PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

Tatizo kubwa la Magufuri ni kupenda misifa ya kijinga.
Alivotoa hiyo ahadi ya kuzunguka kwa barabara Nchi nzima kuomba kura nikajua tu atafeli tu. Haya kiko wapi?
 
Alisema "Kila itakapowezekana atatumia barabara. Ilikuwa lugha ya kisiasa hii...ha ha haaaa!
 
Wamevunja promise ya kwanza tayari ya kutotumia chopa hehe hehe
 
Khaaa!nimeghairi simpi tena kura yangu!kaanza uongo asubuhi hivi!
 
Ninazidi kuamini kuwa ahadi nyingi za Magufuli ni uongo...
 
Hahahah.... yamemshinda. Eti kama kukohoa na Mimi nikohoe kwa vumbi. Loh kumbe danganya toto
 
Kbs maccm yanauzi kuiga slogan zetu watuachie kauli mbiu yetu ya MABADILIKO
 
CCM wanasahau kuwa MasterPlan na Mastermind wa kampeni zao za 2005 alikuwa Lowasa..... kila mchezo wanaoucheza jamaa anajua njia yake, kuanzia kununua watu....
Kaja na Helcopter tena ma kuibrand ma wao pia wameiga... kesho akipanda Baiskeli na wao pia wataiga.....
Hata akiamua kuvaa boxer tu wataiga

Nasubilia apande baiskeli waige!!! Kama ana uwezo huo!! ImageUploadedByJamiiForums1442267948.242649.jpg
 
Ccm maji yameshafika shingoni kuzama kupo pale pale hata mngetumia ungo mwaka huu lazima muondoke madarakani.

LOWASA HUYO ANAKUJA NA TANZANIA MPYA.
 
Kipindi cha chunvi,upande wa khanga elfu tano na t.shirt kimekaribia.jiandaeni kuchukua hizo ni kodi zeni.kura pigia ukawa ili mungu akupe maisha marefu .
 
Hivi watanzania ktk kesi ya meli aliyoikamata magufuli tulishindwa kesi pesa tuliyolipa ni kubwa.usiombe mzee wa kukurupuka.
 
Back
Top Bottom