PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

Kisandu anaonekana ni mvivu wa kutafuta taarifa sahihi. Kisandu umeshinda nini kwenda kuwaona wanaoelewa maana na aina za PhDs kuliko kuokoteza hizi taarifa ambapo kuna mahali unapatia na kuna mahali unapotosha? Inaonekana huna uelewa wa kutosha na unachokileta kwa umma. Kwa hadhi yako ni vema ukawa na uhakika wa 100% wa jambo la kitaaluma unalolileta kwa jamii au umma. Mambo ya kitaaluma ni tofauti na porojo za kisiasa. Kama unapenda porojo usizifanye kwenye jambo la kitaaluma. Cha ajabu eti na nawewe tunaweza kusikia umepewa Ukuu wa wilaya. Mmeharibu sana hadhi ya vyeo ninyi watu. Halafu umejitambulisha kuwa upo Kahama au ni mtu wa Kahama ili huyu ndugu ajue kwamba wewe ni wa kanda ya ziwa kama yeye? Hii ni hatari nyingine kwa Taifa letu. Tunajua ninyi wa kanda hiyo mpo wengi sana! Yaani kila mmoja siku hizi anatamani ajulikane kuwa ni wa kanda hiyo. Kwa nini? Sasa nimethibitisha uwezo mkubwa wa kufikiri mbele aliokuwa nao Mwalimu Nyerere wa kutopenda mtu wa kabila kubwa kupewa madaraka makubwa ya nchi. Mbona wale wa kanda ya waziri Mkuu hawajidai kama hawa wengine? Watu wa kusini mwa nchi mara zote ni wastaarabu sana! Na ndio waliokuwa na uchungu na nchi tangu zamani. Mfano Mkwawa, Kinjekitile, Chabruma na wengine wengi. Kule kanda yao unamsikia mmoja tu, Mirambo ambaye naye alishawishiwa na Mkwawa kupinga ukoloni. Hebu fikiri huyu Kisandu ndio anakuwa mkuu wa wilaya kwa mfano, unategemea nini zaidi ya visasi na kujipendekeza?
 
Wewe na wenzio mnaotaka chapisho la hiyo PhD nendeni maktaba ya UDSM.

Mnajidharirisha mbele ya wasomi na wale waluotunuku hiyo PhD. Naamini mnasikia tu PhD hamjui jinsi inavyopatikana.

AIBU
Sawa.
 
PhD ya Rais Dkt.Magufuli IKO SAHIHI.

Kuna aina 5 za PhD duniani zote ni za kitaaluma. PhD nayozungumza hapa ni ya ki Falsafa. Zifuatazo ni Sifa ambazo MTU huweza kutunukiwa PH D.

1. PhD ya Darasani: Unasoma degree ya kwanza(Bachelor), baadae unasoma degree ya pili(masters) baadae unasoma degree ya tatu katika mfumo WA utafiti(PhD). Basi unakuwa na sifa ya kuwa Daktari WA falsafa.

2. PhD ya Tukio: umesoma degree ya kwanza na ya pili, lakini ukaja kufanya jambo la kiutafiti bila kujua ambalo likasaidia jamii. Hapa vyuo hutunuku Masters na PhD kwa wakati mmoja au kama una masters unatunukiwa PhD moja kwa moja na chuo kinachoendana na jambo ulilofanya, mfano: kusuluhisha migogoro migumu na ukafanikiwa, kutoa mwongozo kwa jambo Fulani na likafanikiwa, umekuwa MTU mashuhuri kwa mambo ya kujenga jamii na jamii ikafuata na ikafanikiwa, n.k hapa unatunukiwa PhD bila pingamizi. Rejea PhD ya Dkt. Jakaya Kikwete na mgogoro WA Kenya 2007 baada ya kuwaweka sawa Wapinzani na Watawala.

3. PhD ya Utafiti: Umekuwa na degree moja au mbili na umekuwa ukifanya Dissertation mbalimbali ambazo zimekuwa zinasaidia jamii, hapa unatunukiwa PhD kwa kuzingatia juhudi binafsi za kujitolea.

