Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

Status
Not open for further replies.
Kweli kabisa mkuu, kulinganisha LDC's na DC's haiwezekani.

Lakini pia, tusihukumu kwa kuangalia serikalini au bungeni mambo yanafanywa vipi, bali tuangalie what's right to be done.

Hata kama CCM au serikalini watu ni vilaza, je na wapinzani wafanye madudu hayo hayo!?

Ni vyema tukakubali kwamba kuunganisha vipaji na taaluma ni vyema zaidi kuliko kutumia vipaji pekee.

Kuna mchangiaji mmoja bila ya aibu ametolea mfano watu kama Mkwawa, mwingine amemtaja chief Mangungo wa Msovelo, na mwingine bila woga kamtaja Kinjeketile Ngwale kuwa hawakuwa na elimu bali walikuwa viongozi hodari. Seriously!?

Prof Lipumba na ma-prof wengine wote kwenye hili la kuruhusu kuongozwa na mtu ambae amepata daraja sifuri kidato cha sita sidhani kama walifikiri intensively and critically.

Kote kuna wagonjwa tofauti ni wodi walizolazwa na matibabu wanayopokea!!!!
 
Ama kweli "nyani haoni ............le!!" Hivi Nape alifaulu kwa kiwango gani? Mbona anawaburuza ma-prof kibao tu huko CCM? Maji mafupi amesoma kwa kiwango gani? Malizia mwenyewe nya.mba.ff!!

Bora hata Nape ni masters degree holder. Lakini hiyo ya aliyepata sifuri kuongoza ma-prof, haikubaliki aise. It doesn't make any sense.
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.
Mjinga mkubwa wee!! Mbona nchi hii tumeongozwa za viongozi wa elimu ya kati na mambo yakaenda vizuri!!!
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

inaonekana wewe elimu haijakukomboa, tangia tanzania kupata uhuru imewahi kuongozwa na phd's? mfano kikwete anaongoza watu wenyeelimu ya juu na wenyevipaji vikubwa, pia sisiemu kunamaprof wananga akiwemo baba yangu, wanaongozwa na nahuyojama, kweli nyani haoni ku................................!!!!
 
Prof. Nape
Prof. Kinana
Prof. Kikwete
Prof. Mwigulu
Prof. Sadifu
Prof. Wasira
Prof. Lukuvi
Kweli ccm inaongozwa na Maprofesa wanaowaongoza Maprofesa wenzao kama Maghembe, Tibaijuka nk.

Hii imenifurahisha sana, mtoa mada amevurugwa sana.
 
There is a huge difference between a person who has reached advanced level of secondary education and attained a certificate of ACSE and the other one who scored a zero though he/s managed to reach the advanced level.

Guys, let's be honestry, how would it feel kuongozwa na mtu ambae unajua kabisa kapata sifuri kwenye mitihani yake? For me I can't allow.

Kwa hiyo ndugu yangu wananchi wa Korogwa ni wapuuzi kwa kumchagua Prof. Maji Marefu?
 
Na JK aliafanya vizuri BA yake akapata PASS...........the highest rank in the land! Wala hakuona sababu ya kuendelea na MA au mpaka PhD......kumbuka 1973 ajira zilikuwa za kutosha sana kwa elimu hiyo lakini alikosa na akaishia kujiunga na TANU and then Jeshi

Uwezo wako kufikiri ndo unakwambia elimu ya Dj Mbowe ya form 6 YA DIVISION 0 ni bora zaidi ya Degree ya Pass ya JK.
Kwa taarifa tu ni kwamba JK alipomaliza Chuo tu alipata ajira BOT, ni yeye binafsi ndo aliye-opt kuingia kwenye siasa kutokana na influence ya baba yake. Nakushauri rejea vizuri historia ya Mhe. sio kukurupuka na mapovu mdomoni kupost vitu visivyoeleweka
 
Uwezo wako kufikiri ndo unakwambia elimu ya Dj Mbowe ya form 6 YA DIVISION 0 ni bora zaidi ya Degree ya Pass ya JK. Kwa taarifa tu ni kwamba JK alipomaliza Chuo tu alipata ajira BOT, ni yeye binafsi ndo aliye-opt kuingia kwenye siasa kutokana na influence ya baba yake. Nakushauri rejea vizuri historia ya Mhe. sio kukurupuka na mapovu mdomoni kupost vitu visivyoeleweka

Hahahaa.......uwezo wangu wa kufikiri huufikii hata kwa level ya kisigino! Alikwambia yeye kuwa alipata kazi BoT? Keep on bootlicking him!
 
Kama mtu anafanya vizuri kuna haja gani ya kujadili elimu yake? Ila kama hawezi ndipo tunaangalia na kigezo cha elimu. Elimu sio kila kitu katika mambo ya uongozi. Unaweza ukawa na elimu kubwa ila haihusiani na mambo ya uongozi kwahiyo bado hautakuwa na kigezo cha kuwa kiongozi bora. Uongozi ni 'born in nature' na inahitaji elimu kidogo tu ya kijamii. Ukiona mtu anasoma saaana ili awe kiongozi, basi tambua wazi kuwa anataka 'kui-dictate' jamii na sio kuiongoza kidemokrasia, na mtu huyo hana karama ya uongozi bali anatumia nguvu ya elimu yake. Lakini pia wapo wenye nature ya uongozi na pia wanaelimu kubwa, sisemi kuwa ndo wanafaa sana ila itategemea na elimu zao zinahusu mambo gani zaidi. Ni hayo tu.
 
