Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

Status
Not open for further replies.
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Hapo ndipo ujue kuwa uongozi ni kipaji kutoka kwa mungu.
 
Kipindi karume au nyerere wakiwa marais hakukuwa na maprofesa?

Nani aliokwambia maprofesa ndio lazima wawe viongozi
 
Mbowe alifika form six ila hakufanya vizuri kwenye mitihani ya mwisho.

Na JK aliafanya vizuri BA yake akapata PASS...........the highest rank in the land! Wala hakuona sababu ya kuendelea na MA au mpaka PhD......kumbuka 1973 ajira zilikuwa za kutosha sana kwa elimu hiyo lakini alikosa na akaishia kujiunga na TANU and then Jeshi
 
Hebu kidogo uwe unashirikisha kichwa chako wakati wa kuandika, otherwise always utakuwa unaleta pumba zako kila siku hapa! Mheshimiwa Mbowe hata kama alifeli kama unavodai kumbuka alijiendeleza na pia yeye kuongoza UKAWA ni kwa kuwa wenzake wamempa dhamana baada ya kuona anafaa!! CHADEMA kinaenda kuzimu? Hivi kati ya wenyeviti wote walioongoza chadema tangu kuasisiwa kwake ni yupi aliyeongoza kupatikana kwa wabunge wengi, madiwani wengi kama Mbowe? huko ndiko kwenda kuzimu? Ni yupi aliwezesha chadema kuwa chama rasmi cha upinzani bungeni? huko ndiko kwenda kuzimu?? Ni yupi aliyeisukasuka CCM hadi kutumia mbinu chafu ikiwepo kuua, kubambikiza kesi za ugaidi n.k kama sio chadema chini ya mbowe? Ni yupi aliyeibua kashfa mbalimbali za serikali kama EPA, Richmond etc kama sio chadema chini ya mbowe?Tumia akili unapoandika na uje na takwimu za kutushawishi always tumia ubongo na sio hormones kufikiria,,, Na kama kigezo cha elimu ya juu ndio cha kuongoza basi maprofessor wote , Madoctor wote (phd) na wenye masters wote (Msc) hapa Tanzania nao basi wazembe kwa kukubali kuongozwa na rais mwenye degree moja tuu!! Wake up,,Vijisenti vya kupewa visikuharibu akili!
 
ukawa inawatoa watu roho
mwaka huu vifo vitakua vingi hasa vya wana magamba..siasa ni elimu au ujuzi? jk nae ni proffesor? mbowe anaijua siasa.weka ushahidi matokeo yake ya form six.
acheni kubwabwaja
 
Wewe hujitambui kama Prof. Shivji na Dr. Mwakyembe wanaojikana hata wao wenyewe.
 
Pumba Tupu.....................!!!!!!!!!

Ukweli mtaambiwa tu iwe mnapenda au hampendi!!!!!!
Ndio raha ya kuwa na fikra huru zisizofungwa na mapenzi ya chama!!!!

Elimu na maarifa kwanza itikadi baadaye saaaaanaaaa ndio maaana hao wasiosoma sasa wanasomesha watoto wao tena wengine nje ya nchi
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

Degree sio hoja .uingereza kuna watu wana mpaka digri saba .lakini mbona waliongozwa Sir John Major ambae elimu yake ilikuwa A.level drop out .tena usisahau uingereza ameshawahi kutawala karibu dunia nzima .nakumbuka hiyo phd inayosomewa kuna wanaozaliwa nayo .
 
Na hiki ndio kinatumalizwa waswahili, tumeng'ang'ania mivyeti tu, na kusahau kufikia matokeo yanayohitajika. Mwenye Phd akafundishe vyuo vikuu, anahitajika zaidi huko.
UPO SAHIHI WATANZANIA TUNAHITAJI ZAIDI UTENDAJI NA UWAJIBIKAJI ILI KUFIKIA MALENGO YA MAENDELEO YETU WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA // IPO DHANA SOMA UJE FANYA KAZI LAINI BILA KUUMIZA KICHWA NA NDIO DHANA INAYOTUUWA NA KUANGAMIZA TAIFA LA WAVIVU TZ watu wana mavyeti mitaani wewe!
 
Degree sio hoja .uingereza kuna watu wana mpaka digri saba .lakini mbona waliongozwa Sir John Major ambae elimu yake ilikuwa A.level drop out .tena usisahau uingereza ameshawahi kutawala karibu dunia nzima .nakumbuka hiyo phd inayosomewa kuna wanaozaliwa nayo .

Huko kwenye MI6 na kama hayo huwezi fananisha na nchi hizi za teremka tukaze!!!!!!
Huko hata kinyago kinaweza sababu the system is well established, tightly coordinated, effective and thus able!!!!!!