4. PhD ya uandishi WA Vitabu: hapa unaweza usiwe hata na degree yoyote ile ukawa na cheti au diploma au degree(if possible), kutokana na MTU kuandika vitabu Mara kwa Mara vya kusaidia maswala mbalimbali ya kijamii na jamii ikanufaika na hivyo vitabu, basi mhusika kwa kuzingatia umhimu WA jambo hutunukiwa vyote kwa wakati mmoja yaani degree ya kwanza, ya pili na ya tatu PhD.

5. Tuzo ya Heshima: Hapa inategemea umefanya jambo gani katika jamii yako kitaifa au kimataifa ambalo jambo hill limeleta Neema kwa Taifa lako au Kimataifa. Hapa unaweza kutunukiwa tuzo ya Sir au PhD, unamkumbuka Sir George Kahama na tuzo ya mwingereza.

NB: Na sikila MTU hutunukiwa maana inategemeana na jambo lenyewe. Mimi Deogratius Kisandu, na washauri vijana wenzangu kabla huja hoji Elimu ya MTU, cha kwanza jifunze mfumo WA utoaji taaluma na Tuzo Duniani. Ndipo sasa uhoji. Kati ya hizo moja wapo Mheshimiwa wetu yupo.

Hongera Rais Dkt. John Magufuli kwa PhD ya Falsafa. Na kheri ya Mwaka Mpya.

deogratius Nalimi Kisandu
2 January 2017.
Kahama-Tanzania.
Wewe ni mpuuzi na ni wa kupuuza.
 
Hali mtaani ni mbaya haihitaji Phd kusolve hii hali, ni kuacha tuu kutumia hela kununua ndege watu waongezewe mishahara na bidhaa zizibitiwe kupanda bei, kodi za kunua gari mill 1 japani ikifika bandarin Dar inapanda mpk mill 12 ziangaliwe tena na zile pesa za rambirambi zisifanyiwe kazi ambayo hufanywa na kodi,hali mbaya watu mnasema bora anyoshe maana nchi ilikuwa na hali mbaya, kwelii? Hali mbaya vipi wakati nchi ulikuwa inaendelea na watu ilikuwa wanalia na ubadhilifu pekee na c kufinya pesa,kuthibiti uadilifu huduma ziende kwa haki ilitosha saana ,dunia yenyewe karibu inafika mwisho hii kutesana huko vipi? Tuteseke duniani tukateseke na motoni khaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
mbowe pia akifanikisha kuua vyama vyote vya siasa nchini, atatunukiwa Phd wakaki ata degrii hana????
 
Ni phd ya kweli. Udsm wanafundisha kwa lugha ya Kiingrishi na maphd holder wote wanaotoka pale huongea kiingrishi vizuri. ndio maana tunasema udsm ni chuo bora kuliko vyote bongo. hongera sana udsm.
 
Hali mtaani ni mbaya haihitaji Phd kusolve hii hali, ni kuacha tuu kutumia hela kununua ndege watu waongezewe mishahara na bidhaa zizibitiwe kupanda bei, kodi za kunua gari mill 1 japani ikifika bandarin Dar inapanda mpk mill 12 ziangaliwe tena na zile pesa za rambirambi zisifanyiwe kazi ambayo hufanywa na kodi,hali mbaya watu mnasema bora anyoshe maana nchi ilikuwa na hali mbaya, kwelii? Hali mbaya vipi wakati nchi ulikuwa inaendelea na watu ilikuwa wanalia na ubadhilifu pekee na c kufinya pesa,kuthibiti uadilifu huduma ziende kwa haki ilitosha saana ,dunia yenyewe karibu inafika mwisho hii kutesana huko vipi? Tuteseke duniani tukateseke na motoni khaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
jambo ninalojiuliza, maisha kabla yake yalikuwa mazuri sana. lakini sasaivi, duh, Mungu anajua.wanahakikisha fedha mtaani hazipo kabisa, sasa sijui wanataka watu wapate wapi pesa,
 
Kwa kifupi ni kwamba, Raisi John Magufuli alianza masomo yake ya PHD (Chemistry) pale Chuo Kikuu cha DSM mwaka 2006 na kuhitimu kwa ufaulu mzuri mwaka 2009.
Hapo hakuna blaa blaa. Jamaa ni mzuri sana darasani hasa somo hilo la Kemia.
Pigeni porojo mambo mengine lakini kwa darasani achana kabisa na huyo mkuu.
 
