PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

Sioni logic ya picha na Magufuli kutumia helicopter

picha imetumika kuhuisha habari na kuonesha jinsi migamba ilivyoishiwa strategies. kwani wewe unaona uzi ungekosa picha ndipo ungeulewa zaidi? basi kama picha huioni vizuri, just ignore it...soma maandishi tu. au picha ina kukera?
 
Acheni ushamba wa fikra nyiee....huyo mgonjwa wenu ametembea kwa gari kwa umbali ganii?hamuoni Jembe alivyo chanja mbuga TZ?mwacheni sasa aende ndani zaidi kwa usafiri wa haraka na salama ..

Acheni fitna nyie ,na huyo ndio anae fuatia awanu ya tano...Haya ruksa kutoa matusi na uzushi wenuuu
 
Hiyo hiyo chopa siyo kwa ajili ya magufuli, Bali ni Ile ya 2010. Aliyotumia Dr. Jakaya Kikwete!! Hiyo picha ya magufuli hapo Bavicha mmedit....subiri nikutumie original yake sawa?

Wewe Ni mmoja ya vilaza wakubwa wa JF, akili yako imepauka beyond repair. Jarib kuwa objective.
 
Hivi watanzania ktk kesi ya meli aliyoikamata magufuli tulishindwa kesi pesa tuliyolipa ni kubwa.usiombe mzee wa kukurupuka.

magamba yametumia trilioni 3.5 za wananchi kulipa fidia ya meli na samaki za wachina. tukiendelea kuyachekea haya magamba yataifilisi nchi.
 
Nakumbuka Akiwa Katavi alisema Hato tumia Helkopta Katika kampeni zake.


Magufuli ni kigeu geu
hata mimi nilimsikia akisema kuwa kuna watu hawataki shida watakuja na helikopta, ila yeye ameamua kutumia gari ili kujua matatizo ya wananchi wake!!!! Misanii ni misaniii tu
 
Nakumbuka Akiwa Katavi alisema Hato tumia Helkopta Katika kampeni zake.


Magufuli ni kigeu geu

Msameheni bure alidhani barabara za kule nkasi Ziwa tanganyika zinakaribiana ubora na barabara ya kutoka nyumbani kwake mpaka wizara ya ujenzi....kule ni habari nyengine kabisa, mtu anayeishi darisalama akisafiri kwenye hizi barabara kwa siku moja itabidi alale wiki nzima akikandwa maji ya moto
 
I don't *** with you nigga I own my liquor, so tatizo mgumu kuelewa and I don't know why ya tripping if you ask me, that chopper was that been used by Dr. Jakaya way back 2010. Even the picture u see right now is of that past, what was done here was editing by those f.......cking bavicha. Kwa ufupi hiyo chopa na picha ni za long time, kitu mlichofanya ni kupaste picha za magufuli. Afu mkaleta uzi eti kaazima chopa!!! Magufuli hatatumia chopa, Bavicha kulialia ndo zenu!!! Ila mlisahau kubadili rangi hahaha ccm ya mwaka huu ni kijani kibichi, Sasa hiyo chopa ni Ile rangi ya 2010. Ungekua unajua kutambua picha kwa urahisi usingeshabikia ufala.

Tuekeane dau, siku magufuli akiruka na chopa! Nakutoa kiroba jogoo kikubwa, Ila kama hata ruka na chopa, ntakuja kukufungua nyuma, ntakuhemea kisogoni mpaka utie Adabu. Mjusi mweusi wewe.
#hapakazitu babangu

..no wonder una AKILI FUPI SN; sababu ume invest muda wote kwenye matusi.!
#tchao!
 
View attachment 286904

Ukizidiwa kubali umezidiwa,Magufuli na mbwembwe za kutembea kwa barabara wameona kazidiwa sasa wanaendelea kuiga mbinu za Ukawa!

Walichosahau UKAWA tunazo kumi na mpaka sasa tumetumia moja tu,Wamechokoza tunazifumua ziingie mtaa kwa mtaa,kata kwa kata,wilaya kwa wilaya,mkoa kwa mkoa bila kusahau nyumba kwa nyumba na chumba kwa chumba.

#Mabadiliko2015

Hii ni dalili mbaya sana kwake.
Mtu mzima umeahidi kwamba utazunguka nchi nzima kwa barabara
Leo tunakuona kwenye Helicopter..ni aibu kwako,na tena ni muongo,huna la kutuambia wananchi
Endelea kuwa kibaraka wa hao waliokudanganya kwamba utakuwa Rais.
 
Hii ni dalili ya Kukurupuka ndivyo alivyo hata kwa maamuzi yake
 
Mbona mnachooonga!!!Tulieni mnyolewe..Ccm tupo kimipango zaidi, kwn nani kasema hyo helkopta ya Magufuli??
TULIIIIAH...
 
Back
Top Bottom