Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Hatukucheki mkuuTecno nawachukia,hiyo tabia ya kuleta simi mkukumkuku kumbe hazijajitosheleza,hapa natumia phantom 6+,kinachonikuta naogopa hata kuchekwa,its disgusting wajameni.
Hatukucheki mkuuTecno nawachukia,hiyo tabia ya kuleta simi mkukumkuku kumbe hazijajitosheleza,hapa natumia phantom 6+,kinachonikuta naogopa hata kuchekwa,its disgusting wajameni.
Usijal phantom 10 itakua inatumia petroliTECNO AKIMBIZANE NA IPHONE KWA LIPI
HahaaaaaVip imeshatoka android 8.0??
Mkuu mbona me natumia hii j8 bt ipo poa tu, charge safi mnooo,internet ipo safi yaani sioni tatizo,labda camera Si gud sana kwa wapenda mapicha japo ni 13mp bt hovyoMimi natumia boom J8. Inanizingua kinoma! Mapenzi yangu kwa tecno yamekoma
yap bado mtk ila p25 imetumia manufacturing process ya 16nm hivyo kiasi fullani ni efficient tofauti na mtk nyengine.Hapo nimekusoma chief, dah maana si kwa ram hizo aisee...
Simu yenye ram kubwa hivyo ukiipiga android pure kama ya htc nahisi itakuwa super fast..
Hiyo processor ya tekno bado ni mtk?
Chief kuna jambo uwa unasema kuwa mtk haziko energy efficient kama processor zinazo designiwa na wale waingereza jina nimesahau bt wanazotumia samsung na sony n.kyap bado mtk ila p25 imetumia manufacturing process ya 16nm hivyo kiasi fullani ni efficient tofauti na mtk nyengine.
simu yenye same specs ya Tecno na samsung ujue ya samsung itakaa sana na charge,Chief kuna jambo uwa unasema kuwa mtk haziko energy efficient kama processor zinazo designiwa na wale waingereza jina nimesahau bt wanazotumia samsung na sony n.k
But mbona hawa tecno simu zao zinakaa sana na chaji na hizo mtk zao.
Kuna siku nilimnunulia mtu tecno w5 kabla ya kumpatia nimekaa nayo siku mbili ikiwa full ntacheza internet zunguka kote but mpaka usiku bado ina charge.
Got you chiefsimu yenye same specs ya Tecno na samsung ujue ya samsung itakaa sana na charge,
unakuta Tecno inakaa sana na charge sababu
-Kioo chake ni HD ya kawaida au SD na sio Full HD au Quad HD
-Battery lake lina MAH nyingi.
-processor ipo slow
hivyo unasacrifice kuona kitu kizuri (display) na simu yenye nguvu ili upate battery life nzuri.
ukitafuta simu ya samsung yenye same weakness kuwa na display yenye resolution ndogo, weak cpu na battery kubwa kubwa utapata simu inayokaa na chaji sana kuliko Tecno yoyote.
mfano hii ni galaxy j7 2016 kioo chake ni HD ya kawaida,
![]()
anaitumia mwanamke matumizi yake ni madogo sana, whatsapp, jf, insta basi.
hapo utaona ameshatumia siku 2 na masaa 8 bila kuichaji, na still kuna 34% remaining, ina maana kama pattern yake ya matumizi inaenda hivyo hivyo itachukua siku 3 na masaa 12 kuisha charge.
Hata hii phantom 8 itakaa sana na charge sababu ina same advantage kama samsung za 2017. utaona hapa miezi kadhaa baadae watakuja kujidai humu jukwaani.
nimecheki resolution ya w3 ni 800x480 tu, ni kioo kidogo sana,
helio p25 inanguvu sana na inakubali update directlyp25 sio soc mbaya ila ninavyowajua Tecno wataiuza ghali kuliko maelezo, hii ni equivalent na samsung j7 2017, xiaomi redmi note 4, motorola moto g5 plus etc hizo zote ni simu za chini ya laki 5.
haina nguvu mkuu, yenye nguvu kwenye mediatek ni X series kama hio x30 inayopatikana kwenye phantom 8 plus,helio p25 inanguvu sana na inakubali update directly
Kuna mtu ataspend 800k kununua techo?TECNO wameshaanza kuzingua, kuzingua kwao ni kwenye bei.
"Tecno Phantom 8 price in Tanzania will cost between 800, 000
Tanzanian Shilling-850, 000 Tanzanian Shilling"
Hiyo ni bei ya Phantom 8, je bei ya Phantom 8 Plus itakuwaje?
Kwa staili hii tutahamia team Samsung.