Huku waziri anashurutishwa na kiongozi wa chama mara waziri katimua mteule wa Rais na katibu mkuu kiongozi anarudisha!!!!!!!

Ndio unafananisha na Uingereza? ????!!!!
 
There is a huge difference between a person who has reached advanced level of secondary education and attained a certificate of ACSE and the other one who scored a zero though he/s managed to reach the advanced level.

Guys, let's be honestry, how would it feel kuongozwa na mtu ambae unajua kabisa kapata sifuri kwenye mitihani yake? For me I can't allow.
 
Ama kweli "nyani haoni ............le!!" Hivi Nape alifaulu kwa kiwango gani? Mbona anawaburuza ma-prof kibao tu huko CCM? Maji mafupi amesoma kwa kiwango gani? Malizia mwenyewe nya.mba.ff!!
 
Prof MajiMarefu,Lusinde,Komba,Lema nao hawapo nyuma kuwawakilisha maprof Bungeni.
 
Mbona hata wewe HAMY-D bungeni unaongozwa na STD VII wa UPE (Ualimu Pasipo na Elimu) Mhe. William Lukuvi!
 
WanaJF,

Binafsi uwa nafanya judgment kwa mtu kwa kuzingatia kiwango chake cha elimu. Siku zote.

Tangu zamani nilimdharau Mbowe kwa kuwa ni kijana aliyepata sifuri kwenye mitihani ya kidato cha 6 ilhali alikuwa na dhana zote za kuweza kumfanya afaulu vizuri!

Katika hali kama hiyo, baada tu ya kupewa uenyekiti CHADEMA, niliamini kwa 100% chama kitaelekezwa kuzimu. Na leo yametimia.

Ila kikubwa kilicho nipelekea kuandika huu uzi, ni baada ya kuona Prof Lipumba na wasomi wengineo kukubali kuongozwa na mtu kama Mbowe. Kweli!!!?

Lakini ukitazama sababu hasa ya mtu msomi kama Prof Lipumba, pamoja na mambo mengine, utagundua kuwa amekubali kudhalilika kisa maslahi binafsi. Hilo liko wazi.

Prof Lipumba please honour your doctorate. You can not bow to someone like Mbowe. He's too low for u.

pole sana kwa mtizamo hafifu, si ajabu utakuwa umemzidi elimu babako je, leo hutamwita Baba! nadhani utumie akili na sio makamasi kufikiri ndipo tutajenga nchi yetu hii.
 
Huko kwenye MI6 na kama hayo huwezi fananisha na nchi hizi za teremka tukaze!!!!!!
Huko hata kinyago kinaweza sababu the system is well established, tightly coordinated, effective and thus able!!!!!!

Huku waziri anashurutishwa na kiongozi wa chama mara waziri katimua mteule wa Rais na katibu mkuu kiongozi anarudisha!!!!!!!

Ndio unafananisha na Uingereza? ????!!!!

Kweli kabisa mkuu, kulinganisha LDC's na DC's haiwezekani.

Lakini pia, tusihukumu kwa kuangalia serikalini au bungeni mambo yanafanywa vipi, bali tuangalie what's right to be done.

Hata kama CCM au serikalini watu ni vilaza, je na wapinzani wafanye madudu hayo hayo!?

Ni vyema tukakubali kwamba kuunganisha vipaji na taaluma ni vyema zaidi kuliko kutumia vipaji pekee.

Kuna mchangiaji mmoja bila ya aibu ametolea mfano watu kama Mkwawa, mwingine amemtaja chief Mangungo wa Msovelo, na mwingine bila woga kamtaja Kinjeketile Ngwale kuwa hawakuwa na elimu bali walikuwa viongozi hodari. Seriously!?

Prof Lipumba na ma-prof wengine wote kwenye hili la kuruhusu kuongozwa na mtu ambae amepata daraja sifuri kidato cha sita sidhani kama walifikiri intensively and critically.
 
There is a huge difference between a person who has reached advanced level of secondary education and attained a certificate of ACSE and the other one who scored a zero though he/s managed to reach the advanced level.

Guys, let's be honestry, how would it feel kuongozwa na mtu ambae unajua kabisa kapata sifuri kwenye mitihani yake? For me I can't allow.

Degree ya kwanza tena kwa physical attendance ndio mpango!!!!!!
Hii online ya kufanyiana nayo ni janga tu!!!Sababu wanaandikiwa tu ukikaa na huyo muhitimu hiyo elimu haionekani,hainukii wala huwezi ihisi kama ipo!!!!Mpe presentation ndio kabisaaaaaa utaishia kupata Tanganyika na Zimbabwe (union of indian ocean. ..1964 ikitamkwa utatosha chini ya meza)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom