PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

Mkuu

Mkuu upo sawa. Tatizo watu wanaamua kumchafua MTU bila sababu. Kasoma huyu MTU. MTU anaejua
Mkuu hili ni tatizo la wanasiasa wa ukawa na wafuasi wao wanapoteza muda mwingi kuhoji elimu ya Magufuli wakistuka 2020 imefika wanaenda kuokoteza makapi yaliyoachwa na matapeli wenzao ccm wakishindwa uchaguzi wanasingizia wameibiwa kura. Sasa Phd ya Magufuli ni sera ya UKAWA. Tutafiki kwa kudra ya Mungu lakini siyo huu upinzani wetu.
 
Tatizo la watanzania kila kitu mnachukua for granted.Ndio maana hamuwezi gundu akitu zaidi ya obvious, hamjiulizi maswali hata yaliyo karibu na macho yenu.Kwani UDSM ndio ina kinga dhidi ya: PHD za kufanyiwa, za kupewa km vile zimfanywa?UDSM si ndio demu asipopanua kwa mwalimu ana disco?Au mvulana demu wake akipendwa na mhadhiri anapigwa chini tuu?UDSM hawana tafiti ya kupika?UDSM sio hao hawana njia yoyote ya kupima kazi zilizoibwa ktk internet.UDSM sio hiyo ambayo watu kufikia kudai PHD zao kama ni kitu cha kupewa kwa kugombania?UDSM sio hao hutoa marks km hongo kwa watu wenye kutoka familia au kuwa ktk siasa au taasisi zenye ushawishi?Kwa taarifa yako watu wa UDSM ndio wakuangalia kwa makini sana.
Mkuu wewe ulisoma pale UDSM ama umesimuliwa?
 
Mkuu hili ni tatizo la wanasiasa wa ukawa na wafuasi wao wanapoteza muda mwingi kuhoji elimu ya Magufuli wakistuka 2020 imefika wanaenda kuokoteza makapi yaliyoachwa na matapeli wenzao ccm wakishindwa uchaguzi wanasingizia wameteswa. Sasa Phd ya Magufuli ni sera ya UKAWA. Tutafiki kwa kudra ya Mungu lakini siyo huu upinzani wetu.
Upo sahihi mkuu. Ila naona pia ni tabia inakuja kwa kasi ya kumdhalilisha MTU pale anapokuwa anatofautiana mitizamo na sisi. Nadhani kama ni siasa watu walete hoja za siasa na sio kudhalilishana mkuu
 
Tatizo la watanzania kila kitu mnachukua for granted.Ndio maana hamuwezi gundu akitu zaidi ya obvious, hamjiulizi maswali hata yaliyo karibu na macho yenu.Kwani UDSM ndio ina kinga dhidi ya: PHD za kufanyiwa, za kupewa km vile zimfanywa?UDSM si ndio demu asipopanua kwa mwalimu ana disco?Au mvulana demu wake akipendwa na mhadhiri anapigwa chini tuu?UDSM hawana tafiti ya kupika?UDSM sio hao hawana njia yoyote ya kupima kazi zilizoibwa ktk internet.UDSM sio hiyo ambayo watu kufikia kudai PHD zao kama ni kitu cha kupewa kwa kugombania?UDSM sio hao hutoa marks km hongo kwa watu wenye kutoka familia au kuwa ktk siasa au taasisi zenye ushawishi?Kwa taarifa yako watu wa UDSM ndio wakuangalia kwa makini sana.
Kama hoja ni hizo mkuu ziletwe hivyo pamoja na evidence. Na Kama udsm ndo shida ijadiliwe kwa muktadha huo. Suala ni kuwa hoja kuhusu PhD ya Jpm haina mtiririko kwa kimantiki. Hauna evidence na mwelekeo unaoeleweka. Mara hana, Mara udsm wana haya, with no evidence
 
Upo sahihi mkuu. Ila naona pia ni tabia inakuja kwa kasi ya kumdhalilisha MTU pale anapokuwa anatofautiana mitizamo na sisi. Nadhani kama ni siasa watu walete hoja za siasa na sio kudhalilishana mkuu
Ndiyo siasa za tanzania pande zote mbili watu wa kati tuna taabu tukimtetea Mbowe akishambuliwa na ccm tunaitwa nyumbu sasa tunatetea Magufuli kwa comments za maana tutaitwa buku saba. Wanasiasa wametufanya wengi wetu tusitumie akili tulizopewa na mola sasa tunaendeshwa kwa remote na hao watu. Jiulize mwaka jana wakati kama huu Lowasa alikua gumzo hapa na pande zote mbili akiitwa Fisadi hasa upande wa UKAWA leo anaitwa rais wa mioyo ya watanzania sasa sijui kama walitaka kumdhalilisha kama unavyosema ama kweli alikua Fisadi
 
