Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

Poa makamanda endeleeni na harakati za kuleta ukombozi na uhuru kamili wa taifa letu
 
Chadema kwa kuzua eti Mnyika alitaka kuuliwa na bomu, hilo bomu lilomkosa limemua nani.
 
uploadfromtaptalk1374417466249.jpg
pamoja na polisi kupiga mabomu watu bado wamefurika. edson anasema na chadema watakua na baraza lao la katiba. watazunguka nchi nzima kwa chopa. wanaitisha mkutano kama huu watu watoe maoni yao. sababu tume ya katiba imewakumbatia ccm kwenye mabaraza ya katiba. ccm hawataki uwazi uwemo kwenye katiba lakini chadema tunataka uwazi wa mikataba na kila kitu viwemo kwenye katiba. mia
 
Mwigulu yupo airport anasubiri maiti za wanajeshi kuonyesha ana uchungu na nchi hii wakati Soweto Arusha alionyesha kiburi cha ajabu
 
Nilikuwepo Mabibo Sahara wakuu Bomu limelipuliwa na Police aliyekuwa kwenye Landcruiser wakati Mnyika akiwa hapo hapo akiongea na Mapolice hao. Nilikuwa jirani kabisa. Nitaweka Picha baadae maana baada ya Police kukataa mkutano usifanyike Sahara tumeamia Ubungo mataa na Mkutano ni mkubwa balaaa. Kweli CCM mmeishiwa.
pamoja kamanda....huko mbeya vijijini kama kawa.... oksijeni kwa kwenda mbele!!!
 
View attachment 103429
pamoja na polisi kupiga mabomu watu bado wamefurika. edson anasema na chadema watakua na baraza lao la katiba. watazunguka nchi nzima kwa chopa. wanaitisha mkutano kama huu watu watoe maoni yao. sababu tume ya katiba imewakumbatia ccm kwenye mabaraza ya katiba. ccm hawataki uwazi uwemo kwenye katiba lakini chadema tunataka uwazi wa mikataba na kila kitu viwemo kwenye katiba. mia

swadakta kamanda. Mia%
 
uploadfromtaptalk1374417790517.jpg
Edson anasema juzi ccm wasaini mikataba 17 ambayo hata mingine imeandikwa kwa kichina lakini hamna hata mmbunge mmoja aliye iona. so cdm twataka uwazi.
anasema ccm wanakataa serikali tatu sababu wanajua 15 tanganyika itaongozwa na cdm halafu zanzibar itaongozwa na cuf so ccm watakua wanaelea. mbili hawakai wala moja. cjadema twataka serikali3 uploadfromtaptalk1374418041625.jpg
kwa kumaliza kasema akisema ccm tuseme majanga.
ccm....!!!! majanga....!!!!. mia
 
Nikipiga mahesabu,idadi ya maaskari na umati wa watu,kuna siku watasema basi imetosha na Tanzania itaandika historia nyingine kabisa.Kama huamini jaribu kuvuta kumbukumbu migomo mashuleni ambayo wanafunzi huwa wanachoshwa na kunyanyaswa na uongozi wa Shule.Ipo siku!

Si mpaka hao watu wachoke basi na si leo wala kesho
 
jujamosi ijayo mnyika amesema atakua ukonga. anasema cdm tunahitaji vijiwe vyote vinazungumzia katiba mpya. katoa rasimu ya katiba 50 kwa kila kijiwe kpate rasimu. anasema tukizungumza kuhusu katiba tuzungumzie utaratibu wa kuandika katiba mpya.
kuna matatizo mawili huko mbele ambayo ni
1. muundo wa wabunge wa katiba. bunge la sasa muondo wake ni wabunge wote waliopo sasa ambao ccm ni wengi.
2. baraza lote la wawakilishi zanzibar watakuwemo na chama cha cuf watakuwa wengi so wataongoza kambi ya upinzani. watachaguliwa watu wengine 166 ambao watateuliwa na rais vyovyote vile hao 166 watakua ccm. so chadema tutakuwa wachache. so kauli zitakua ni ndio au sio so wao kwa kiwa watakuwa wengi watashinda. chadema tulisema walete mswaada wa sheria la sivyo tutajitoa. serikali iliieta mswaada wenye karatasi mbili moja ya kiswahili nyingine ya kiingeleza. mia
 
mnyika anasema tatizo la pili la sheria ya sasa ya kutunga sheria ni;
kura ya maoni inasimamiwa na hio tume ua uchaguzi inayo chakaxhua matokeo kila kitu. chadema tunataka kura ya maoni isimamiwe na chombo huru cha uchaguzi. mia
 
mtu ni mingi sana hapa jamani wizi wa kura unahitajika kuinusuru magamba
 
27 augost mkitano wa bunge unaanza kabla sijaenda tutaonana tena tujadili hili swala la katiba anasema mnyika. mia
 
Back
Top Bottom