PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

W

Nicholas mbona hueleweki mkuu. Leta evidence acha sound
Jiongeze kidogo. Upuuzi wa kkuplay victime,sijui ueleweki,sijui una jazba,sijui ni mawazo ya akili ndogo wanaotaka jifanya wanazo za kutosha.
 
Mkuu unajua kuvumilia mediocrity ni shida ingine.Kama unajua ame graduate tuu, mengine hujui mbona unajibu mpaka usiyoyajua? Nikikuvumilia nitashuka kufikiri km wewe.
Hayo unayosema siyajui uyalete hapa mkuu. Na hiyo ndo nakusisitizia lakini naona unaendeleza utamaduni uleule wa kukwepa hoja yangu. Besides judgement yako ya mediocrity bado ni premature mkuu kwakuwa hutaki kukataa hoja yangu kwa evidence. Bracket out your prejudices to allow objectivity Nicholas.
 
Jiongeze kidogo. Upuuzi wa kkuplay victime,sijui ueleweki,sijui una jazba,sijui ni mawazo ya akili ndogo wanaotaka jifanya wanazo za kutosha.
Mbona kama unataka kukimbilia kunishambulia mkuu. Kujiongeza nje ya evidence ni ramli ambayo sikuwahi kufikiria kufanya. Halafu kusema Nina akili ndogo ni falacy nyingine mkuu. Badala ya kujibu hoja unashambulia hahaha. Falacy ad hominem ni mbaya sana kwa jamii iliyostaarabika. Hujawahi hata kushiriki inter school debates aambamo wanafundisha kanuni za mijadala na namna ya kutengeneza sylogisms
 
Hayo unayosema siyajui uyalete hapa mkuu. Na hiyo ndo nakusisitizia lakini naona unaendeleza utamaduni uleule wa kukwepa hoja yangu. Besides judgement yako ya mediocrity bado ni premature mkuu kwakuwa hutaki kukataa hoja yangu kwa evidence. Bracket out your prejudices to allow objectivity Nicholas.
You are too mediocre mkuu. Hoja ipi?Nimeku dismantle long time.Mlipokuja na hoja za kipuuzi kunyamazisha watu, wakati mnashosimamia ni kuipata PhD ila njia za kuipata hamtaki.Nani kakuambia hata ktk upishi ukibadili details ktk process utapa product ileile? AU HUJUI TOFAUTI YA UJI NA UGALI?WALI NA MADIDA?CRIPS NA CHIPS?DIAMOND NA TANZANITE/AU GRAPHITE?
 
You are too mediocre mkuu. Hoja ipi?Nimeku dismantle long time.Mlipokuja na hoja za kipuuzi kunyamazisha watu, wakati mnashosimama ni kuipata ila njia za kuipata hamtaki.Nani kakuambia hata ktk upishi ukibadili details ktk process utapa product ileile? AU HUJUI TOFAUTI YA UJI NA UGALI?WALI NA MADIDA?CRIPS NA CHIPS?DIAMOND NA TANZANITE/AU GRAPHITE?
Mbona evidence huleti unakimbilia kuniita mediocre mkuu. Umbumbumbu wangu ni kukutaka ulete ushahidi? Au ni kukushauri uache falasi ya kushambulia MTU badala ya hoja? You are better than this shit Nicholas
 
Mbona evidence huleti unakimbilia kuniita mediocre mkuu. Umbumbumbu wangu ni kukutaka ulete ushahidi? Au ni kukushauri che falasi ya kushambulia MTU badala ya hoja? You are better than this shit Nicholas
Nimeshambulia nani?Difense ya kijinga, difence ya uongo ku sueggst umbea,Nyie ndio mnaofunguliwa watu kesi za kipuuzi mkijenga taswira za kichonganishi na dhana za kujipendekeza.Nimewauliza nyie mlipoingia km wehu kwamba kusoma UDSM basi by default ni kila kitu ni shwari.Mpaka hapa narukaruka,mnajifanya victims, sasa mna blame vitu vya uongo kama clinton na wafuasi wake. Kwa taarifa yako, hata TBS yetu haina kitu ch akuipa maada kihivyo kwa vile wana akili km zako. Akili zako ni final product. Ila process nyingine za kabla ya hapo hazina mchango. Huyo unayemtetea alisoma AKIWA WAZIRI? Na waliomsimamia sasa hivi wapo wapi? Unawajua vyema kwa kuwa na data zao za kutosha?
 