Kama hoja ni hizo mkuu ziletwe hivyo pamoja na evidence. Na Kama udsm ndo shida ijadiliwe kwa muktadha huo. Suala ni kuwa hoja kuhusu PhD ya Jpm haina mtiririko kwa kimantiki. Hauna evidence na mwelekeo unaoeleweka. Mara hana, Mara udsm wana haya, with no evidence
Hizi ni hoa za kutaka mfikirie zaidi ya kuandika vitu kiushabiki na sasa kukwepa hoja. Weka ushahidi kwamba UDSM ni immune kwa hayo mapungufu hapo juu.Kisha utuhaikikishie kuwa UDSM ni that solid.Ndio tuendelee na hiyo elimu yake.Km hayo mapungufu ya UDSM yalisaidia kwa lolote ktk hiyo PHD yake ni kama hakuipata kihalali na hivyo ni km hakupata kwa vile hakuifanyia kazi yenye kustahili.
 
Mkuu wewe ulisoma pale UDSM ama umesimuliwa?
Kwa kili yako km umesoma UD nashukuru utakuwa umenisaidia kuthibitisha mlivyoenda soma ujinga. KWA AKILI YAKO SIMULIZI ZOTE SIO KWELI. VITABU VYA DINI MSOMAVYO VINGI VILIANDIKWA KUTOKA KTK SIMULIZI ZA MIAKA MINGI, MAHAKAMANI KUHOJIWA KWA MASHAHIDI NA WAHUSIKA WA PANDE MBILI NI SIMULIZI. TAFITI VIJIJINI MNAFANYA NI SIMULIZI. HOA MALECTURE WENU WANWAPA SIMULIZI NA WENGINE WANWAJAZA PROPAGANDA TUPU ZA KIJAMAA. KWA UJUMLA HUNA UWEZO WA KUJITOA KTK HUO UTUMWA WA KIAKILI.HATA UKIWA NA NIA YA KUTOKA,WATESI WAKO WATAKUAMBIA UKITOKA NDIO UNAKWENDA KTK UTUMWA WA KIAKILI. KWA VIL ENI MWATHIRIKA UTARUDI TUU.
 
Ndiyo siasa za tanzania pande zote mbili watu wa kati tuna taabu tukimtetea Mbowe akishambuliwa na ccm tunaitwa nyumbu sasa tunatetea Magufuli kwa comments za maana tutaitwa buku saba. Wanasiasa wametufanya wengi wetu tusitumie akili tulizopewa na mola sasa tunaendeshwa kwa remote na hao watu. Jiulize mwaka jana wakati kama huu Lowasa alikua gumzo hapa na pande zote mbili akiitwa Fisadi hasa upande wa UKAWA leo anaitwa rais wa mioyo ya watanzania sasa sijui kama walitaka kumdhalilisha kama unavyosema ama kweli alikua Fisadi
Hahaha mkuu sijui kama kweli alikuwa fisadi maana hata evidence haikuwepo. Ila ninachomaanisha ni kuwa hata kama hatumpendi MTU, kuna mambo hatuwezi kubadilisha juu yake, na ni principal mkuu. Mfano hiyo ya PhD. Kwa tunaojua mlolongo wa PhD inatuwia ngumu kutuaminisha kuwa PhD ya MTU tunaejua alikosoma sio halali. PhD sio class test. Inapitia hatua na mifumo mingi. Unless anaehoji haelewi hata hilo.
 
Hizi ni hoa za kutaka mfikirie zaidi ya kuandika vitu kiushabiki na sasa kukwepa hoja. Weka ushahidi kwamba UDSM ni immune kwa hayo mapungufu hapo juu.Kisha utuhaikikishie kuwa UDSM ni that solid.Ndio tuendelee na hiyo elimu yake.Km hayo mapungufu ya UDSM yalisaidia kwa lolote ktk hiyo PHD yake ni kama hakuipata kihalali na hivyo ni km hakupata kwa vile hakuifanyia kazi yenye kustahili.
Sijasema kuwa udsm ipo immune mkuu. Hoja yangu ni uletwe ushahidi hapa kuhusu hizi tuhuma. Tukikubali kuhukumu bila ushaidi hata shetani atatushangaa mkuu.
 
