Phantom 8 ni dhoruba kutoka tecno

Phantom 8 ni dhoruba kutoka tecno

Mkuu mbona me natumia hii j8 bt ipo poa tu, charge safi mnooo,internet ipo safi yaani sioni tatizo,labda camera Si gud sana kwa wapenda mapicha japo ni 13mp bt hovyo
Nimeweka default storage kuwa SD card, lakini kila ninacho download kinawekwa kwenye phone storage. Kwa hiyo baada ya muda mfupi phone storage inajaa, nashindwa ku download apps zaidi.
 
Mchina ni mchina tu...najua wanajaribu kujenga confidance ya customers..ila bado sana..wangejikita kwenye research zaidi ili kuja na kitu cha uhakika sio kuigaiga tu..na sioni mantic ya kurukia phantom 8..eti kwa sababu samsung wametoa galaxy 8 na Apple wana iphone 8..hiyo kukrupuka!
Tecno siyo ya mchina. Za mchina ni xiaomi na infinix, ambazo ni nzuri sana ingawa hazifikii samsung
 
Tecno Phantom 8 Speculations

5.5 inches full HD display (confirmed)
6GB or 4GB RAM
64GB storage (confirmed)
13MP + 12MP dual rear cameras (confirmed)
20MP front camera (confirmed)
Helio P25 Octa-core 2.6GHz Processor
3500 mAh battery (confirmed)
Android 7.0 Nougat with HiOS (confirmed)
Glossy Plastic or Glass finish (confirmed)


Tecno Phantom 8 Plus Speculations

6.0 inches full HD display
6GB RAM (confirmed)
64GB storage
Helio X30 Processor
One normal camera lens + one 2x Telephoto Lens camera
20 MP front camera (confirmed)
4000 mAh battery
Android 7.0 Nougat with HiOS (confirmed)
Metal or Glass finish
Inauzwa bei gani?
 
Wabongo bhana kwa kuponda products za wenzao wako vizuri wako nchi yetu hata kiwanda cha toothpick hatuna
 
Watu mnaojua mambo ya teknolojia mnajaribu wafosi wengine waihame Tecno ilhali wengine shida yao ni ilimradi wawe wanaingia jamii forum kama nyinyi basi!





Hayo masuala ya ubora na ufanisi hayawasumbui kabisa
 
Chief kuna jambo uwa unasema kuwa mtk haziko energy efficient kama processor zinazo designiwa na wale waingereza jina nimesahau bt wanazotumia samsung na sony n.k
But mbona hawa tecno simu zao zinakaa sana na chaji na hizo mtk zao.
Kuna siku nilimnunulia mtu tecno w5 kabla ya kumpatia nimekaa nayo siku mbili ikiwa full ntacheza internet zunguka kote but mpaka usiku bado ina charge.
Hii nikweli hata mie sina kipingamizi juu ya hilo
 
Nasikia techno ni kampuni ya RAIA w a nigeria ila kiwsnda kiko China na ukienda China penyewe hawaziuzi hivyo ni kwa solo LA Africa specifically.
 
Hizooo n lavel yenuu hata wangewekaa nn hiloo jinaa tuu nkilickiaa ctak hata kuickiaaa
 
TECNO SIJAWAH KUTUMIA NA SJAWAH KUZIPENDA.

SAMSUNG/IPHONE/WINDOW PHONE, NDIYO SM ZA KUNUNUA
 
Tecno
Kampuni inayoongoza kwa Mauzo ya Simu janja Barani Afrika

Wewe zidi kuwakosoa wenzako wanapiga pesa ndefu Barani kwako
 
Back
Top Bottom