FalsafaYake ni hipi kati ya hizo tano au anazo zote
FalsafaYake ni hipi kati ya hizo tano au anazo zote
Ya kwako iko wapi mkuu?Basi yake ni Grade ya Chini
PhD ya Falsafa ya nini na ameisoma miaka mangapiFalsafa
Umekariri sana kijana ili naw3 uonekane mtu katika wasomiMwenye publication yoyote ya Magufuli atuletee hapa Wenye PhD huwa tunazungumza kwa Publication.
Hizi ndio aina za wasomi wakitz[emoji23]Hongera sana learned brother Deogratias Klisandu for a reasoned evaluation and analysis of a PhD. Wanaokupuuza na 0kukuita kichaa, wao ndo vichaa, coz hawajafanya uchambuzi wa aina yoyote humu JF. Wao ni kupinga kila kitu bila hoja. Hongera mseminari mwenzangu Deogratias. It is true beyound any shadow of doubt that JPM has a true and genuine PhD, which he was awarded at UDSM. It is not a honourally PhD, but class and by Thesis PhD. Wanaohoji PhD hiyo wao hata cerificate hawana. His PhD is clearly proved by his very professional leadership based on facts finding. Hongera sana JPM kwa kazi nzuri. Kila mtu huku vijijini anakusifia for a well done good job. God bless you all the time.
Alaf ni wakili msomi eti!!!!!Duh! Huo ndiyo uchambuzi wa Kisandu!!
Heavy weight questionUtetez huu ni kwa sababu gani hasa?
...Wenye PhD huwa tunazungumza kwa Publication.
Mh! Sina uhakika kama unajua ulichokiandika. "Plagiarism" kwa digrii ya 'PhD'!mkuu ...haijalishi...plagiarism ni kosa kwenye taaluma
"Plagiarism"
Wewe na wenzio mnaotaka chapisho la hiyo PhD nendeni maktaba ya UDSM.Monograph si ni publication braza!! Ama wewe neno 'publication' unalielewa vipi? Hivyo kama unayo monograph yake msaidie chifu aliyeomba.
class 7Mh. Rais amesoma PhD yake kwa jasho kabisa tena akijitahidi mno. Sasa wale ambao wanaishuku PhD yake ninataka wao watuonyeshe za kwao. Kumbukeni UDSM elimu yake si mchezo na Phd ilikuwa inachukua muda sana tofauti hata na vyuo vya nje ambavyo wengi ndiko walikopatia PhD fake. Acha Rais wetu aendelee kutumbua tu, hata angekuwa na elimu ya lowe Second mimi siangalii bali ninaangalia utendaji wake wa kazi. Kwani PhD itatufikisha wapi kama tutaendelea kulea mafisadi na wezi? Yaani acha abane ili tuwe na adabu na heshima mtaani iendelee.
unaelewa maana ya hilo neno?