We kweli pimbi na unafikiria kwa kutumia sijui makamasi
Rais ana elimu kuliko prof Muhongo,dr mwakyembe,prof Tibaijuka au kuliko wasomi wote nchi hii?mbona anatuongoza?
Binafsi nauita huo ni wivu na wanaokutuma waambie wafikiri kwanza!
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Vipi mtu mwenye Gentleman Degree kuongoza maprofesa ndani ya chama chako.GPA ya 2.0 ya mwaka 1970
 
Prof. Nape
Prof. Kinana
Prof. Kikwete
Prof. Mwigulu
Prof. Sadifu
Prof. Wasira
Prof. Lukuvi
Kweli ccm inaongozwa na Maprofesa wanaowaongoza Maprofesa wenzao kama Maghembe, Tibaijuka nk.

Thethethetheeeeeee. kweli majangaaaa
 
Kwa akili yako ya kuamini kuwa ukisoma ndiyo unaweza kuongoza sidhani kama Nyerere kipindi kile nchi inapata uhuru angepata hata watu 200 wenye digrii kuwa viongozi wa nchi, watu kama Mzee Ally Hassan Mwinyi, Amani Karume, na baadhi ya wabunge wa sasa katika bunge la JMT wangeweza kuwa viongozi.
Hivi wewe uliambiwa wapi kuwa shule ndo kila kilakitu, mbona tunawaona maprofesa wanashindwa kuendesha hata Idara?

WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.
 
Duuh ...Jamaa yangu mbona Tanzania tunao ma Profesa wengi tu na wanaongozwa na JK? au angalia kule mjengoni wasomi kibao lakini bi Mkora ndio kiongozi wao? au na huko unashangaa pia?

Lumumba buku 7 FC hawaishi kutukanisha viongozi wao wenyewe! Mwinyi hata sekondari hakufika maprofesa wangapi walikuwa chini yake ccm huko huko? Nape mnajiabisha kutumia watu wa aina hii kwenye propaganda zenu!
 
Ina maana hujui Huyo lipumba pia amekubali kuwa chini ya Kikwete? Hujui nchi hii ina wasomi kuliko Marais waliopita wote?
Hivi Hujui prf.Tibaijuka yuko chini watu aliowazidi Elimu?
Kumbuka Uongozi si kisomo.
Kweli mkuu

Siasa siku zote sio kazi ya utaalamu na ndio maana hata katiba ya nchi kwa baadhi ya nafasi za uongozi zimeweka kiwango cha kawaida cha elimu na kama mtu alifeli form 6 maana yake form 4 alifaulu katika kizuri tu hivyo huelewa wa mambo wa kawaida ni mkubwa (kumbuka hapa waliosoma miaka ya nyuma kulikuwa hakuna vitini vya Nyambari Nyangwine hivyo hata kama mtu aliishia form 4 yupo nondo)

Ki kawaida wasomi ndio wanatakiwa watoe ushauri kwa wanasiasa kwa kawaida kwenye chama au umoja wowote kuna guidelines ya nini kifanyike kutokana na makubaliano ya wahusika na pale ambapo kuna issue technical wasome wanaingia na kutoa ushauri. Unaweza ukapiga shule lakini bado kuongoza ukashindwa
 
Vipi mtu mwenye Gentleman Degree kuongoza maprofesa ndani ya chama chako.GPA ya 2.0 ya mwaka 1970
Ilibaki kiduchu aangukie pua, kama miaka ya 70 mtu anapata hiyo maana those days kulikuwa na wahadhiri makini tofauti na sasa mtu akipata GPA nzuri bila kuangalia ameipate mnamchukua na kumpeleka haraka haraka shule na anakuja kulisha watu sumu
 
Kama hiyo ni judgment yako umekwisha .hao maprof wa ccm wanaodai serikali mbili zikiungana huwa mbili wanazo?hao wanaoboresha elimu kwa kupunguza alama ufaulu! Wasomi kweli kweli maprof......ama kweli...alama ya division 4 kuwa division 3 hohohooo....maprof wa ccm......ni wa kitchen party au ni wa kitaaluma.? BRN !!ama kweli.
 
Njaa mkuu, pamoja uprofesa wako kama huna hela ni bure tu, lazima ufikirie kwa kutumia tumbo...cc prof

baregu na prof safari na prof. Kulikoyela kahigi na dr

slaa

uenyekiti wa chama tena cha upinzani ni kitu kidogo ukilinganisha na uongozi wa nchi kama uzi wako huu unataka uwe na maana washauri hao maprofesa wachukue uongozi wanchi na siyo chama tena cha upinzani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom