Tumeona juzi Kikwete akimunadi mke wake.Sijaona kipya hapo, kwa hiyo Kikwete asimnadi Ridhiwan ? Au mzee mwinyi asimnadi kijana wake ?
Mbona mnawehuka mapema hivi
Wewe huko bukoba wamemzomea meko kwa ahadi zake hewa,kaamrisha wakamatwe walimwambia kura hawampi.Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa
Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
Ameona hakana mvuto wakupendwa na mamen, baba yake ameamua akatafutie soko kwa namna hiyo.Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa
Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
Watoto wana akili Kama watoto wa obama daah Safi sana
Usikimbie, tulia dawa ikuingieehuyu jamaa nimechelewa kumuweka ignore list
Iq yako ni ndogo Sana!! Utofauti wake nini katika udhanaishaji wa Hoja yako!! Mkiambiwa hamnazo mnachukia😂Kikwete ni mtoto?
Unabonyeza wapi ili ku-ignore hawa wapzii?huyu jamaa nimechelewa kumuweka ignore list
Hadi wewe?Ila huyo binti ni bonge la mwanasiasa
kuna dawa hapo,au hujapewaa akili ya kutambua pumba na mcheleUsikimbie, tulia dawa ikuingiee
Huyo binti kaolewa? isije kuwa anampandisha jukwaani watu muone sababu anamuona anamdodea.Haolewi.
Kwani Msigwa ni mmarekani? Msigwa ni mkinga
Kageuza mkutano wa kunadi binti yake badala ya kunadi sera!!!
Buku7 tu na chupa ya maji, Lumumba siku zijazo lazima tuipige kiberiti.Hahahahahahaha mnafurahisha sana aisee!! Hapo utapewa zawadi kwa kuanzisha bonge la uzi dhidi ya CHADEMA hahahahaha.
Sometimes naona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo saaaaaaanaKwani Msigwa ni mmarekani? Msigwa ni mkinga
I concur with you. Thank you for being heartly positive.Ila huyo binti ni bonge la mwanasiasa