Uchaguzi 2020 Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa

Tumeona ju
Sijaona kipya hapo, kwa hiyo Kikwete asimnadi Ridhiwan ? Au mzee mwinyi asimnadi kijana wake ?

Mbona mnawehuka mapema hivi
Tumeona juzi Kikwete akimunadi mke wake.
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura


Wewe huko bukoba wamemzomea meko kwa ahadi zake hewa,kaamrisha wakamatwe walimwambia kura hawampi.
Mwaka huu mtazaa bundi
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura


Ameona hakana mvuto wakupendwa na mamen, baba yake ameamua akatafutie soko kwa namna hiyo.
 
Huyo binti kaolewa? isije kuwa anampandisha jukwaani watu muone sababu anamuona anamdodea.Haolewi.

Mkuu wewe sema tu umeona wivu kwa Mh Msigwa kuungwa mkono na Wananchi kama inavyo onekana,Watoto wake umewasikia cheche zao na wana jitambua hiyo kwako ni tabu ndio maana unajitahidi kuhamisha Magoli kwa kuhis Bwana Msigwa amekosa Watu wa kumnadi.
 
Kwani Msigwa ni mmarekani? Msigwa ni mkinga

Kwa hiyo akiwa Mkinga anakuwa amepoteza Haki ya kuombewa kura na Mwanae sio !?.Punguza ubaguzi sio mzuri ,Binadamu atabaki kuwa Binadamu haya mengine ya Ukabila ni kitambulisho tu flani lakini haiondoi ile Hali ya Binadamu.
 
Kageuza mkutano wa kunadi binti yake badala ya kunadi sera!!!

Hiyo sasa nitabia yako mbaya ya ukicheche kwa kufikiri Watu wote wana fikiri kama wewe ,umeshindwa hata kuelewa alicho sema huyo Binti umebaki kumeza Mate kama Mafis
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom