Picha: Bvr mashaka matupu

Picha: Bvr mashaka matupu

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Bvr na khadija
 

Attachments

  • 1436371899345.jpg
    1436371899345.jpg
    28 KB · Views: 1,363
nimeipenda hiyo! kuna wale wamasai waliandikishwa na walipoenda kuchukua vitambulisho wakakuta vinaonyesha kijiji kingine kilichopo mbali kabisa!
 
Zile BVR zingekua na mouse, uandikishaji ungekua faster.
 
AU jamaa ndio jinale Kaka Hadija? maana la kike ni Khadija!
 
Tatizo hiz kazi wanapeana kwa rushwa na kujuana...vijana waliosoma IT wapo kibao tu wangewe kufanya kwa speed na ueredi Mkubwa coz wanacheza na computer kila siku...wanapewa walimu wa shule ya msingi hata pc haijui...
 
Kweli kabisa hii kazi wanapeana kwa kujuana,nimeyaona hayo manispaa ya kinondoni.Yani mtu amesikia kuna usaili amekuja hada barua ya maombi hakuwai kupeleka na jina lake kwenye shortlist hayupo lakini mwisho wa siku yeye anafanyiwa usaili wa wewe uliepeleka barua muda mrefu unaachwa hapo eti watu wametosha.Sasa kwa nini mliniita kwenye usaili?Mimi nimesoma IT na kazini kila siku nachezea computer ila kazi anapewa mwalimu wa shule ya msingi makumbusho mimi mimeachwa hapo.
TANZANIA TUBADILIKE
 
sijaona tatizo hapo... ni makosa ya kibinadamu tu, mbali na kukosea jina kuna makosa mengine kama kugeuza kadi, kukosea kuandika jinsia, kukosea kuandika tarehe ya kuzaliwa etc... haimaanishi mtu akikosea ndo hajui computer.. hata wewe unaeona kafanya makosa unakosea...
pili kuna sehemu ya Ku edit.. imewekwa makusudi ili makosa kama hayo yakijitokeza wajue namna ya kuyatatua..
 
inawezekana ndio jina lake halafu we unashangaa
 
Kweli kabisa hii kazi wanapeana kwa kujuana,nimeyaona hayo manispaa ya kinondoni.Yani mtu amesikia kuna usaili amekuja hada barua ya maombi hakuwai kupeleka na jina lake kwenye shortlist hayupo lakini mwisho wa siku yeye anafanyiwa usaili wa wewe uliepeleka barua muda mrefu unaachwa hapo eti watu wametosha.Sasa kwa nini mliniita kwenye usaili?Mimi nimesoma IT na kazini kila siku nachezea computer ila kazi anapewa mwalimu wa shule ya msingi makumbusho mimi mimeachwa hapo.
TANZANIA TUBADILIKE

kwani mwlm wa shule ya msingi hajui tehama?
 
Back
Top Bottom