georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
We nae picha ndo kutumia Usifiche ukweli utakuumbua
Sasa ya nini hiyo au ya maonyesho? Watanzania hawataki Helicopter bali mabadiliko
We nae picha ndo kutumia Usifiche ukweli utakuumbua
Nimbinu za ushindi tu
dr magufuli songa mbele. kwa mapana na marefu pigana ardhini mpaka angani. hata majini ukiweza poa tu. moto ni ule ule
Tunawasubiri watwambie imekuwaje magufurii anaumwa nini hadi ameamua kutumia chopa,maana walituaminisha kuwa lowasa anatumia chopa kwa sababu ni mgonjwa,sasa Leo magufurii naye ni mgonjwa?
Pole wewe shabiki usiejua background ya wagombea mana utajichinja bila kujua na ukawa yako
Kumbe hata magari yote yenye picha ya Magufuli anayatumia mwenyewe?
Ukawa mbona hofu imewajaa mtindo mmoja?
Helikopta mnatumia lakini mikutano mmefanya 27 tu! Poleni
Mbona nyie mlisema hamtapokea mananihii matokeo yake mkabadilisha gia angani? Yeye kabadili gia ardhini sasa ngoma droo
Nakumbuka Akiwa Katavi alisema Hato tumia Helkopta Katika kampeni zake.
Magufuli ni kigeu geu
Teteyeeee...wanaiga kila kitu hata ku..wave mikono wakati wa mkutano. Ukawa itawafundisha sana mwaka.
Sasa kama kashindwa kusimami ahadi aliyoitoa hata mwezi bado hayo mengine anayowadanganya wa TZ atayatekelezaje....
We nae picha ndo kutumia Usifiche ukweli utakuumbua
Kumbe hata magari yote yenye picha ya Magufuli anayatumia mwenyewe?
Ukawa mbona hofu imewajaa mtindo mmoja?
Helikopta mnatumia lakini mikutano mmefanya 27 tu! Poleni
huyu jamaa ndani ya mwez mmoja kaonyesha ukigeu geu mara 4...je miaka 5 si ni shida....
kwel hana dhamira mtu huyu kwan kabla hatujampa kura ameoneshwa waz kwamba anayoongea na anayotenda ni vitu viwil tofaut
Pole wewe shabiki usiejua background ya wagombea mana utajichinja bila kujua na ukawa yako
Tunakujua wewe huwa unakurupuka tu, Utaionaje logic ya picha wakati hufuatilii siasa na mwenendo wa kampeni unavyoendelea? Magufuli alisema kwenye kampeni zake hatotumia Chopper, eti atatumia barabara mwanzo mwisho ili kujionea mwenyewe matatizo ya wapiga kura. So inashangaza kuanza kuona Chopper inakarabatiwa mapicha na mastika ya Magufuli. Upo hapo.