PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

JPM amesoma PhD UDSM, inaeleweka. Binafsi sioni uhalali wa hoja nyepesi za kuitilia shaka. He worked for it, he achieved it. Hakuna siasa hapo. Wanaohoji hiyo PhD yake wana yako. Na wawezi kubadilika maana hila huleta upofu.

Mkuu,

Kuna mtu hapo juu ameomba "Dissertation" yake.

Kaka ...
 
Ndupu zangu tusidanganyane, hakuna PhD inayotolewa bila kuandika andiko (dissertation). Wanaopata doctorate za heshima hawahesabiwi kama wana PhD. Kwa maana hiyo Kikwete kwa mfano hana PhD. Hivyo tofautisheni mtu kuwa na PhD na kupewa u daktari wa heshima. Hivi ni vitu viwili tofauti.
 
Mkuu,

Kuna mtu hapo juu ameomba "Dissertation" yake.

Kaka ...
Dissertation inapatikana humu mkuu? Nimemshauri aende library ya udsm au amwombe jpm mwenyewe mkuu
 
Hizo PhD alikua anasoma kwa kiswahili au kizungu? Kama ki inglishi mbona lugha hajui??
Mbona huulizi wajapani na machina hayo maswali? Hata warusi ni siku za usoni tu walikubali English. Wakija kwenu wanaongea kikwao mnatafsiriwa. Tuache kuiga. Kwani kiswahili kibaya? Wachina na wazungu wanalipa pesa kusoma kiswahili.
 
Kwa aina hii ya watanzania wanafki Na watu wakujipendekezapendekeza Kazi ipo
 
Sio lazima mwenye PhD awe amepublish ndugu. Yaweza kuwa alifanya kwa monograph. Ku publish ni hiari yake.

PhD lazima iwe na mwendelezo wa ku-publish kwani ni mafunzo ya kuzalisha knowledge na knowledge inakuwa shared kwa faida ya jamii la sivyo mwenye PhD alifuata title tu na ndio walio wengi.
 
Inasemekana alifanya reseach ya maganda ya korosho kuondoa kutu lakin mmmmmmmmh haya mheshimiwa sana
 
PhD lazima iwe na mwendelezo wa ku-publish kwani ni mafunzo ya kuzalisha knowledge na knowledge inakuwa shared kwa faida ya jamii la sivyo mwenye PhD alifuata title tu na ndio walio wengi.
Mkuu hoja ni uhalali wa PhD yake na sio mwendelezo wa Ku publish. Besides, ni wakati gani muafaka wa kuanza Ku publish?
 
Mbona huulizi wajapani na machina hayo maswali? Hata warusi ni siku za usoni tu walikubali English. Wakija kwenu wanaongea kikwao mnatafsiriwa. Tuache kuiga. Kwani kiswahili kibaya? Wachina na wazungu wanalipa pesa kusoma kiswahili.
Hao hawatumii kiingereza kama lugha ya kufundishia. Magufuli toka akiwa shule ya upili, alifundishwa na kufanya mitihani kwa lugha ya kiingereza. Hivyo, anapaswa kuwa fluent in writing, speaking and understanding it.

Siwezi kumshangaa mchina au mjapani, ambaye alijifunza kiingereza kama somo tu, na siyo kama lugha ya kufundishia na mitihani.
 
Besides, ni wakati gani muafaka wa kuanza Ku publish?
Hakuna wakati muafaka. As long as you have data/materials that are going to contribute to scientific understanding, then unaweza ku-publish. Of course, depending on your publication being accepted. Hata ukiwa mwanafunzi wa Bachelor, waweza ku-publish kama hayo niliyoyasema utayatimiza.
 
JPM amesoma PhD UDSM, inaeleweka. Binafsi sioni uhalali wa hoja nyepesi za kuitilia shaka. He worked for it, he achieved it. Hakuna siasa hapo. Wanaohoji hiyo PhD yake wana yako. Na wawezi kubadilika maana hila huleta upofu.

