Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,434
Ni kweli mkuu!!! PC yenye RAM ya 4 GB unapigia kazi kubwa tu ikiwemo graphics!Mimi kinachonishangaza kwa android ni hizo ram uwa najiuliza zina kazi gani kwenye simu.
Hivi kuna game au app ya simu yenye kuihitaji hizo ram zote au ni mbwembwe za kuweka specifications nyingi hata zisizo na faida kwa mtumiaji.
RAM huwa wanafanya tafiti ya utumiaji wa simu. Watumiaji wengi wa android wanaweka apps nyingi kwenye simu na hivyo simu yenye RAM ndogo itajam mapema tu.screen bado full HD na sio AMOLED wakati note 4 ilitoka mwaka 2014 na ina QHD na AMOLED. Halafu tecno ninavyowajua wataiuza laki 9.
Mimi kinachonishangaza kwa android ni hizo ram uwa najiuliza zina kazi gani kwenye simu.
Hivi kuna game au app ya simu yenye kuihitaji hizo ram zote au ni mbwembwe za kuweka specifications nyingi hata zisizo na faida kwa mtumiaji.
Kwani si android ina mfumo wa kufunga app ambazo umefungua na huzitumii?RAM huwa wanafanya tafiti ya utumiaji wa simu. Watumiaji wengi wa android wanaweka apps nyingi kwenye simu na hivyo simu yenye RAM ndogo itajam mapema tu.
Wameona mkiwekewa bei rahisi mnadharau ngoja waipe hadhi kwa kuongeza beiTECNO wameshaanza kuzingua, kuzingua kwao ni kwenye bei.
"Tecno Phantom 8 price in Tanzania will cost between 800, 000
Tanzanian Shilling-850, 000 Tanzanian Shilling"
Hiyo ni bei ya Phantom 8, je bei ya Phantom 8 Plus itakuwaje?
Kwa staili hii tutahamia team Samsung.
wanaleta *simi*?? mkukumkuku!!!Tecno nawachukia,hiyo tabia ya kuleta simi mkukumkuku kumbe hazijajitosheleza,hapa natumia phantom 6+,kinachonikuta naogopa hata kuchekwa,its disgusting wajameni.
tangu chief mkwawa awekage ushahidi hizi simu za wachina zinapenyeza mionzi hadi katikati ya kichwa sitaki kuzisikia, ni kama malaya aliependeza
Nishauza yang...nimeazima simu kwa mtu najchanga next month nihamie samsungHata mimi nitawakimbia soon
Ni mbovu sana au zikoje?Wakuu fatilieni live fb,balaa la phantom 8
More update to follow.....
...Unajua imewachukua muda gani and costs to have the name/brand?ivi hawawez kubadilisha ilo jina coz me silipendi
Kununua simu ya Tecno bora ucheze Biko.
issue hapa wanaweka ram nyingi ili wakujazie bloatware nyingi, unanunua simu ina apps 50 tayari pre installed na huwezi zitoa,Kwani si android ina mfumo wa kufunga app ambazo umefungua na huzitumii?
Mimi naona mbwembwe tu, simu ram 6gb inakuwa overpassed na sim ya ram 3gb katika performance
Hapo nimekusoma chief, dah maana si kwa ram hizo aisee...issue hapa wanaweka ram nyingi ili wakujazie bloatware nyingi, unanunua simu ina apps 50 tayari pre installed na huwezi zitoa,
pia siku hizi wana cache vitu kwenye ram, unakuta unapowasha simu kuna vitu automatic vinaenda kwenye ram kama vile launcher na built in apps za mara kwa mara kama app ya kupigia simu na sms.
bila kumsahau facebook, app zake mwenyewe zinaweza kula hadi 2GB ram.
hio note 8 imetoka juzi tu tayari free ram ipo hivyo ukiijaza zaidi inakuwa slow hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kununua simu ya Tecno bora ucheze Biko.