Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Kwanini kakuambia wewe ni size yangu yangu?Acha uchuro. Umeahangaika hadi basi,unahama hama vitu haVina ushahidi, na haupo tayari kuhakikisha ulichokianzisha umekimaliza.Huna maadili kabisa km wajamaa wenzio.Sasa umeahamia kuwa wengine wapo katika SIASA ukijidai wewe upo ktk Logic. Hakuna kitu umejibu upo on transit tuu. Ndio maana nilikubaka katika hoja unazoziingiza bila mpango.Kote umesepa. Sasa unajifanya una logic yoyote.Unadhani ulivyokuwa ukipiga T na F bila break ulikuwa unajua logic?Wewe sio saizi yangu. Better shut up bro. Unaleta Siasa kwenye logic.
Ndio tabia zenu wasomi hewa wa bongo, mbadili pause tuu, mnawapa maneno ya kashfa watu na kuweka miasamiati .Wapuuzi wandhani mnajua msemalo.Mkishafika huko mapokimbilia mnaanza funga midomo watu kuliko kuface reality. YOU ARE HORRIBLE AND VERY MEDIOCRE.