Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,432
Ni kweli mkuu!!! PC yenye RAM ya 4 GB unapigia kazi kubwa tu ikiwemo graphics!Mimi kinachonishangaza kwa android ni hizo ram uwa najiuliza zina kazi gani kwenye simu.
Hivi kuna game au app ya simu yenye kuihitaji hizo ram zote au ni mbwembwe za kuweka specifications nyingi hata zisizo na faida kwa mtumiaji.
Sijawahi kutumia tecno lkn huwa naona picha wanazopiga watumiaji wa tecno zinasikitisha!!! Too noisy, hapo anakuwambia ina sijui 13mp!!! Nawaza hata hizi sijui 20mp itakuwa takataka tu!!