NImeshambulia nani?Nimewauliza nyie mlipoingia km wehu kwamba kusoma UDSM basi by default ni kila kitu ni shwari.Mpaka hapa narukaruka,mnajifanya victims, sasa mna blame vitu vya uongo kama clinton na wafuasi wake. Kwa taarifa yako, hata TBS yetu haina kitu ch akuipa maada kihivyo kwa vile wana akili km zako. Akili zako ni final product. Ila process nyingine za kabla ya hapo hazina mchango. Huyo unayemtetea alisoma AKIWA WAZIRI? Na waliomsimamia sasa hivi wapo wapi? Unawajua vyema kwa kuwa na data zao za kutosha?
Hahah mkuu kwa kuwa niachohitaji kwako (evidence) umegoma kuniletea, na kwa kuwa bado inaonekana hatuelewani kihoja, na kwa kuwa umeamua kuleta hadith na mafumbo (yasiyo na ushahidi) naona nisiendelee kubishana na wewe. Tukubaliane tu kuwa tumeshindwa kuelewana bila kugombana. I cant afford being irrational dealing with your sweeping thinking and conclusions. Huenda sababu ni mtu tunaemjadili; kwamba labda unadhani najikomba na huenda mimi naona kama unaleta siasa. Tukutane kwenye mijadala ya watu wa kawaida mkuu Nicholas. It has been nice to argue with you.
 
ndio imekuambia wewe ni mediocre tuu ,na kukuvumilia ni kujishusha nifanane na wewe.huna kitu wewe umekuja na njaa zako kulinda vitu usivyo na uwezo wako.Umeleta sababu zako na mwenzio kwamba ni UDSMkwa hiyo sio shida, baadae mkaleta sababu kuwa PhD ina mchakato mrefu.Sasa nimekubana hapo kwenye mchakato huna pa kutokea unalazimisha hoja iwe mtu na sio process ya PhD.Huna hata adabu wewe.Ndio maana unaleta hoja ndani aya hoja huku zikiwa za kimbeambea. Narudia nahoji process na Quality km unadhani viegzo ziizingatiwa si uweke ushahidi unajificha ktk mtu nini hapa.Wala sina haja ya kuelewana na mediocrity ili ni pate nini?Niwe medicre?
 
PhD ya Rais Dkt.Magufuli IKO SAHIHI.

Kuna aina 5 za PhD duniani zote ni za kitaaluma. PhD nayozungumza hapa ni ya ki Falsafa. Zifuatazo ni Sifa ambazo MTU huweza kutunukiwa PH D.

1. PhD ya Darasani: Unasoma degree ya kwanza(Bachelor), baadae unasoma degree ya pili(masters) baadae unasoma degree ya tatu katika mfumo WA utafiti(PhD). Basi unakuwa na sifa ya kuwa Daktari WA falsafa.

2. PhD ya Tukio: umesoma degree ya kwanza na ya pili, lakini ukaja kufanya jambo la kiutafiti bila kujua ambalo likasaidia jamii. Hapa vyuo hutunuku Masters na PhD kwa wakati mmoja au kama una masters unatunukiwa PhD moja kwa moja na chuo kinachoendana na jambo ulilofanya, mfano: kusuluhisha migogoro migumu na ukafanikiwa, kutoa mwongozo kwa jambo Fulani na likafanikiwa, umekuwa MTU mashuhuri kwa mambo ya kujenga jamii na jamii ikafuata na ikafanikiwa, n.k hapa unatunukiwa PhD bila pingamizi. Rejea PhD ya Dkt. Jakaya Kikwete na mgogoro WA Kenya 2007 baada ya kuwaweka sawa Wapinzani na Watawala.

3. PhD ya Utafiti: Umekuwa na degree moja au mbili na umekuwa ukifanya Dissertation mbalimbali ambazo zimekuwa zinasaidia jamii, hapa unatunukiwa PhD kwa kuzingatia juhudi binafsi za kujitolea.

