PICHA: Chuki ya Dola dhidi ya wananchi inatoka wapi?

PICHA: Chuki ya Dola dhidi ya wananchi inatoka wapi?

Napata shida kuweza kutambua adhma ya walioko kwenye dola dhidi ya wananchi wanao ongozwa.

Katika hali tulionayo hivi sasa ya matukio ya kutisha, naona haja ya dola kuboresha na
kuimarisha mahusiano na wananchi wake ili kuweza kupambana vyema na matukio ya sasa. Ila cha kushangaza inaonekana kuna vitu

vinafanyika kwa lengo l kukomoa wengine bila kujua kuwa yanatengeneza chuki baina ya pande mbili.
Nini mantiki ya haya ya ziada
ikiwa mtu amekili kosa na
taratibu za kisheria zipo?
Tuwe makini sana
View attachment 388203
View attachment 388202View attachment 388200
View attachment 388199


View attachment 388198
View attachment 388196

Wewe ndio mchochezi
 
Hili ni kosa na tatizo kubwa sana

Mtu hana hatia hadi itakapothibitishwa na mahakama

Katika chuki za namna hii, kuna anayeweza kujiuliza tena kwanini yanapotokea matukio mabaya wapo wanaoshangilia?

Nipate mwongozo kwa wazee wenzangu

Mzee Mwanakijiji Haya ndiyo unayosimamia?

JokaKuu tunaelekea wapi?

Mag3 msaada,kuna kipi nisichokielewa kuhusu haya?
 
1472226359751.jpg

Dah...yaani mtoto kama Huyu yuoo front line lakini Luna mjamaa kama Mpendazoe kaamua kujidharirisha tens huku akitukanwa kwamba ni ng'ombe aliyekatwa mkia.
 
Nina mashaka kama mtoa mada alikua na lengo la mzaha kama wanavyofanya baadhi yenu. Kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi ndy kumetufikisha hapa kama Taifa.
Nchi iko kwnye hali tofauti tutegemee watu wenye uelewa/ wasomi kuisaidia taifa, lkn kwa mizaha ya namna hii nina mashaka.
Afadhali umeliona hilo tz bado sanaaaaa tunaowategemea na kuwasaidi wako mbali na mambo yamsingi pia ndo maana JF ya awali na leo tofauti sana[emoji98] [emoji98] [emoji98]simu zimechangia kupunguza fikra pevu za JF....
 
Hili ni kosa na tatizo kubwa sana

Mtu hana hatia hadi itakapothibitishwa na mahakama

Katika chuki za namna hii, kuna anayeweza kujiuliza tena kwanini yanapotokea matukio mabaya wapo wanaoshangilia?

Nipate mwongozo kwa wazee wenzangu

Mzee Mwanakijiji Haya ndiyo unayosimamia?

JokaKuu tunaelekea wapi?

..hapa Raisi amekosea.

..tatizo ni hawa wanaomhimiza aongeze UBABE na UKATILI dhidi ya vyama vya upinzani.

..
 
Hili ni kosa na tatizo kubwa sana

Mtu hana hatia hadi itakapothibitishwa na mahakama

Katika chuki za namna hii, kuna anayeweza kujiuliza tena kwanini yanapotokea matukio mabaya wapo wanaoshangilia?

Nipate mwongozo kwa wazee wenzangu

Mzee Mwanakijiji Haya ndiyo unayosimamia?

JokaKuu tunaelekea wapi?
Chokozeni manyigu lakini mkin'gatwa msianze kuitana.
 
Huo mwandiko alieandika naomba kama kuna mwenye c.v zake anianikie hapa!!![emoji86] [emoji86]
 
Nasubiria na wale vijana waliosema watafanya maandamano ya umoja wa kumpongeza magufuli mwishoni mwa mwezi huu, nao washikishwe.
 
Kudai utawala wa sheria ni kosa ??? [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona serikali inajidhalilisha yenyewe nila kutambua,maana hata wenzetu nchi Jirani wakiona wanajua kabisa nchi yetu haifuati utawala wa sheria,ndio maana wananchi wanaandika mabango ili kudai haki,
Mkuu hayo mabango yameandikwa na polisi.. Mambo mengine comedy na kujidhalilisha tu
 
Dahh uyoo jesca wamsamehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom