Wengine wanaudhi tena barabara za vijijini...! wawezakuta wengine wanapiga stori tu.
Na kama wangekuwa wema (hao waliokuwa wamesimama wakisubiri simba atoke barabarani) walitakiwa wamuwashie indikiketa ya kumzuia asipite(dereva wa bodaboda)...na kama wangeona hajajari hilo walitakiwa wamsimamishe kwa kutumia mkono alipokaribia maeneo hayo. Lazima unapokuwa barabarani usaidie na kuimarisha salama na maisha ya watumiaji wa barabara wa kada zote (watembea kwa mguu, dereva bodaboda na kadhalika).
Mimi sitashangaa ikija kugundulika kuwa kwenye tukio hilo ni gari moja tu lilikuwepo mahali hapo na mwendeshaji wa gari hilo alishindwa kumpa tahadhari dereva wa bodaboda ili apate nafsi ya kupata picha ya kurusha kwenye mtandao kama hapa JF...!
Watu wamerukwa na utu siku hizi.

Huyu sio yule jamaa aliyetaka kusafiri na bodaboda kupitia mikumi
swissme
Hahahhaa animecheka sana sana ila ni hatareeeeeee, sipati picha jinsi alivyofunga breki dah, kifo sijui kina siri gani aiseee
hivi pikipiki na simba nani ana mbio???
Wengine wanaudhi tena barabara za vijijini...! wawezakuta wengine wanapiga stori tu.
Na kama wangekuwa wema (hao waliokuwa wamesimama wakisubiri simba atoke barabarani) walitakiwa wamuwashie indikiketa ya kumzuia asipite(dereva wa bodaboda)...
na kama wangeona hajajari hilo walitakiwa wamsimamishe kwa kutumia mkono alipokaribia maeneo hayo. Lazima unapokuwa barabarani usaidie na kuimarisha salama na maisha ya watumiaji wa barabara wa kada zote (watembea kwa mguu, dereva bodaboda na kadhalika).