4. PhD ya uandishi WA Vitabu: hapa unaweza usiwe hata na degree yoyote ile ukawa na cheti au diploma au degree(if possible), kutokana na MTU kuandika vitabu Mara kwa Mara vya kusaidia maswala mbalimbali ya kijamii na jamii ikanufaika na hivyo vitabu, basi mhusika kwa kuzingatia umhimu WA jambo hutunukiwa vyote kwa wakati mmoja yaani degree ya kwanza, ya pili na ya tatu PhD.

5. Tuzo ya Heshima: Hapa inategemea umefanya jambo gani katika jamii yako kitaifa au kimataifa ambalo jambo hill limeleta Neema kwa Taifa lako au Kimataifa. Hapa unaweza kutunukiwa tuzo ya Sir au PhD, unamkumbuka Sir George Kahama na tuzo ya mwingereza.

NB: Na sikila MTU hutunukiwa maana inategemeana na jambo lenyewe. Mimi Deogratius Kisandu, na washauri vijana wenzangu kabla huja hoji Elimu ya MTU, cha kwanza jifunze mfumo WA utoaji taaluma na Tuzo Duniani. Ndipo sasa uhoji. Kati ya hizo moja wapo Mheshimiwa wetu yupo.

Hongera Rais Dkt. John Magufuli kwa PhD ya Falsafa. Na kheri ya Mwaka Mpya.

deogratius Nalimi Kisandu
2 January 2017.
Kahama-Tanzania.
sawasawa mkuu, umetoa mfano mzuri wa Jakaya, hivi na Ali hasan Mwinyi alifanya kitu gani kikubwa na kutunukiwa PhD? hebu nikumbusheni kidogo.
 
ndio imekuambia wewe ni mediocre tuu ,na kukuvumilia ni kujishusha nifanane na wewe.huna kitu wewe umekuja na njaa zako kulinda vitu usivyo na uwezo wako.Umeleta sababu zako na mwenzio kwamba ni UDSMkwa hiyo sio shida, baadae mkaleta sababu kuwa PhD ina mchakato mrefu.Sasa nimekubana hapo kwenye mchakato huna pa kutokea unalazimisha hoja iwe mtu na sio process ya PhD.Huna hata adabu wewe.Ndio maana unaleta hoja ndani aya hoja huku zikiwa za kimbeambea. Narudia nahoji process na Quality km unadhani viegzo ziizingatiwa si uweke ushahidi unajificha ktk mtu nini hapa.Wala sina haja ya kuelewana na mediocrity ili ni pate nini?Niwe medicre?
Hahah wakujikomba mimi? Do your little research ndugu. I have never been of that kind. Huna mamlaka yoyote (academically, financially and rationally) kuhoji uelewa wangu nje ya hoja Nicholas. Its very unfortunate unaonekana kutosoma hata sentensi chache ninazoandika halafu uwe na uwezo wa kuhoji vitu vikubwa.
1. Hakuna mahali popote nilipohalalisha phd ya jpm eti kwa kuwa amesoma udsm. Nimesoma chuo kwa ngazi zote unazozifahamu duniani lakini sijawahi kusoma udsm na hivyo sina sababu yoyote ya kuisifia kama unavojiaminisha. Ningeweza kutaja vyuo nilivyosoma.
2.UNANISIKITISHA SANA UNAPOLALAMIKA KUWA NJIA ALIYOPITIA INA DOSARI LAKINI NIKIKWAMBIA ELEZA DOSARI NA LETA USHAHIDI UNAKIMBILIA KUNIITA MBUMBUMBU bila kuleta hoja.
Nicholas get back to books or go to everlasting hell. Intellectual fight haihitaji majungu na kuita watu mbumbumbu; leta evidence wacha ngonjera. I plainly told you to bring evidence to vain. Sasa nani mbumbumbu hapo.

