PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1442256993.109515.jpg

Ukizidiwa kubali umezidiwa,Magufuli na mbwembwe za kutembea kwa barabara wameona kazidiwa sasa wanaendelea kuiga mbinu za Ukawa!

Walichosahau UKAWA tunazo kumi na mpaka sasa tumetumia moja tu,Wamechokoza tunazifumua ziingie mtaa kwa mtaa,kata kwa kata,wilaya kwa wilaya,mkoa kwa mkoa bila kusahau nyumba kwa nyumba na chumba kwa chumba.

#Mabadiliko2015
 
Ni hivi,kila muomba chumvi huombea chungu chake, sasa hao wanaomuombea mabaya lowasa wataanza kufikwa wao na majanga kabla ya lowasa,. Pole magufuli sijui nini kimekusibu hadi ukachange mind
 
We nae picha ndo kutumia Usifiche ukweli utakuumbua
 
CCM wanasahau kuwa MasterPlan na Mastermind wa kampeni zao za 2005 alikuwa Lowasa..... kila mchezo wanaoucheza jamaa anajua njia yake, kuanzia kununua watu....
Kaja na Helcopter tena ma kuibrand ma wao pia wameiga... kesho akipanda Baiskeli na wao pia wataiga.....
Hata akiamua kuvaa boxer tu wataiga
 
dr magufuli songa mbele. kwa mapana na marefu pigana ardhini mpaka angani. hata majini ukiweza poa tu. moto ni ule ule
 
ccm ni chama kubwa. kila mtu nchi hii anatambua ccm ni ya wote - wa kaskazini mpaka kusini, wa magharibi mpaka mashariki. bila kusahau wa katikati ya nchi.

hii ni chama ambayo waislamu, wakristo mpaka wapagani wanatamba nayo. kila mtu anajisikia nyumbani na ccm. hiyo chama ingine ukiingia hawachelewi kusema ati 'siwezi muachia chama mtu mgeni'
 
CCM wanasahau kuwa MasterPlan na Mastermind wa kampeni zao za 2005 alikuwa Lowasa..... kila mchezo wanaoucheza jamaa anajua njia yake, kuanzia kununua watu....
Kaja na Helcopter tena ma kuibrand ma wao pia wameiga... kesho akipanda Baiskeli na wao pia wataiga.....
Hata akiamua kuvaa boxer tu wataiga


hahahaha. you made my day mkuu. naona Jahazi la ccm linazama
 
Haa,haa, alitaka kudanganya umma angeweza kumaliza nchi kwa barabara. Shida za barabara kaonya kidogo kaona imebidi azikimbie, wachezea barabara mbovu ww.
 
Back
Top Bottom