka kwamba jeshi la polisi linaaskari wasiotosha kulinda kila raia ama kuwa katika sehemu zote Tanzania kwa wakti mmoja. Inavunja moyo na kuwaweka raia mbali na polisi.

Kitendo cha polisi kujibainisha kama kikundi cha utetezi wa ccm, kinaongeza kutokuaminiwa na kubaguliwa kwa jeshi katika jamii. Ninanomba uongozi wa jeshi letu, utathimini kama ni halali kulinda maslahi ya ccm na kuacha kusimamia ualama wa raia na mali zao.

Ninasikitishwa sana na mauji ya Askari wetu ambao hawana hatia. Wako katika kazi lakini wanashambuliwa na watu wenye nia ovu.

Ninaomba jeshi la polisi lisifanye maamuzi na tathimini za kisiasa kwamba eti vyama vya siasa ndiyo vinafanya haya. Huu ni udhaifu wa kulenga shabaha.

Historia ya Iraq, Syria, Libya, na kwinginevyo kote kulikovamiwa na makundi ya kigaidi, kulianza kwa kutumia fursa za serikali kupambana na wananchi wake.

Ni vizuri sana intelijensia ya polisi ikalitazama hili kwa umakini. Tumesikia na kuona clips kadhaa ambazo si za kudharau za watu kujiumba kigaidi. Hawa atu bila shaka wanaweza kutumia mwanya huu ambapo serikali imeelekeza nguvu kubwa katika kupambana na raia wasio kuwa na madhara yoyote kwa srikali, wakafanikisha malengo yao ya kigaidi kama ilivyokuw akwa nchi za wenzetu.

Hakuna uchochezi katiak kukumbushana kuheshimu katiba ambayo ndiyo kiongozi cha maisha ya Watanzania katika nchi yao. Ninadhani kama tunaona katiba iliyopo imepunguza madaraka ya maamuzi ya viongozi, ipekelwe miswada bungeni ili sheria zirekebishwe na zijumulishe maamuzi yote yanayotolewa na viongozi ni halali na hayatakiwi kuhojiwa.

Lakini pia, bado tunaweza kukubaliana kwa njia salama kwamba kuanzia sasa nchi hii itakuwa ni ya utawala wa kifalme na haitakuwa na raisi tena. Watu watajua na wataishi kwa mfumo huo.

Sasa tuna katiba, inapokosewa hairuhusiwi kuhojiwa, mwisho wake ni kujichanganya na kupoteza mwelekeo.

Ninaomba serikali isiendelee kuchukia raia na kuingia vitani na wananchi wasiokuwa na hata wembe mkononi. Kwa kufanya hivyo wanachochea chuki kati ya serikali na wananchi.

Ccm iache kutumia polisi kama jeshi la kulinda uhai wa chama. Kwa kufanya hivho ccm na polisi kwa umoja wao wanachochea chuki kati ya makundi ya kisiasa nchini. Na hii ni hatari kwa sababu, kunakuwa na tensions na kutuhumu wale wasiopendelewa na jeshi la polisi kuwa ndiyo wanaendesha uharifu.

Sasa tunasubiri kanusho la serikali juu ya mikutano ya siasa kutengeneza uhalifu baada ya hao waliokamatwa mbagala.

Lingine, ninaomba Jeshi letu la polisi liache kufanya kazi za ccm. Ccm ina makada wake kama vilivyo vyama vingine vya siasa. Waachwe ccm wajisimamie wenyewe polisi wasimame kama wlainzi wa usalama wa watu na mali zao. Ninawasiwasi mkubwa maadui wa taifa wanasoma nyendo zenu. Mnapokuwa mnajikita kufanya kazi za ccm, waharifu wanatumia huo mwanya kutekeleza uharifu kwa kuwa wanaona sasa mko busy kupigana na wapinzani wa ccm.

Ninaomba Jeshi la polisi liwahurumie vijana wetu wanaothirika na uharifu. Lirudi kwenye mstari, mjipange kupambana na uharifu ili kuziba mianya ya waharibu wanayoitumia pengine kwa kuona mnaeleekza nguvu kupigana na raia kwa maslahi ya ccm.

Jeshi la polisi liache kauli za kuwavunja mioyo raia kwamba ulinzi ni kazi ya polisi raia hawatakiwi wakati siyo kweli. Raia ndio wanaoishi na waharifu. Rudisheni utaratibu wa awali uliokuwa unamotivate raia kushirikiana na jeshi l apolisi katika kupambana na uharifu.
Mkuu Tabby, je tuna Jeshi la Polisi? Angalieni isije ikawa tunao makada wa CCM na Green Guard waliopandishwa vyeo...
  • Wale wa juu wamepewa Uwaziri
  • Wanaofuatia wamepewa Ukuu wa Mikoa
  • Wakafuatia waliopewa Ukuu wa Wilaya
  • Wa chini yake wakapewa Ukurugenzi
  • Wa chini kabisa nahisi wamepewa Uafande
Je kuna yeyote amewahi kujiuliza hawa hapa chini hivi sasa wako wapi?
6.+Mwigulu+(4th)+na+mgombea+wakitroti+na+Green+Guard.jpg


Waziri huyoo...!

