UFUNUO WA TANZANIA
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 471
- 166
mnyika bana...ati alitaka kuuliwa kwa bomu ... uongo mwengine wa kitoto sana :help:
Huenda walitaka kumuua kama walivyomuua Mwangosi
mnyika bana...ati alitaka kuuliwa kwa bomu ... uongo mwengine wa kitoto sana :help:
Sasa Kawe na Mabibo wapi na wapi jamani mbona hii nchi ya ajabu sana,huo msafara wake unapita bagamoyo road while mabibo mandela or morogoro road hii nchi ya ajabu sana...View attachment 103440
tumbo kutoka makao makuu akiongea. anaaema tumefukuzwa mabibo sababu makamu wa rais yupo kawe. hii haikubariki. mia
Lengo sio kuwaua Mbowe au Mnyika au Lema, bali ni kuwatisha wanyonge wasihudhurie mikutano. You just got Toy story? sit down, enjoy your movie and let us deal with PoliccmNakwambia hawa wanatuletea movie ya Toy Story, Mbowe eti alikoswa na Bomu, risasi za SMG, risasi za bastola. Wananchekesha!
Naona wahuni ndio wengi
View attachment 103427
john malwa mwanasheria wa ubungo akisalimia. amesema atakula sahani moja na polisi jumatatu mahakamani. mia
Lengo sio kuwaua Mbowe au Mnyika au Lema, bali ni kuwatisha wanyonge wasihudhurie mikutano. You just got Toy story? sit down, enjoy your movie and let us deal with Policcm
FaizaFoxy acha kuweweseka anza kuwaambia mamluki wenu mjipangane namna ya kukanusha jambo hili lakini kifupi mmeshikwa pabaya.
Naona wahuni ndio wengi
mkuu arusha ndo alikuwa mlipuaji!Mwigulu yupo airport anasubiri maiti za wanajeshi kuonyesha ana uchungu na nchi hii wakati Soweto Arusha alionyesha kiburi cha ajabu
Msome aliyoyasema Mbowe, soma na kichwa cha hii habari, halafu rudia uliyoyaandika. Unanshangaza!
You are outsider, you don't have to, I just said "sit down, enjoy your movie and let us deal with Policcm". When it will happen one of your close relatives get killed or injured from a Policcm's bullet, you'll be my guest. Those two kids in Arusha, they were just came from Madrassa. They didn't know, on their way home, Policcm would shot them. They saw the shooter n identified them as a Police officer. Now my little brothers and their parents have to suffer for the rest of their life. It makes sense, only and if only, it will happen to youMsome aliyoyasema Mbowe, soma na kichwa cha hii habari, halafu rudia uliyoyaandika. Unanshangaza!
Bomu limepigwa na mkutano unaendelea, hili linawezekanaje?
mambo gan mkuu? Haya ya polis kuua raia wema?Hchi chama sasa nipo bora kifutwe maana kinaleta mambo ya hatari haya.
anaitwa john malya ....