2. PhD ya Tukio: umesoma degree ya kwanza na ya pili, lakini ukaja kufanya jambo la kiutafiti bila kujua ambalo likasaidia jamii. Hapa vyuo hutunuku Masters na PhD kwa wakati mmoja au kama una masters unatunukiwa PhD moja kwa moja na chuo kinachoendana na jambo ulilofanya, mfano: kusuluhisha migogoro migumu na ukafanikiwa, kutoa mwongozo kwa jambo Fulani na likafanikiwa, umekuwa MTU mashuhuri kwa mambo ya kujenga jamii na jamii ikafuata na ikafanikiwa, n.k hapa unatunukiwa PhD bila pingamizi. Rejea PhD ya Dkt. Jakaya Kikwete na mgogoro WA Kenya 2007 baada ya kuwaweka sawa Wapinzani na Watawala.

.
Utafiti gani unafanyika bila mtafiti kujua?
 
lakini wabongo wengi pamoja na kuwa na phd, kimombo ni shida kama vile phd hizo walizisoma kwa kiswahili vile. ndo maana phd zote zilizopatikana tz hadhi kidogo ipo chini. mifano tunayo.
 
Mi nadhani utendaji wa Magufuli tuu tangu aingie kwenye ubunge na kuwa waziri alistahili PhD. Maana kupambana kwenye kundi kubwa la wana CCM ambao wengi walikuwa wameshaanza kukiuka misingi ya chama na ku shine, he deserved it.
Huko sahii mfano ugawaji wa nyumba za NHC na manunuzi ya meli mtumba goi goi pamoja na kuongoza wizara iliyopata hasara na ufisadi wa takribani billion 482 hayo tu yanampa Phd
 
haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.! yaani kama ulikuwemo kichwani mwangu Mkuu. asante na wewe kwa kuona kama mimi.
 
Mh. Rais amesoma PhD yake kwa jasho kabisa tena akijitahidi mno. Sasa wale ambao wanaishuku PhD yake ninataka wao watuonyeshe za kwao. Kumbukeni UDSM elimu yake si mchezo na Phd ilikuwa inachukua muda sana tofauti hata na vyuo vya nje ambavyo wengi ndiko walikopatia PhD fake. Acha Rais wetu aendelee kutumbua tu, hata angekuwa na elimu ya lowe Second mimi siangalii bali ninaangalia utendaji wake wa kazi. Kwani PhD itatufikisha wapi kama tutaendelea kulea mafisadi na wezi? Yaani acha abane ili tuwe na adabu na heshima mtaani iendelee.
Vizuri sana kiongozi!
 
PhD ya Rais Dkt.Magufuli IKO SAHIHI.

Kuna aina 5 za PhD duniani zote ni za kitaaluma. PhD nayozungumza hapa ni ya ki Falsafa. Zifuatazo ni Sifa ambazo MTU huweza kutunukiwa PH D.

1. PhD ya Darasani: Unasoma degree ya kwanza(Bachelor), baadae unasoma degree ya pili(masters) baadae unasoma degree ya tatu katika mfumo WA utafiti(PhD). Basi unakuwa na sifa ya kuwa Daktari WA falsafa.

