Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

Status
Not open for further replies.
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Mbona Bilali Anaongozwa na Kikwete? aumeangalia cv zao ukaona tofauti yao?
 
Kwa jinsi mada ilivyo lazima nipumue hapa ila naogopa kilichonipata wiki iliyopita, ngoja nipite tu.
 
Acha ubinafsi wa kijinga wewe kwani wewe na baba yako nani anaelimu kumzidi mwingine, mbona hujawahi kuhoji kuwa kwanini tunaongozwa na maraisi wasio maprofesa wakati nchi ina maprofesa kibao

Hemu kuwa mpole kijana. Jenga hoja yako kwa utulivu, wasomaji watakuelewa tu. Huna sababu ya kujawa na mihasira.

Kama ukisoma mada vizuri utaona kabisa mleta mada hana tatizo na marais wetu waliowahi kuongoza nchi (kwa kuwa hakuna hata mmoja ambae ni failure).

Tafadhali, jikite kwenye mada, suala hapa ni failure kuongoza wasomi.
 
Una kipimo cha kupima utendaji wa marais au unachokoa mawazo ya watu tu!!!!????
 
WanaJF,

.

Sidhani kama umeandika kwa utashi wako! Dhamira na chuki za kisasa sasa zinakufanya unaandika vitu vya kitoto sana! Tukianza kuchambua viongozi wa serikali wanaoongoza Wizara na Wabunge ambao ni "vilaza" utaaibika hapa kwenye jukwaa! Rudi kwenye busara zako na uache ushabiki mkuu!
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Nafikiri hujaenda shule, coz unashindwa kutambua maana ya management na leadership yaani utawala na uongozi. mtu yoyote hata hajasomoma anaweza kuwa mtawala na kiongozi, akina mkwawa, Milambo na nk hawakusoma walitawala na kuongoza. haina maana kuwa prof ndiyo kujua kila kitu. tumeshaona maprof Kibao wakifeli kuongoza hata wizara moja tu huku std 7 au form four wakifanya vizuri. e,g Prf Maghembe ameshindwa, prof msola hakufanya lolote na nk. Mmiliki wa makampuni ya AZAM hana shule kubwa lkn anaongoza kampuni kubwa.
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Hamy-D uongozi ni TALENT hautakiwi kwenda shule ili uwe kiongozi bora.Kuna watu wamezaliwa na kuwa na talent ya uongozi,tena hawa ni wazuri zaidi kuliko wale wanaojiita wasomi.

Hebu tumwangalia Prof.Tibaijuka,yeye anasema Tanzania ni maskini na mataifa ya nje yanajua Tanzania ni maskini,hebu tafutiza kwenye ubongo wako kwa dhati ya moyo,akili na utashi ni kweli Tanzania ni maskini?Kama maskini kwa nini viongozi wetu tu ni matajiri wa kutupa.

Hivi gas,madini,wanyama na raslimali za Taifa letu hazitoshi kuuinua Tanzania kiuchumi tukawa moja ya nchi tajiri duniani?Je,Prof.Tibaijuka hajasoma?Alisema yeye amebobea kwenye uchumi ndivyo alivyosomea?Je,huyo tutamwita kiongozi bora au bora kiongozi?

Uongozi kaka siyo shule ni talent mtu anakuwa nayo,na Mbowe amejithihirisha anayo.Mwacheni,waacheni CDM na wanachama wake wavutane huko.

Hamy-D,pilipili ilo shamba ya kuwashiani?
 
Na hiki ndio kinatumalizwa waswahili, tumeng'ang'ania mivyeti tu, na kusahau kufikia matokeo yanayohitajika. Mwenye Phd akafundishe vyuo vikuu, anahitajika zaidi huko.
 
Kuna watu humu ndani walitakiwa kupimwa kwanza uwezo wa kufikiri kabla ya kuruhusiwa kutma nyuzi, kama usomi ndio kigezo cha uongozi popote, hivi mbona tumewahi kua na rais ambae ana diploma tu (Ali Hassani Mwinyi) unataka kunambia enzi hizo hatukua na wasomi wa kutosha? Rais aliyepita Zanzibar (Karume Jr And even Karume Sn) huyu si form 6 nae kama Mbowe, hakukua na wasomi kule? Makamu wa kwanza wa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania (nchi ya kufikirika) tokea mfumo wa vyama vingi uanze. wpte walikua wasomi kuliko maboss wao, Mkapa ana degree 1, makamu wake alikua Omari Ali Juma PHD holder na Shein nae PHD holder; Kikwete makamu wake nae the same, Shein PHD holder na TX Bilali nae PHD holder, matokeo ya Kikwete chuo kikuu cha Dar hivi si yanajulikana?

Kuanzia leo post zako sitakua nasoma, you have a very poor thinking capacity!
 
Duuh ...Jamaa yangu mbona Tanzania tunao ma Profesa wengi tu na wanaongozwa na JK? au angalia kule mjengoni wasomi kibao lakini bi Mkora ndio kiongozi wao? au na huko unashangaa pia?

Hivi mwenye degree ya level ya PASS (tena BA) na form 6 kuna tofauti kweli?
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

acha dharau dogo. Wewe ulipata division ngapi? unafikiri wote waliofeli kidato cha 6 walipenda? Unajuwa kipindi hicho kilimpata kitu gani, au alikuwa katika hali gani mpaka akapata daraja hilo.
 
Tatizo hapa sio kiongozi aliyefika form six, ni kiongozi aliyepata ziro form six. Huyu hafai hata kwa dawa.
 
Hemu kuwa mpole kijana. Jenga hoja yako kwa utulivu, wasomaji watakuelewa tu. Huna sababu ya kujawa na mihasira.

Kama ukisoma mada vizuri utaona kabisa mleta mada hana tatizo na marais wetu waliowahi kuongoza nchi (kwa kuwa hakuna hata mmoja ambae ni failure).

Tafadhali, jikite kwenye mada, suala hapa ni failure kuongoza wasomi.

Mbona Lukuvi ni failure tena la saba na UPE anaongoza wasomi na ndio mshauri wa nchi hii.

Na idara za wizara yake kuna maprof na anawaongoza hapo hakuna hoja ni viroja na porojo.
 
njaa ni mbaya sana. Lipumba pamoja na elimu yake anakubali kumuinamia Mbowe!
 
Msomi hapigi kelele, utapewa chapisho usome na ni juu yako kuelewa au kuacha!!!!!
Angalia mikakati ya nchi na uulize nini kipya ambacho tungeshindwa kufanya kuanzia mkukuta mpaka BRN ila kwa nini sio home baked????!!!!
Uliza sababu za kung'ang'ania haki ya kugombea badala ya kuweka vigezo???!!!!!

Nchi isiyothamini wasomi ni giza tu ndio litawastua!!!!!!
Hata wewe unabweka hapa kwa nasaba ya siasa na sio ujuzi

Pumba Tupu.....................!!!!!!!!!
 
Ngoja niangalie mjadala unavyoendelea jinsi watu wanavyotetea zero
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom