PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,114
- 29,960
Mwafrica-mtanzania amezidi kuwa mwehu zaidi,nahisi Sisi wabongo akili zetu zinahitaji kupepewaMuafrica anahitaji fimbo kuelewa sio elimu
Yaan walichofanya ni kama vile wameambiwa Corona inaenea kwa kusimama kwenye gari sio msongamano
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwafrica-mtanzania amezidi kuwa mwehu zaidi,nahisi Sisi wabongo akili zetu zinahitaji kupepewa
Muafrica anahitaji fimbo kuelewa sio elimu
Yaan walichofanya ni kama vile wameambiwa Corona inaenea kwa kusimama kwenye gari sio msongamano
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, Kuna kitu hakipo Sawa kwetuMwafrica-mtanzania amezidi kuwa mwehu zaidi,nahisi Sisi wabongo akili zetu zinahitaji kupepewa
Na ajabu kuna wachangiaji wamesifia na kusema ni ubunifu. Nakubaliana na wewe, fimbo itafanya kazi zaidi kuliko elimu.Muafrica anahitaji fimbo kuelewa sio elimu
Yaan walichofanya ni kama vile wameambiwa Corona inaenea kwa kusimama kwenye gari sio msongamano
Sent using Jamii Forums mobile app
Usionyeshe upoyoyo wako hadharani namna hii basi. Mpaka anayesoma anaona aibu kama ndiye aliyeandika ujinga kama huu!Mkuu ww ndo hujatafakari vzr kuhusu kauli ya serekali kwa daladala, ni hivii... Ile seat ya nyuma huwa wanakaa watu 5. ( Haijakatazwa) sasa kuna ubaya gani hizi seati nyingine zikiunganisha katikati na watu waka kaa watano!!?
Kama ingekuwa shida ni msongamano hata seat inayokaliwa na watu wawili bado watakuwa wamebanana!
Ukiangalia nafasi inayotakiwa kuachwa kati ya mtu na mtu kwa ( kujikinga na corona) kwa gari kama coaster labda wangepanda abiria 9 tu na dereva awe wa 10.
Waendesha daladala wameji0ngeza vzr!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyume chake. Watanzania tukibanwa ndiyo tunatumia akili ndogo tulizonazo vibaya.Watz wakibanwa ndiyo wanatumia akili vizuri