2. PhD ya Tukio: umesoma degree ya kwanza na ya pili, lakini ukaja kufanya jambo la kiutafiti bila kujua ambalo likasaidia jamii. Hapa vyuo hutunuku Masters na PhD kwa wakati mmoja au kama una masters unatunukiwa PhD moja kwa moja na chuo kinachoendana na jambo ulilofanya, mfano: kusuluhisha migogoro migumu na ukafanikiwa, kutoa mwongozo kwa jambo Fulani na likafanikiwa, umekuwa MTU mashuhuri kwa mambo ya kujenga jamii na jamii ikafuata na ikafanikiwa, n.k hapa unatunukiwa PhD bila pingamizi. Rejea PhD ya Dkt. Jakaya Kikwete na mgogoro WA Kenya 2007 baada ya kuwaweka sawa Wapinzani na Watawala.

3. PhD ya Utafiti: Umekuwa na degree moja au mbili na umekuwa ukifanya Dissertation mbalimbali ambazo zimekuwa zinasaidia jamii, hapa unatunukiwa PhD kwa kuzingatia juhudi binafsi za kujitolea.

4. PhD ya uandishi WA Vitabu: hapa unaweza usiwe hata na degree yoyote ile ukawa na cheti au diploma au degree(if possible), kutokana na MTU kuandika vitabu Mara kwa Mara vya kusaidia maswala mbalimbali ya kijamii na jamii ikanufaika na hivyo vitabu, basi mhusika kwa kuzingatia umhimu WA jambo hutunukiwa vyote kwa wakati mmoja yaani degree ya kwanza, ya pili na ya tatu PhD.

5. Tuzo ya Heshima: Hapa inategemea umefanya jambo gani katika jamii yako kitaifa au kimataifa ambalo jambo hill limeleta Neema kwa Taifa lako au Kimataifa. Hapa unaweza kutunukiwa tuzo ya Sir au PhD, unamkumbuka Sir George Kahama na tuzo ya mwingereza.

NB: Na sikila MTU hutunukiwa maana inategemeana na jambo lenyewe. Mimi Deogratius Kisandu, na washauri vijana wenzangu kabla huja hoji Elimu ya MTU, cha kwanza jifunze mfumo WA utoaji taaluma na Tuzo Duniani. Ndipo sasa uhoji. Kati ya hizo moja wapo Mheshimiwa wetu yupo.

Hongera Rais Dkt. John Magufuli kwa PhD ya Falsafa. Na kheri ya Mwaka Mpya.

deogratius Nalimi Kisandu
2 January 2017.
Kahama-Tanzania.
Shida ni hii pongezi hapo chini.Hata hujasema yupo ktk lipi.Kisha uje katika alichokifanyia kazi na ubora zake. Na kama waliompa walifikia viwango vya weledi na kimaadili. Sasa unapongeza kwa kuthibitisha au kuthibitika au lipi kwa vile hujamweka ktk category husika
 
JPM amesoma PhD UDSM, inaeleweka. Binafsi sioni uhalali wa hoja nyepesi za kuitilia shaka. He worked for it, he achieved it. Hakuna siasa hapo. Wanaohoji hiyo PhD yake wana yao. Na hawawezi kubadilika maana hila huleta upofu.
Tatizo la watanzania kila kitu mnachukua for granted.Ndio maana hamuwezi gundu akitu zaidi ya obvious, hamjiulizi maswali hata yaliyo karibu na macho yenu.Kwani UDSM ndio ina kinga dhidi ya: PHD za kufanyiwa, za kupewa km vile zimfanywa?UDSM si ndio demu asipopanua kwa mwalimu ana disco?Au mvulana demu wake akipendwa na mhadhiri anapigwa chini tuu?UDSM hawana tafiti ya kupika?UDSM sio hao hawana njia yoyote ya kupima kazi zilizoibwa ktk internet.UDSM sio hiyo ambayo watu kufikia kudai PHD zao kama ni kitu cha kupewa kwa kugombania?UDSM sio hao hutoa marks km hongo kwa watu wenye kutoka familia au kuwa ktk siasa au taasisi zenye ushawishi?Kwa taarifa yako watu wa UDSM ndio wakuangalia kwa makini sana.
 
Back
Top Bottom