Kwa kili yako km umesoma UD nashukuru utakuwa umenisaidia kuthibitisha mlivyoenda soma ujinga. KWA AKILI YAKO SIMULIZI ZOTE SIO KWELI. VITABU VYA DINI MSOMAVYO VINGI VILIANDIKWA KUTOKA KTK SIMULIZI ZA MIAKA MINGI, MAHAKAMANI KUHOJIWA KWA MASHAHIDI NA WAHUSIKA WA PANDE MBILI NI SIMULIZI. TAFITI VIJIJINI MNAFANYA NI SIMULIZI. HOA MALECTURE WENU WANWAPA SIMULIZI NA WENGINE WANWAJAZA PROPAGANDA TUPU ZA KIJAMAA. KWA UJUMLA HUNA UWEZO WA KUJITOA KTK HUO UTUMWA WA KIAKILI.HATA UKIWA NA NIA YA KUTOKA,WATESI WAKO WATAKUAMBIA UKITOKA NDIO UNAKWENDA KTK UTUMWA WA KIAKILI. KWA VIL ENI MWATHIRIKA UTARUDI TUU.
Mimi nimeuliza swali lakini umekuja na matusi. Ulitakiwa kujibu swali langu pamoja na kwamba sina hata degree sasa naamini akili si mpaka uende chuo kikuu ndiyo maana Mbowe kashika hatamu pale cdm japo hana elimu zaidi ya wenzake. Mbowe alichonacho ni kipaji cha uongozi cha kuzaliwa maana majibu uliyoyatoa ni tofauti na swali langu.
 
Sijasema kuwa udsm ipo immune mkuu. Hoja yangu ni uletwe ushahidi hapa kuhusu hizi tuhuma. Tukikubali kuhukumu bila ushaidi hata shetani atatushangaa mkuu.
Mbona unaruka vihunzi?unafahamu logic wewe au unadhani ulivyokuwa unajazajaza tuu na kusema ni rahisi basi ni rahisi kweli?Ingekuwa rahisi kama mnavyofanya mkiwa huko shule za kijamaa zenye watu wanaofikiri kama ghaddafi kujidanganya kwamba kapata kura 100% kutaishawishi dunia kwamba anakubalika na kupendwa, wasingeijaza hii nchi na watu wanaofanya vitu kama bado hata chekechea hawajafika . ULIVYOJIPRESENT KM UDSM NI HARVARD, AU MIT.
 
Hahaha mkuu sijui kama kweli alikuwa fisadi maana hata evidence haikuwepo. Ila ninachomaanisha ni kuwa hata kama hatumpendi MTU, kuna mambo hatuwezi kubadilisha juu yake, na ni principal mkuu. Mfano hiyo ya PhD. Kwa tunaojua mlolongo wa PhD inatuwia ngumu kutuaminisha kuwa PhD ya MTU tunaejua alikosoma sio halali. PhD sio class test. Inapitia hatua na mifumo mingi. Unless anaehoji haelewi hata hilo.
Mnadhani kwenda shule na kuona maandishi unayoweza kuyasoma ni lazima kuyaelewa?Mnajadili kijinga sana hoja,ndio maana mnaishia kupata conclusion za kijinga. PHD ambayo sio ya zawadi unahitaji kuitolea jasho sio jasho la kuhonga,au jasho la mahakamani,au jasho la kuwapa wahuni mitaani kufanya,au jasho la kuchapa au kukusanya misamiati.Ila jasho la kuja na solution katika maisha n aikibidi kuwa mstari wa mbele ku implement. km mtu anaweza kugombea urais na kuupata alishindwa vipi kupambana hizo project zifanye implemented?PHD zinakula hela,na mara nyingi ni hela ya wananchi hata kama unalipa.PhD sio kuchukua gamba tuu na kutua mzigo,kisha kwenda kula bata.Unless upo km yule waziri wa sheria aaliyefanya kazi kubwa kujionyesha ni kichwa,sasa anakuja jisifia kwamba kawatisha mafisadi. Km vile kuwatisha ndio ultimate goal and achievement.
 
PhD alisomea kwa lugha gani hii hii anayoshindwa kuizungumza?
 
