Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada huna jipya, pia sikatai Elimu ukiwa nayo itakufaa sana, anyway kumbuka JF is home of Great thinkers, tangu dunia imeumbwa mwanadamu amekuwa kiongozi tokea adamu mpaka leo, nnachotaka kusema ni kwamba,, NCHI/JAMII inaongozwa na wenye hekima tuu! Ndo maana jambo gumu likiwashinda wasomi utasikia tunaomba hekima itumike, hapo utakuwa umejibiwa, HEKIMA NI ZAIDI YA VYUO NA MIPAKA YA UPEO WA MWANADAMU its Gods gift, NB, BAKHRESSA et Al wanalisaidia Taifa in way around, fikiri zaidi kuliko kusema/kuropoka.
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Hongera naona leo ndio mara yako ya kwanza kujibu bungeni kama naibu waziri, unatisha mazeee!.

But siku nyingine unapoleta hoja za kijinga kama hizi angalia upande wako kwanza ukoje then tupia hapa uji.nga wako, MAJIBU ULIYO YAPATA NI FUNDISHO KWA waji.nga wenzako.
 
Balali alipata dg ya 2 akiwa n miaka 25 na inasemekana alikuwa na akili nyingi sana ila kafichwa na wenye u dk wa kupewa.na kama elimu yake inamsaidia atokeze mbele ya kina lukuvi std 7 aone.
 
Mtoa mada kanikera sana, hivi huna historia? Hata mambo ya wazi haoni? Kuna Prof. Maji marefu ANA elimu Gani na anaongoza akina nani? Ukirudi nyuma utawakuta Mzee Ruksa, Sumaye, Hayati Kawawa, Lukuvi n.k huyu jamaa anakaugonjwa cha akili kama sio chuk na ubaguzi, tunochangia mada unajua ELIMU ZETU Ww ndo shame on you, hii thread usiirudie tena, huu ni ushauri WA bure.
 
Akili ya Mbowe ni sawa na Akili za Maprofesa wote waliopo CCM zikichanganywa.Na ndo maana anawanyima usingizi.Halafu mada yako inareflect jinsi gani Ma-CCM mlivyo vilaza,kama kuwa na Degree nyingi ndo kuwa Kiongozi,BOMANI angekuwa Rais badala ya Nyerere;Tibaijuka, Maghembe,Kapuya,n.k wangekuwa badala ya Kikwete.Kingine,Majimbo mengi ya CCM yanaongozwa na STD 7 ingawa ndani yake kuna maprofesa, na wasomi wengi tu.
Kwa kuhitimisha, Kihoja chako ni Mufilisi na kimekaa KI.M.A.SA.BU.RI.S.A.B.U.R.I. KAJIPANGE UPYA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom