Uchaguzi 2020 Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa

Aisee mataga ndiyo maana Mzee Pombe amekataa proposal yenu ya kuwatumia kwenye kampeni zake kwasababu mko kama kuku aliyekatwa kichwa.

YEHODAYA huu ni ushuzi gani umeleta?
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

We jamaa kwa vyovyote ni mgumba!
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

Unaonesha ni namna gani unamkubali Msigwa mpaka umeamua kumpigia kampeni. Bila shaka na Lissu unamkubali pia.
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

Huu ni mfano wa kuigwa, kwa kifupi hapo anamuandaa mtoto aje kuwa kiongozi kama yeye.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Yehodaya,
Umepotea, umeacha kumkampenia mgombea wa chama chako, umeacha kupinga hoja za CHADEMA, umeacha kumkosoa TAL, SASA unafanyia CHADEMA campaign! Angalia maboss zako wasione huu uzi, utaondolewa kwenye payroll!!
Natamani Binti yangu alelewe Vizuri hivi. Hongera Mchungaji hakika unaye Binti Jembeeeee👋👋👋👋
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

Kuna watu hamuitaki CCM ila mnashindwa kuweka wazi. Hapa si umempigia promo Msigwa?
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

ukiona hivyo Ana kiu ya haki,Kama walivyokuwa Watanzania wa leo.
 
Duh! Mleta mada umekurupushwa bila shaka. Binti amezungumza kimkakati, anaeleza sifa za mgombea kuanzia ngazi ya familia.
Ila umefanya vizuri sana kwa kuiweka hiyo video kwa maana mwenye akili timamu atagundua inampa sifa Msigwa kuliko wewe unavyofikiria.
 
Unasema "amekosa watu wa kumpigia kampeni" kwanini huyo binti si MTU?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom