Sijathibitisha maana namwamini Mzee Mwanakijiji. Na Rostam mwenyewe amesema kuwa Caspian ni ya kwake. Sasa nyie mnaobisha kwa nini mnashindwa kutuambia nani ndiye mmiliki halali wa Caspian Construction Company. Kwa kuwarahisishia, nendeni hata Contractors Registration Board mtapata mnachotaka!
Amandla......
Nchi hii kila sehemu imejaa ufisadi,mimi nashindwa kuwaamini wanaochangia humu JF,kuwa pengine wana connection na mafisadi iwe na mengi au rostam kwani kumtetea mtu iwe kwa kabila au dini ni ufisadi pia.
Nina hofu na uzalendo wakina Dr.Slaa,mama kilango ,mkumba,Dr.Mwakyembe na kina ole sendeka ni kiwasikiliza logically napata wasiwasi nao sana ninakitu kutowaamini kama wanauzalendo wa kweli sijui kwa nini? ninahofu kama wanatumiwa ivi.
Kama hawatumiwi iwe na mengi au na wengine mimi nawaunga mkono ila kama kuna connection na fisadi yoyote ni bora wajiepushe wafanye kazi yetu watanzania tutawasapoti na kuwaunga mkono kwa hali na mali na tutawalinda kwa uwezo wa mola.[/QUOTE]
- Mkuu humu ndani humjui mtu na hakuna anyekujua, sasa either una hoja za kuunga mkono Rostma au Mengi, ama uko neutral, lakini usisumbuliwe na motives za wengine kuhusu ufisadi jali zako na uziweke hapa, maana huna ushahidi hata kidogo kuhusu hizo connections unzodai, kama unazo uweke hapa,
- Hapa tunachojali ni hoja sio paukwa pakawa, kutofautiana mawazo ni afya kwa demokrasia, lakini haina maana kwamba wote wenye mawazo tofauti na yako wana connection na anything!
Respect.
FMES!
FISADI NAMBA MOJA NI C C M musidanganyike mukababaisha bila kungoka CCM na ufisadi hauwezi kuondoka Tanganyika kwasasababu ndio biashara yao kubwa
Mmiliki wa Caspian ni Abibu na anaishi UK ana asili ya Iran ukoo wa Mfalme Shah, RA aliingia ubia kama raia wa Tz kwa share kiduchu na ndie aliyekuwa akiiendesha Caspian fully hapo mwanzoni mpaka pale Abibu alipomshtukia RA kuwa amemchapa kidogodogo na kufungua kikampuni mtoto yeye na mdogo wake bila kumjulisha mkuu mwenye senti, ndipo akuamua yeye mwenyewe asimamie kwa ukaribu sana siku hizi na utaona siku hizi RA hafiki kabisa pale Caspian Pugu road, je unabisha? hata hivyo siku zote amekuwa akidai kuwa wazazi wake walikuwa wafanyabiashara hebu sie tuliozaliwa huko atuelezee vizuri kwani matajiri kama MMT,HINDOCHA,SINGER,HEDARI(Haidary) etc tunawajua mbona tunashindwa kutrack biashara za wazazi wake?

Usiseme nimetumwa , this is a free forums and people have rights to disagree I am not here just to take postion mimi ni more pragmatic than you think.
You see kumbe wewe Uko upande wa Mengi, Mimi Niko neutral I am trying to analyse the truth and you have an option to agree or disagree with me.
Kama mengi Yuko serious na Vita ya Ufisadi kwanini asiseme CCM ni mafisadi. He has his own intrest that why he is talking about Ufisadi.
Kumbuka ITV imeisadia sana CCM, and the main benefiery of Pesa za Uchaguzi is mengi as well through ITV Unatufanya hatujui hilo.Radio One ETC
Alberto Fujimori alirudishwa Peru kutoka Chile, mwezi Septemba 2007. Tarehe 17 Aprili 2009 amehukumiwa kifungo cha miaka 25.
Hao unaosema wanalia lia wako wapi?
Msitake kupindisha habari kutetea hoja dhaifu!
Amandla......
Katika Uchunguzi wangu wa Kina, nimegundua kuwa Tatizo sio Vodacom Hapa, Tatizo ni UKABILA NA UKANDA ndio unatusumbua kwa sasa.
Wachaga walikuwa very influencial katika siasa za Tanzania, but they lost that status as the time was passing on. Ukiangalia utawala wa Mkapa uliwanufaisha sana wachaga, which has lost in Kikwete leadership. On other hand kwa Kuangalia political Map Rostam Aziz ni influential kwasababu alikuwa na good ties with the lake zone which politically always is a very big decider of Tanzania politics.
Ndio maana ukianza kutaja majina yote ya watu ambao wako associated na Rostam Aziz na VodaCom wote wanatoka kanda ya ziwa, mpaka unakuta hata Lipumba hawezi kuongea against RA
Rostam Aziz ni mnyamwezi, ukiangalia Tabora, Mwanza na Shinyanga mpaka Musoma ukweli ni kwamba kuna waarabu wengi sana ambao ni wafanyabiashara maarufu katika maeneo yao and they have helped those communities for many years.
Why Rostam Aziz ana kiburi? Rostam had legitimate business for so long and if you look back at Mirambo Holdings is one of very reputable investment company in Tanzania for so long.
Kilichoenda kombo ni kwamba Rostam alikuwa ni njia tu ya ku-justify uchotaji wa fedha za CCM ,
why KIKWETE YUKO KIMYA?
Since he drugged RA in this shit hawezi kumsaliti, COST ya yeye kumsaliti is equal to the lose of political map. RA anafahamika Mwanza, Shinyanga, Tabora na Musoma and he is very influential there, calculation ni kura za NEC Mzee, na kanda ya ziwa ndio imempa JK ushindi.
MENGI
Tatizo la Mengi ni kwamba he have been a big fish for so long, akiangalia mwelekeo wa biashara na political influence ilivyopotea kwa wachaga anaogopa. But he has legitimate claims panapoharibika ni kwamba waarabu wengi wenye ugomvi na Mengi ni kutoka kanda ya ziwa, wanajiita wasukuma. So Mengi is in battle to retain his powership/chaga but at the same time anasidia kupambana na ufisadi
Mwisho tulipofika sasa:-
- JK Anaangalia his political future.
- Wasukuma wameshikilia justice department
- Wasukuma,wanyamwezi hawawezi kumwachia RA afe maji
- JK hawezi kuwatosa wasukuma
- Wachaga, they see it is the time for them to gain their political influence
- Wasukuma wanawafunga mafisadi wachaga
NGOMA NZITO MZEE MWANAKIJIJI

Tukubali yaishe, au tupambane yaishe?
We have been here before..