Hapo mara kiwese kimuishie
Akiri za waendesha bodaboda bwana....weee umekuta wenzako wawili watatu wamesimama, hata kujiuliza kulikoni hakuna...
Navuta picha hapo simba angemfuata nahisi akili ya haraka ingemtuma atupe bodaboda yake akimbie!
Btw, jamaa wengi wa bodaboda ni kama policcm tu, "reasoning F"!
Ashukuru huyo simba pengine ni mzee au ni mgonjwa, angepata cha mtema kuni.
Huyu sio yule jamaa aliyetaka kusafiri na bodaboda kupitia mikumi
swissme
Umenichekesha sana ndg yangu, yani kama ni mimi ningezimia hapo hapo, hope nimgeamka nikiwa kwa mola wangu nikinywa maziwa na asali,
Kuna mtu leo yupo Sokoine Stadium anamsubiri