Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

Status
Not open for further replies.
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

elimu si uongozi ndugu,makongoro ma.ha.nga. ni dr na waziri toa tathmini alichofanya ktk wizara yake.
 
Tatizo hapa sio kiongozi aliyefika form six, ni kiongozi aliyepata ziro form six. Huyu hafai hata kwa dawa.

tuambie huyo aliyefika form six ana daraja lipi?.ni kweli huyu hafai kwavile anawapeleka puta mbaya.
 
Uongozi ni kipaji. Waliomtangulia Mbowe hawakuifikisha cHADEMA ILIPO LEO. Hata wewe unaitamani CDM kwa sababu Mbowe katika uongozi wake amekifikisha chama hapo kilipo. Wasomi wangapi wana degree nyingi na PHD lakini uongozi umewashinda kama rahisi wa nchi. Je, ukiwa na PHD ya kujenga mabarabara, hiyo itakuwezeshaje kuongoza Chama. PHD yakutunza vitabu library au ya kupima wadudu wa maradhi inakuwezeshaje kuwa kiongozi wa kisiasa? Uongozi mtu huzaliwa nao anaanza kuongoza toka hajaanza kusoma anaongoza wenzake.
Wewe kama umesoma elimu yako imekuwezeshaje kuwa kiongozi na unamuongoza nani kama sio kutoa ujinga na kudhalilisha akili yako. hapa kinachohitajika sio elimu ya mtu bali ni nini alichokifanya. ukiona watu wenye elimu wamekubali kuongozwa na mbowe basi ujue wana akili wameona kipaji chake na wamekikubali. Wewe ni wivu tu unaokusumbua. hapo ulipo wewe ni kiongozi w ngazi gani?
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Jeikei nae ni alisomea wapi udaktari na anawaongoza maprofeseri kama mwandosya???
Unamuaibisha bosi wako.....

Hoja na vihoja.....
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Hivi una kichwa au nazi?
 
Hahahaa.......uwezo wangu wa kufikiri huufikii hata kwa level ya kisigino! Alikwambia yeye kuwa alipata kazi BoT? Keep on bootlicking him!

Afu unaonekana we ni GENIUS kabisa, Yan unasema DIVISION 0 ya form 6 ya DJ Mbowe ni Zaid ya Pass ya Degree ya JK!
 
Kuwa profesa ni tofauti na kuwa kiongozi. Ni vitu 2 tofauti.
 
Kuna watu humu ndani walitakiwa kupimwa kwanza uwezo wa kufikiri kabla ya kuruhusiwa kutma nyuzi, kama usomi ndio kigezo cha uongozi popote, hivi mbona tumewahi kua na rais ambae ana diploma tu (Ali Hassani Mwinyi) unataka kunambia enzi hizo hatukua na wasomi wa kutosha? Rais aliyepita Zanzibar (Karume Jr And even Karume Sn) huyu si form 6 nae kama Mbowe, hakukua na wasomi kule? Makamu wa kwanza wa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania (nchi ya kufikirika) tokea mfumo wa vyama vingi uanze. wpte walikua wasomi kuliko maboss wao, Mkapa ana degree 1, makamu wake alikua Omari Ali Juma PHD holder na Shein nae PHD holder; Kikwete makamu wake nae the same, Shein PHD holder na TX Bilali nae PHD holder, matokeo ya Kikwete chuo kikuu cha Dar hivi si yanajulikana?

Kuanzia leo post zako sitakua nasoma, you have a very poor thinking capacity!

Mkuu hapo kwenye red leo ndio umemgundua? Mimi nilishamuweka kwenye ignore list yangu siku nyingi sana.

Tiba
 
Gpa 2,0 anatofauti gani na form six failiar mtu akili yake anaipepea haya baada ya kuwa exposed kwenye uongozi zaidi ya miaka 30
 
mkuu naona umeamua kuukamalia ukweli. lakini nadhani ni vizuri ungeanza na dr slaa aliyeongozwa na mbowe miaka tele halafu waje prof. beregu dr. kitila-japo huyo alishituka na prof. safari
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Typical ignorant moron,Maybe i should ask you a very trivial question.Are the leaders born or made? To have a success in life do you need a high education?Just want to know if you are a conditioned/programmed thinker or a real thinker.
 
tayari umeshasema ni mtazamo wako kwa hiyo siyo lazima wala muhimu uwe ni sawa au sahihi,na mtazamo wako ni HASI kwa 7bu hauna hoja zenye mantiki zaidi zimekaa kichukichuki na dharau...wewe kwa elimu yako umegundua jambo gani au kufanya jambo gani jipya chini ya jua hili likafahamika???na aliyekudanganya elimu ya darasani na uongozi vinaendana ni nani??
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Wengine wamesoma kuliko baba zao, so baba zao wawaabudu??? wewe akili yako ndogo sana
 
Prof. Nape
Prof. Kinana
Prof. Kikwete
Prof. Mwigulu
Prof. Sadifu
Prof. Wasira
Prof. Lukuvi
Kweli ccm inaongozwa na Maprofesa wanaowaongoza Maprofesa wenzao kama Maghembe, Tibaijuka nk.

Prof. Majimarefu, Prof. Zimbabwe, ... Hawa Jamaa hawajui kuwa dunia imebadilika na kuwa watu hawataki watu waliomeza theories za wazungu bali wanaangalia deliverables za mtu binafsi... Mbowe anakidhi vigezo vyote! BTW True Leaders huwa wanazaliwa siyo kutengenezwa! Maghembe hata kama angekuwa na PHD 100 bado ataendelea kuwa Zero ktk Utendaji! Kagasheki hata kama angekuwa STD VII bado angeweza kudeliver vilivyo!... Acheni kukaririshwa ujinga ...Mnafahamu kuwa daktari bingwa wa magonjwa ya moyo SA alikuwa msadizi tu wa Dr wake na kuwa elimu yake ilikuwa ni ndogo sana? Kwanini leo hii kupata appointment yake ni issue hata kwa marais?...
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

An effective leader is not necessarily someone who is highly educated!

Wizara ngapi zinaongozwa na Phd holders but they have proved failure?
 
elimu ipi?ya hao maprof wa ccm kwamba ili ufikie malengo unapunguza viwango.angalia division 4 imefanywa kuwa div 3 na 0 kugeuzwa div 4 ili kufikia BRN. huo ndio usomi unaodai..heri kijana wa darasa la nne kuliko hao maprof wako wa ccm wanaoharibu nchi. watu watoao
matamko wakiwa usingizini......hooo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom