elimu si uongozi ndugu,makongoro ma.ha.nga. ni dr na waziri toa tathmini alichofanya ktk wizara yake.
WanaJF,
Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.
Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!
Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.
Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?
Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.
Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.
wanajf,
binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.
Tangu zamani nilimdharau mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!
Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti chadema, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.
Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona prof lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama mbowe. Kweli!!!?
Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama prof lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.
Prof lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like mbowe. He's too low for u.
Wewe Hamy-D umebanwa na haja kubwakubwa hivi
Babu aliwashika pabaya sana, duh kweli babu prof amepiga mkwanja wa fasta sasa anakula bata.View attachment 155829
Hawa pia hawaamini katika dawa za Maprofesa wanaamini dawa za Std 7 tena kutoka kijijini kabsa.
sidhan kama ww pia ni msomi kwa kuwa akili yako ni ndogo ya kujadili watu badala ya maswala, you might be having a dulla brain which need learning by analogy.
unatukuza uzungu (formal education) na kusahau imformal na non formal kuwa nayo ni elimu tena kubwa.
inakubidi ufahamu kuwa kushindwa darasani cyo kutokuwa na akili, inakubidi pia utofautishe kati ya IQ na Talent ndo ufahamu mahusiano yaliyopo kati ya uongozi na taaluma. vinginevyo degree moja isingeongoza PhD.
kuwa mtu wa kujifunza na kutaka kujua kuliko kuhitimisha.
WanaJF,
Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.
Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!
Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.
Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?
Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.
Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.
Hamy D kapime unamatatizo ya akili kama unapima uogozi kwa kigezo cha elimu wewe ni mwehu uogozi ni kipaji sio elimu
WanaJF,
Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.
Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!
Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.
Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?
Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.
Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.
Na ww pia ni k.e. N.ge maji unatumia m........o kufikiri mtajazwa matumbo hayo kwa kupenda ushabiki wa kijinga.. Viongozi wangapi wameenda shule wanaharibu nchi yetuHuo ni uongozi wa enzi za kina Mangi, sasa hivi dunia imebadilika sana. Changamoto za kileo zinahitaji viongozi wenye elimu na kipawa cha uongozi. Hamjachelewa Mbowe bado anaweza kusomeshwa, kwa juhudi za M4C mchangieni na Mbowe ada akasome hata Theofilo Kisanji University.
We mwenyewe zero mweKUNDUNgoja niangalie mjadala unavyoendelea jinsi watu wanavyotetea zero
Na ww pia ni k.e. N.ge maji unatumia m........o kufikiri mtajazwa matumbo hayo kwa kupenda ushabiki wa kijinga.. Viongozi wangapi wameenda shule wanaharibu nchi yetu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums