Samsung almost kila kitu ni inhouse kuanzia processor, memory, display na vichip vyengine wakati tecno yeye processor ni mediatek na vyengine unknown brand. hivyo havilingishikaniki labda uangalie tu specs juu juu ndio ulinganishe.
na tukiangalia kwa specs maybe inalingana na s3 ile version ya 2gb, zote zina 720p display, zote 2gb ram, zote zina 16gb internal (s3 ina variety ya 32gb), zote processor ni 1.4ghz ila s3 ni cortex a9 wakati tecno ni a7 na tecno ina core 8 wakati s3 ni nne.