Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,021
- 6,783
Pharis tumemsikia anasema Heche ni mwizi.
Heche hafai kuwa keep ongozi wa nchi hii.
Nani amemwambia Pharis Heche amekaribia kuwa kiongozi wa nchi hii?
Heche sasa hivi anasota waya.
Heche anawayawaya wakati tunasubiri hukumu ya Mahakama Nov 6.
Heche wanasema alikuwa house boy wa Mbowe.
Hata Joseph Kabila alikuwa house boy wa Kagame.
I am not supporting anyone.
Isipokuwa sidhani kama kuna ushahudi kwamba He he anastahili persecution sasa hivi.