Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
PhD ya Rais Dkt.Magufuli IKO SAHIHI.
Kuna aina 5 za PhD duniani zote ni za kitaaluma. PhD nayozungumza hapa ni ya ki Falsafa. Zifuatazo ni Sifa ambazo MTU huweza kutunukiwa PH D.
1. PhD ya Darasani: Unasoma degree ya kwanza(Bachelor), baadae unasoma degree ya pili(masters) baadae unasoma degree ya tatu katika mfumo WA utafiti(PhD). Basi unakuwa na sifa ya kuwa Daktari WA falsafa.
2. PhD ya Tukio: umesoma degree ya kwanza na ya pili, lakini ukaja kufanya jambo la kiutafiti bila kujua ambalo likasaidia jamii. Hapa vyuo hutunuku Masters na PhD kwa wakati mmoja au kama una masters unatunukiwa PhD moja kwa moja na chuo kinachoendana na jambo ulilofanya, mfano: kusuluhisha migogoro migumu na ukafanikiwa, kutoa mwongozo kwa jambo Fulani na likafanikiwa, umekuwa MTU mashuhuri kwa mambo ya kujenga jamii na jamii ikafuata na ikafanikiwa, n.k hapa unatunukiwa PhD bila pingamizi. Rejea PhD ya Dkt. Jakaya Kikwete na mgogoro WA Kenya 2007 baada ya kuwaweka sawa Wapinzani na Watawala.
3. PhD ya Utafiti: Umekuwa na degree moja au mbili na umekuwa ukifanya Dissertation mbalimbali ambazo zimekuwa zinasaidia jamii, hapa unatunukiwa PhD kwa kuzingatia juhudi binafsi za kujitolea.
4. PhD ya uandishi WA Vitabu: hapa unaweza usiwe hata na degree yoyote ile ukawa na cheti au diploma au degree(if possible), kutokana na MTU kuandika vitabu Mara kwa Mara vya kusaidia maswala mbalimbali ya kijamii na jamii ikanufaika na hivyo vitabu, basi mhusika kwa kuzingatia umhimu WA jambo hutunukiwa vyote kwa wakati mmoja yaani degree ya kwanza, ya pili na ya tatu PhD.
5. Tuzo ya Heshima: Hapa inategemea umefanya jambo gani katika jamii yako kitaifa au kimataifa ambalo jambo hill limeleta Neema kwa Taifa lako au Kimataifa. Hapa unaweza kutunukiwa tuzo ya Sir au PhD, unamkumbuka Sir George Kahama na tuzo ya mwingereza.
NB: Na sikila MTU hutunukiwa maana inategemeana na jambo lenyewe. Mimi Deogratius Kisandu, na washauri vijana wenzangu kabla huja hoji Elimu ya MTU, cha kwanza jifunze mfumo WA utoaji taaluma na Tuzo Duniani. Ndipo sasa uhoji. Kati ya hizo moja wapo Mheshimiwa wetu yupo.
Hongera Rais Dkt. John Magufuli kwa PhD ya Falsafa. Na kheri ya Mwaka Mpya.
deogratius Nalimi Kisandu
2 January 2017.
Kahama-Tanzania.