PreGE2025 Peter Madeleka ajiunga na Chama cha ACT Wazalendo

PreGE2025 Peter Madeleka ajiunga na Chama cha ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
wacha erythrocyte aje aseme huyo hakuwahi kuwa chadema anakuja sasahivi kukanusha maana anaona aibu sana watu wakitoka chadema kwenda chama kingine
 
leta tume huru ya kweli, sio hii ya kina makame, na ufanye uchaguzi huru na wa haki tuone kama mama yenu atatoboa!
Lissu alitoboaje ikungi?? Kwanza tuanzie hapo!
 
Kwanini upinzani tu ? hapo ndipo siasa nashindwa kuielewa elewa "Eti kuimarisha nguvu ya upinzani" kama kweli ni wadau wa maendeleo kwanini wasijiunge na watu au upande ambao ndio unaratibu maswala ya maendeleo kutoa mawazo yao kwa pamoja na kusaidia maswala ya kimaendeleo
 
M

We lofa sana, ina maana kule Ikungi Lissu aliachiwa jimbo?? Njooni tushindane, acheni kuleta sijui no nini sijui, mnajua watu wanawazingua tu wamewagundua kuwa mnatumika na wazungu wapenda ushoga, kwenye uchaguzi hamtoboi, mmeona bora mlete watu kuja kuhamasisha vurugu nchini, pumbavu nyie.
Unavo jibu hoja za wanaume uwe una kaza mat*ko
 
Screenshot_2025-01-10-12-51-36-1.png

😁😁 wengine wanatafuta HAKI kwa Watanzania wote wengine wanataka VYEO binafsi.
 
Mimi ningependa tuu wawe wanaweka ada ya usajili kama. Mpira ili tujue kasajiliwa kwa Tsh ngapi ?
 
Wajinga Ndio waliwao! Once a cop always a cop!
Tulopita huko kwa trainings tunaelewa
 
Peter Madeleka avunja ukimya, aachana na msimamo wa “No Reform, No Election” wa CHADEMA na kutangaza rasmi kujiunga na ACT-Wazalendo, akisema ni wakati wa siasa za vitendo na si kauli zisizo na mwelekeo.
IMG-20250520-WA0075.jpg
 
Peter Madeleka avunja ukimya, aachana na msimamo wa “No Reform, No Election” wa CHADEMA na kutangaza rasmi kujiunga na ACT-Wazalendo, akisema ni wakati wa siasa za vitendo na si kauli zisizo na mwelekeo.View attachment 3340115
Just because amehama chama haimaanishi urafiki umeisha
Politician or not, madeleka ana every right ya kupambania ndoto yake
 
Just because amehama chama haimaanishi urafiki umeisha
Politician or not, madeleka ana every right ya kupambania ndoto yake
Kisichotakiwa ni unafki hakuna mtu anakatazwa kuhama chama.

Uzuri mmoja amesema yeye anataka madaraka, kwahiyo ameeleweka kwakuwa muwazi.

Baada ya ccm kuhamisha masanduku ya kura ndio akili zitamrudia Lisu anasimamia nini.
 
Hakuna kilichomkuta zaidi ya kufanya anayoona yanafaa bila kuvunja sheria. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuongozwa na Lissu.
 
Peter Madeleka avunja ukimya, aachana na msimamo wa “No Reform, No Election” wa CHADEMA na kutangaza rasmi kujiunga na ACT-Wazalendo, akisema ni wakati wa siasa za vitendo na si kauli zisizo na mwelekeo.View attachment 3340115
anataka kugombea Tabora mjini...chadema haitshriki, sasa kama ana ndoto za hela nyingi za bure za ubunge lazima ahame. He was in chadema kutafuta fursa na si kupigania haki
 
Back
Top Bottom