Basi kama mtu aliyepata PhD ya UDSM ndio yuko hivyo basi kiwango cha elimu ya Tanzania kiko chini sana.
 
PhD ya Rais Dkt.Magufuli IKO SAHIHI.

Kuna aina 5 za PhD duniani zote ni za kitaaluma. PhD nayozungumza hapa ni ya ki Falsafa. Zifuatazo ni Sifa ambazo MTU huweza kutunukiwa PH D.

1. PhD ya Darasani: Unasoma degree ya kwanza(Bachelor), baadae unasoma degree ya pili(masters) baadae unasoma degree ya tatu katika mfumo WA utafiti(PhD). Basi unakuwa na sifa ya kuwa Daktari WA falsafa.

2. PhD ya Tukio: umesoma degree ya kwanza na ya pili, lakini ukaja kufanya jambo la kiutafiti bila kujua ambalo likasaidia jamii. Hapa vyuo hutunuku Masters na PhD kwa wakati mmoja au kama una masters unatunukiwa PhD moja kwa moja na chuo kinachoendana na jambo ulilofanya, mfano: kusuluhisha migogoro migumu na ukafanikiwa, kutoa mwongozo kwa jambo Fulani na likafanikiwa, umekuwa MTU mashuhuri kwa mambo ya kujenga jamii na jamii ikafuata na ikafanikiwa, n.k hapa unatunukiwa PhD bila pingamizi. Rejea PhD ya Dkt. Jakaya Kikwete na mgogoro WA Kenya 2007 baada ya kuwaweka sawa Wapinzani na Watawala.

3. PhD ya Utafiti: Umekuwa na degree moja au mbili na umekuwa ukifanya Dissertation mbalimbali ambazo zimekuwa zinasaidia jamii, hapa unatunukiwa PhD kwa kuzingatia juhudi binafsi za kujitolea.

4. PhD ya uandishi WA Vitabu: hapa unaweza usiwe hata na degree yoyote ile ukawa na cheti au diploma au degree(if possible), kutokana na MTU kuandika vitabu Mara kwa Mara vya kusaidia maswala mbalimbali ya kijamii na jamii ikanufaika na hivyo vitabu, basi mhusika kwa kuzingatia umhimu WA jambo hutunukiwa vyote kwa wakati mmoja yaani degree ya kwanza, ya pili na ya tatu PhD.

5. Tuzo ya Heshima: Hapa inategemea umefanya jambo gani katika jamii yako kitaifa au kimataifa ambalo jambo hill limeleta Neema kwa Taifa lako au Kimataifa. Hapa unaweza kutunukiwa tuzo ya Sir au PhD, unamkumbuka Sir George Kahama na tuzo ya mwingereza.

NB: Na sikila MTU hutunukiwa maana inategemeana na jambo lenyewe. Mimi Deogratius Kisandu, na washauri vijana wenzangu kabla huja hoji Elimu ya MTU, cha kwanza jifunze mfumo WA utoaji taaluma na Tuzo Duniani. Ndipo sasa uhoji. Kati ya hizo moja wapo Mheshimiwa wetu yupo.

Hongera Rais Dkt. John Magufuli kwa PhD ya Falsafa. Na kheri ya Mwaka Mpya.

deogratius Nalimi Kisandu
2 January 2017.
Kahama-Tanzania.
Ni wapuuzi wote wanaotia shaka PhD ya Magufuli

Wamekosa hoja kabisa.Tangu lini UDSM itoe product ya PhD fake?
 
Ni wapuuzi wote wanaotia shaka PhD ya Magufuli

Wamekosa hoja kabisa.Tangu lini UDSM itoe product ya PhD fake?
Wasikuumize kichwa hawa .yeye anawajua hawa
Anajua hats akiogelea kwenye bwawa watasema anawatimulia vumbi.
Wameshikwa pabaya!!!
 
Hii picha inayozungumzia Satanic Jesuits NA mada mbona haziendani.

Mleta Mada Jee unamaanisha nini inapoweka picha ya mtakatifu Pope NA Obama , kwenye heading inayozungumzia mashetani??????
 
Back
Top Bottom