DSC09875.JPG

Waziri mwingine huyoo...!

Green-Guard.jpg


Hawa walitapakaa nchi nzima...je sasa wako wapi?

hqdefault.jpg


Zanzibar... Green Guards katika mazoezi

Green+Guard1.jpg
5118893.jpg


Hata watoto wadogo walifundishwa kwa staili hiyoo...!

ccmm.jpg


Angalieni vizuri hizo sura...!

hqdefault.jpg

Green Guard wakimcharaza mwananchi viboko...!

​
 
Napata shida kuweza kutambua adhma ya walioko kwenye dola dhidi ya wananchi wanao ongozwa.

Katika hali tulionayo hivi sasa ya matukio ya kutisha, naona haja ya dola kuboresha na kuimarisha mahusiano na wananchi wake ili kuweza kupambana vyema na matukio ya sasa. Ila cha kushangaza inaonekana kuna vitu vinafanyika kwa lengo l kukomoa wengine bila kujua kuwa yanatengeneza chuki baina ya pande mbili.

Nini mantiki ya haya ya ziada ikiwa mtu amekili kosa na taratibu za kisheria zipo?

Tuwe makini sana.

View attachment 388203
View attachment 388202View attachment 388201View attachment 388200
View attachment 388199

View attachment 388198

View attachment 388196
Picha hizo moja ndo halisi zingine feki tupu angalia Hilda amepigia nyumbani kwake na hapo chini kuna kandambili na kiti cha kienyeji. Danganya pimbi siyo wanaojitambua!!
 
Hilda ana mwili bomba sana kwa mwanamke wa 43. kazi sana kupata mamodel wa hivyo. huyo lucy naona kacheat umri, sura nzee kuliko ya mazaangu.
 
Napata shida kuweza kutambua adhma ya walioko kwenye dola dhidi ya wananchi wanao ongozwa.

Katika hali tulionayo hivi sasa ya matukio ya kutisha, naona haja ya dola kuboresha na kuimarisha mahusiano na wananchi wake ili kuweza kupambana vyema na matukio ya sasa. Ila cha kushangaza inaonekana kuna vitu vinafanyika kwa lengo l kukomoa wengine bila kujua kuwa yanatengeneza chuki baina ya pande mbili.

Nini mantiki ya haya ya ziada ikiwa mtu amekili kosa na taratibu za kisheria zipo?

Tuwe makini sana.

View attachment 388203
View attachment 388202View attachment 388201View attachment 388200
View attachment 388199

View attachment 388198

View attachment 388196
Mwalim ulimuandamia nakurudia Chuo ndio mwenyekiti..... Kweli nyani haoni kundule.
 
Hata Ray Kigosi na maji yake ya weupe nayo iligeuka movement. Tumekuwa kama taifa la wajinga. Na wengine hapa ni machangu na hii ni nafasi nzuri ya kutafuta wateja. Kama huyo Jessica bila shaka atapata mabuzi kibao!
 
Afadhali umeliona hilo tz bado sanaaaaa tunaowategemea na kuwasaidi wako mbali na mambo yamsingi pia ndo maana JF ya awali na leo tofauti sana[emoji98] [emoji98] [emoji98]simu zimechangia kupunguza fikra pevu za JF....
Usisingizie simu humu jf kuna wasomi had na wazee kisa ushabiki wanaandika pointless. JF inatumiwa na watu wazima na wasomi mbona Fb kuna watoto wengi comments zao zina logic tu kwenye page hasa ziki discusiwa serious issues.
 
Hata Ray Kigosi na maji yake ya weupe nayo iligeuka movement. Tumekuwa kama taifa la wajinga. Na wengine hapa ni machangu na hii ni nafasi nzuri ya kutafuta wateja. Kama huyo Jessica bila shaka atapata mabuzi kibao!
Acha kashifu mkuu hasira za nini chah
 
Nawapongeza Polisi wa Shinyanga kwa hili walichokifanya. Duniani kote, mhalifu anapokamatwa na Polisi ndivyo wanavyofanywa ili kutunza kumbukumbu vizuri. Hata Lissu analijua vizuri hili na hawezi kulilalamikia.
 
Back
Top Bottom