Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,806
- 47,400
Mhh aisee sasa huyo na ugaidi wapi na wapi ili mradi kuharibu taswira ya Nchi tu hii mbinu inayotumika ni ya hovyo kuwahi kutokea..
Hili swali lako peleka mahakamani ili umtetee bintiHivi unajua maana ya ugaidi?
Mahakama za simu alizosema kada wa ccccm rostam azizi?Hili swali lako peleka mahakamani ili umtetee binti
Kwanini una ROHO MBAYA SANA ?Kisa fedha haramu za Samia kweli zinakuondolea utu?Alirubuniwa na Chadema,Chadema ni watu wabaya sana, Tundu Lisu inabidi anyongwe tu
Hizi ndio gharama za mabadiliko, naona umeongea ili kuwatia watu hofu waogope kudai mabadiliko. Kama unategemea watu wataogopa kudai mabadiliko sijui familia zao zitateseka, utasubiri sana.Ni majuto kwake na familia yake. Mahakama ikimkuta na hatia impe adhabu kali ili iwe fundisho kwa CHADEMA
Alirubuniwa na Chadema,Chadema ni watu wabaya sana, Tundu Lisu inabidi anyongwe tu
Naona unaamini huu usen@#$ge ulioongea hapa utawatisha watu kudai mabadiliko. Huko magereza si ndio watu wanawekewa mizengwe kuwaona haona mnaowabambikia kesi?MARIA, HILDA, HECHE, PAMBALU, MANGE na wengine washawahi kwenda kumuona?? Wapigania haki je?? Ukiwaza bila mihemko utagundua kwamba kwenye mapambano tupo wengi likikufika ni lako peke ako.