Mliooa wachaga nashauri msiwe na bunduki wala silaha yoyote

Mliooa wachaga nashauri msiwe na bunduki wala silaha yoyote

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
430
Reaction score
795
Wanawake wa kichaga ni matatizo matupu. Kwao kila mtu ni buzi wa kuchunwa na kuwapelekea ndugu zao wavivu wa kutafuta. Matokeo yake watu wanaishia gerezani kwa mauaji. Dawa ni kutowaoa kabisa.
Nawasilisha.
 
Kuna muda kataa ndoa wanakuwa na hoja
 
Kwahiyo idadi ya wasio wachaga na wao kwa wao ipi inaongoza kuoana ??

Kilichokutuma kuwaoa ni nn ulikosa mwanamke wa kabila lako??

Mtanyooshwa mpaka muone moto wa Musa nyikani
 
Back
Top Bottom