Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Ninazidi kuamini kuwa ahadi nyingi za Magufuli ni uongo...
Wimbo ni ule ule ccm hawabadiliki kamwe
Ninazidi kuamini kuwa ahadi nyingi za Magufuli ni uongo...
Nakumbuka Akiwa Katavi alisema Hato tumia Helkopta Katika kampeni zake.
Magufuli ni kigeu geu
Nakumbuka Akiwa Katavi alisema Hato tumia Helkopta Katika kampeni zake.
Magufuli ni kigeu geu
uzuri wa dr magufuli si mchovu ardhini. kwahyo helikopta ni nyongeza tu
Alisema hatatumia kwa sehemu kubwa ila atatumia baadhi ya maeneo korofi.tuwe wakweli
Alisema hatatumia kwa sehemu kubwa ila atatumia baadhi ya maeneo korofi.tuwe wakweli
Mleta uzi, waombe moderator wafute huu uzi lasivyo cyber Act will act on you, hiyo hiyo chopa, siyo kwa ajili ya magufuli, Bali ni Ile ya 2010. Aliyotumia Dr. Jakaya Kikwete!! Hiyo picha ya magufuli hapo Bavicha mmedit....subiri nikutumie original yake sawa?
Kama yule aliyejisahau na kusema CCM oyeeeeee?Hawana jiipya na magufuriii kuna siku anajisahau na kusema peoplesssss
Nakumbuka Akiwa Katavi alisema Hato tumia Helkopta Katika kampeni zake.
Magufuli ni kigeu geu