Ha Haahaa kweli watu wana majambo!
Umefikiaje kusema yake ni ya chini?
Wacha chuki na wivu
 
Kiongozi unajua huna kitu unachoandika hapa cha kukutetea una vibrate, sijui umetukanwa,sijui hujaeleweka, sijui anashambuliwa mtu. mimi nilianza kushikilia wewe na mwenzio mthibitishe kwamba UDSM ipo immune kivipi na issue nilizoziweka pale juu, kwanini umekimbilia kusema PhD kuipata kunatosha.Huku mkiwa mmetaja kuwa ni Process.Nilipokubana uingie ktk process ili huko kujgamba kuwa na thamani.Umeanza jishebedua tuu km wapuuzi wengine ninaowadharau sana.Kujidai kuwa una ni downgrade hakukupandishi hapa. Bado UPO KTK MEDICRITY boss. Nisome kitabu cha nini mimi , wakati wewe ndio mediocre hapa. Youre really horrible mkuu. Dosari zipi nikupe.?Sasa unataka obvious?Halafu nikupa proof za obvious uhamie ktk ujinga mwingine kisha upotee bila kuaga? Wapuuzi wa lumumba na wengine wanaotaka ukuu wa wilaya wa dezo huwa hamna maadili sana kitaaluma. Wewe si msomi wa UDSM?Hujawahi sikia wenzio wanavyogombania PhD walizozisotea?Hujawahis ikia mapnezi yanavyofelisha watu? hujawahi sikia watu wenye ushawishi shule yao inavyokuwa rahisi pale? Sasa nikupe ushahidi wa nini ? Wewe ndio uniambie PhD unayoitoke povu haikuwa influenced na vitu km hivyo?

Unajshebedua nini?mbona hata hao manguli wa UDSM mnaowasifia wanaowapa hizo PhD nao wamejaa kujikomba ktk siasa?You are really horrible mzee. Unadhani utakimbia sana kabla,hujakuta wenzio waliowapa wanasiasa hizo PhD wamepewa vitengo.Tena wasivyoviweza.
 
Asante Nicholas. Time will tell. Wasalimu Iringa
 
Kwa style hii inabidi mleta mada apewe PhD ya kupotosha umma.
 
Si uwe na adabu tuu uhitimishe kwa heshima.Kwanini ujishebedue tuu.Nilikuwambia tangu mwanzo huwa hamna adabu baada ya kujaza trash na kudharau dharau watu huwa mnatoka km mnakimbilia choo kuhara.Hamna courtesy ya kuondoka mkiwa mmekubali kwamba mmeelewa na nini mtafanya chema katika nchi. Wajamaa ni watu wa hovyo sana ni mizoga. marekani ilibidi kuharamisha wajamaa kwa miaka kadhaa.ndio wakaenda mbele.Akili za kuzunguka ktk duara hapo hapo ni mbaya sana.
 
Na wanaweza mpa.Wasomi wengi wa hii nchi hupewa rewards kwa kutajataja misamiati ya dunia ya kibepari,kujipendekeza,kupata wajinga wa kuwapigia debe kuwa ni wasomi .Ila wengi hamnazo wala hawana maadili.
 
Si uwe na adabu tuu uhitimishe kwa heshima.Kwanini ujishebedue tuu.Nilikuwambia tangu mwanzo huwa hamna adabu baada ya kujaza trash na kudharau dharau watu huwa mnatoka km mnakimbilia choo kuhara.Hamna courtesy ya kuondoka mkiwa mmekubali kwamba mmeelewa na nini mtafanya chema katika nchi. Wajamaa ni watu wa hovyo sana ni mizoga. marekani ilibidi kuharamisha wajamaa kwa miaka kadhaa.ndio wakaenda mbele.Akili za kuzunguka ktk duara hapo hapo ni mbaya sana.
Wewe sio saizi yangu. Better shut up bro. Unaleta Siasa kwenye logic.
 
Uhuru mwingine huu ni shida. Tumekosa kabisa hoja mpaka kuchambua vitu ambavyo havina tija ktk jamii. Kwa matusi yanamna hii mtu aking'olewa meno mi naunga mkono hoja
 
watizo sio PhD. mm na ka degree kangu kwenye interview niliulizwa swali moja tu

QN. can u defend your degree within 5 minutes? nilijibu ndio nikashukaaaa na interview ikaishia hapo
 
Back
Top Bottom