N
Mbona unaruka vihunzi?unafahamu logic wewe au unadhani ulivyokuwa unajazajaza tuu na kusema ni rahisi basi ni rahisi kweli?Ingekuwa rahisi kama mnavyofanya mkiwa huko shule za kijamaa zenye watu wanaofikiri kama ghaddafi kujidanganya kwamba kapata kura 100% kutaishawishi dunia kwamba anakubalika na kupendwa, wasingeijaza hii nchi na watu wanaofanya vitu kama bado hata chekechea hawajafika . ULIVYOJIPRESENT KM UDSM NI HARVARD, AU MIT.
Ndugu Nicholas niliporuka ni wapi? Nimekwambia lete evidence beyond tunachojua kuwa aligraduate 2009. Na unapaswa pia kujua logic sio ya kujua tu ni pamoja na kui apply. Beyong logic ni critical thinking mkuu ambayo kwayo nakuuliza ulete evidence badala ya maneno maneno. Nicholas ukitaka usiwe na shida kwenye hizi kitu fuata kanuni za kawaida za arguments. Logic?? Be serious mkuu. Nakuuliza evidence unaleta sound.
 
Mimi nimeuliza swali lakini umekuja na matusi. Ulitakiwa kujibu swali langu pamoja na kwamba sina hata degree sasa naamini akili si mpaka uende chuo kikuu ndiyo maana Mbowe kashika hatamu pale cdm japo hana elimu zaidi ya wenzake. Mbowe alichonacho ni kipaji cha uongozi cha kuzaliwa maana majibu uliyoyatoa ni tofauti na swali langu.
Hacha kuplay victim, unajifanya kuonewa ili ujinga wako ukubalike?Logic y akipuuzi kweli ni logic ya kigaidi.Mgaidi ndio hawana aibu kudai kwamba wanapigania haki,huku wanafanya hasara kubwa hadi kwa hiyo haki. AKILI HAIPATIKANI SHULE, shule unakwenda pata mbinu na vitendea kazi kutumia hiyo akili.
 
W
Mnadhani kwenda shule na kuona maandisho unayoweza kuyasoma ni lazima kuyaelewa?Mnajadili kijinga sana hoja,ndio maana mnaishia kupata conclusion za kijinga. PHD ambayo sio ya zawadi unahitaji kuitolea jasho sio jasho la kuhonga,au jasho la mahakamani,au jasho la kuwapa wahuni mitaani kufanya,au jasho la kuchapa au kukusanya misamiati.Ila jasho la kuja na solution katika maisha n aikibidi kuwa mstari wa mbele ku implement. km mtu anaweza kugombea urais na kuupata alishindwa vipi kupambana hizo project zifanye implemented?PHD zinakula hela,na mara nyingi ni hela ya wananchi hata kama unalipa.PhD sio kuchukua gamba tuu na kutua mzigo,kisha kwenda kula bata.Unless upo km yule waziri wa sheria aaliyefanya kazi kubwa kujionyesha ni kichwa,sasa anakuja jisifia kwamba kawatisha mafisadi. Km vile kuwatisha ndio ultimate goal and achievement.
Nicholas mbona hueleweki mkuu. Leta evidence acha sound
 
PhD alisomea kwa lugha gani hii hii anayoshindwa kuizungumza?
patamu hapo. Na ninavyofahamu mastery ya languaje fulani vizuri ni tool ya mafanikio ktk kuweza reason na kuwakilisha mawazo kwa usahihi kabisa. Sidhani km kiswahili (ingawa wengi hatukijui nacho)kipindi hicho walikuwa wana kila neno kwa sayansi ya level ya PhD, na hata kiluga sijui nacho kama kingeweza beba hii sayansi.NI wazi wasomi wetu wana kazi sana kufikiri kwa lugha sahihi ktk taaluma zao. Na hata hivyo hao wasahihishaji nao,wanaweza kuwa shida zadi ngoma ikaishia funika kombe.
 
N

Ndugu Nicholas niliporuka ni wapi? Nimekwambia lete evidence beyond tunachojua kuwa aligraduate 2009. Na unapaswa pia kujua logic sio ya kujua tu ni pamoja na kui apply. Beyong logic ni critical thinking mkuu ambayo kwayo nakuuliza ulete evidence badala ya maneno maneno. Nicholas ukitaka usiwe na shida kwenye hizi kitu fuata kanuni za kawaida za arguments. Logic?? Be serious mkuu. Nakuuliza evidence unaleta sound.
Mkuu unajua kuvumilia mediocrity ni shida ingine.Kama unajua ame graduate tuu, mengine hujui mbona unajibu mpaka usiyoyajua? Nikikuvumilia nitashuka kufikiri km wewe.
 
Back
Top Bottom