PreGE2025 Peter Madeleka ajiunga na Chama cha ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Aiseeee leo ni bandika bandua! Kila sehemu moto! Mzee wa kesi katimkia zake ACT Wazalendo bana, yeye hajataka kwenda kula ubwabwa😂😂

=====

ACT Wazalendo wanafanya mkutano na waandishi wa habari muda huu Makao Makuu ya chama Magomeni, Dar es Salaam Mei 20, 2025

Isihaka Mchinjita - Makamu Mwenyekiti Bara ACT
Mkutano huu umefanyika ukiwa na lengo la kumpokea mwanachama mpya - Peter Madeleka katika chama hicho.

WhatsApp Image 2025-05-20 at 13.48.23_716ea4b5.jpg

Screenshot 2025-05-20 133850.png
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo -Bara, amesema kwamba Chama hicho leo Mei 20, 2025 wanampokea Wakili Peter Madeleka kuwa mwanachama rasmi wa Chama hicho.
IMG-20250520-WA0005.jpg

View: https://www.youtube.com/live/ltZztd-LMP8?si=QPvqxVrzfZz-1DZC

IMG-20250520-WA0009.jpg

Madelaka: Amesema kwamba amejiunga na Chama hicho ili kuimalisha nguvu ya upinzani nchini.

Amesema kwamba kumekuwepo na changamoto pale inapotokea nchini kuna Chama cha upinzani kimoja chenye nguvu kikayimbishwa.

Akiulizwa swali na Mwandishi wa Habari: Kwamba kumekuwepo na madai kwamba anatumika kutokana na kuwai kuwa mtumishi wa umma kwenye nafasi ya Jeshi la Polisi, amejibu kwa kusema kwamba wanaosema hivyo ni wavivu wa kufikiri.

Ameongeza kwamba yeye siyo mtumishi wa kwanza kutoka kwenye vyombo vya usalama kuingia kwenye siasa mara baada ya kuacha utumishi.

Amesema ipo mifano mbalimbali ya watu kwenye vyama vya siasa ikiwemo CCM ambao wamepata nafasi za uongozi mara baada ya kuacha utumivishi wao kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.

Akijibu swali kwamba alikuwa Chama gani awali kabla ya kujiunga na ACT Wazalendo, amesema alikuwa kwenye Chama cha Chadema.

Amesema kwenye Jimbo ambalo yeye anatarajia kugombea hakuna Afisa yoyote wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ambaye ataweza kupoka ushindi ambao ataupata, amesisitiza kwa kusema kwamba Mtu wa aina hiyo hayupo.

Kuhusu msimamo wake juu ya 'No reform No Election'

Amesema kwamba lengo la Chama chochote ni kushika madaraka, ambapo amesema kwamba akiwa na Chama cha ACT Wazalendo watatumia fursa hiyo kuonesha umma kuhusu uhalisia wa mabadiliko ambayo anadai kwamba CCM wamekuwa wanasema yamefanyika pamoja na kauli za kuaminisha umma kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki.
 
Kumbe Madeleka amekimbia Chadema kwa kuwa akiwa huko hataweza kugombea!

Vv
 
Biashara ya siasa bado inalipa sana, hasa kwenye nchi ambazo bado zina wajinga wengi
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo -Bara, amesema kwamba Chama hicho leo Mei 20, 2025 wanampokea Wakili Peter Madeleka kuwa mwanachama rasmi wa Chama hicho.
View attachment 3339842

View: https://www.youtube.com/live/ltZztd-LMP8?si=QPvqxVrzfZz-1DZC

View attachment 3339848

Madelaka: Amesema kwamba amejiunga na Chama hicho ili kuimalisha nguvu ya upinzani nchini.

Amesema kwamba kumekuwepo na changamoto pale inapotokea nchini kuna Chama cha upinzani kimoja chenye nguvu kikayimbishwa.

Akiulizwa swali na Mwandishi wa Habari: Kwamba kumekuwepo na madai kwamba anatumika kutokana na kuwai kuwa mtumishi wa umma kwenye nafasi ya Jeshi la Polisi, amejibu kwa kusema kwamba wanaosema hivyo ni wavivu wa kufikiri.

Ameongeza kwamba yeye siyo mtumishi wa kwanza kutoka kwenye vyombo vya usalama kuingia kwenye siasa mara baada ya kuacha utumishi.

Amesema ipo mifano mbalimbali ya watu kwenye vyama vya siasa ikiwemo CCM ambao wamepata nafasi za uongozi mara baada ya kuacha utumivishi wao kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.

Akijibu swali kwamba alikuwa Chama gani awali kabla ya kujiunga na ACT Wazalendo, amesema alikuwa kwenye Chama cha Chadema.

Amesema kwenye Jimbo ambalo yeye anatarajia kugombea hakuna Afisa yoyote wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ambaye ataweza kupoka ushindi ambao ataupata, amesisitiza kwa kusema kwamba Mtu wa aina hiyo hayupo.

Kuhusu msimamo wake juu ya 'No reform No Election'

Amesema kwamba lengo la Chama chochote ni kushika madaraka, ambapo amesema kwamba akiwa na Chama cha ACT Wazalendo watatumia fursa hiyo kuonesha umma kuhusu uhalisia wa mabadiliko ambayo anadai kwamba CCM wamekuwa wanasema yamefanyika pamoja na kauli za kuaminisha umma kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki.

endelea kuota mchana
Usitegemee huruma ya CCM wakuachie jimbo

Octoba sio mbali, si tutaona!
 
Sasa chama cha wanafiki kinazidi kukusanya wanafiki.
 
Kuna namna naona kabisa CCM itatoa majimbo kama 50 Kwa wapinzani waliowalenga kujinasua na hii Hali. Sidhani watu wanahama Chadema pasipokuwa na maelewano Fulani. Chauma lazima wataambulia nafasi kadhaa uchaguzi ujao
 
M
endelea kuota mchana
Usitegemee huruma ya CCM wakuachie jimbo

Octoba sio mbali, si tutaona!
We lofa sana, ina maana kule Ikungi Lissu aliachiwa jimbo?? Njooni tushindane, acheni kuleta sijui no nini sijui, mnajua watu wanawazingua tu wamewagundua kuwa mnatumika na wazungu wapenda ushoga, kwenye uchaguzi hamtoboi, mmeona bora mlete watu kuja kuhamasisha vurugu nchini, pumbavu nyie.
 
leta tume huru ya kweli, sio hii ya kina makame, na ufanye uchaguzi huru na wa haki tuone kama mama yenu atatoboa!
 
Back
Top Bottom