PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

Tunawasubiri watwambie imekuwaje magufurii anaumwa nini hadi ameamua kutumia chopa,maana walituaminisha kuwa lowasa anatumia chopa kwa sababu ni mgonjwa,sasa Leo magufurii naye ni mgonjwa?
 
Teteyeeee...wanaiga kila kitu hata ku..wave mikono wakati wa mkutano. Ukawa itawafundisha sana mwaka.
 
ccm ni chama kubwa. kila mtu nchi hii anatambua ccm ni ya wote - wa kaskazini mpaka kusini, wa magharibi mpaka mashariki. bila kusahau wa katikati ya nchi.

hii ni chama ambayo waislamu, wakristo mpaka wapagani wanatamba nayo. kila mtu anajisikia nyumbani na ccm. hiyo chama ingine ukiingia hawachelewi kusema ati 'siwezi muachia chama mtu mgeni'

Naona mnatafuta kura za huruma.Poleni sana.teh teh teh teeeeeeh.
 
huyu jamaa ndani ya mwez mmoja kaonyesha ukigeu geu mara 4...je miaka 5 si ni shida....
kwel hana dhamira mtu huyu kwan kabla hatujampa kura ameoneshwa waz kwamba anayoongea na anayotenda ni vitu viwil tofaut
 
Magufuli
Nimejenga bara bara na nitatembea na bara bara,hivi kumbe kuna bara bara za juu ambazo magufuli amezijenga
 
huyu jamaa ndani ya mwez mmoja kaonyesha ukigeu geu mara 4...je miaka 5 si ni shida....
kwel hana dhamira mtu huyu kwan kabla hatujampa kura ameoneshwa waz kwamba anayoongea na anayotenda ni vitu viwil tofaut
 
Nakumbuka Akiwa Katavi alisema Hato tumia Helkopta Katika kampeni zake.


Magufuli ni kigeu geu

Sasa kama kashindwa kusimami ahadi aliyoitoa hata mwezi bado hayo mengine anayowadanganya wa TZ atayatekelezaje....
 
ImageUploadedByJamiiForums1442261344.320095.jpg
Huyu ndie magufuli halisi na ccm yake
 
Sioni logic ya picha na Magufuli kutumia helicopter

Tunakujua wewe huwa unakurupuka tu, Utaionaje logic ya picha wakati hufuatilii siasa na mwenendo wa kampeni unavyoendelea? Magufuli alisema kwenye kampeni zake hatotumia Chopper, eti atatumia barabara mwanzo mwisho ili kujionea mwenyewe matatizo ya wapiga kura. So inashangaza kuanza kuona Chopper inakarabatiwa mapicha na mastika ya Magufuli. Upo hapo.
 
Nakumbuka Akiwa Katavi alisema Hato tumia Helkopta Katika kampeni zake.


Magufuli ni kigeu geu

Mbona nyie mlisema hamtapokea mananihii matokeo yake mkabadilisha gia angani? Yeye kabadili gia ardhini sasa ngoma droo
 
Kaanza kuvunja ahadi mapema hivi???? hafai huyu!
 
Back
Top Bottom