kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,484
Kama ni Muha basi sinaswali...
Madeleka hajawahi kuwa mwanachama wa Chadema, huyu alikuwa CCM.Binafsi nampongeza madereka
Najua amejiunga Act ila hatujaona akikabidhi kadi chadema na kupewa ya Act issue haponi kuwa madereka ametafuta platform ya kugombea ameona kwa Kuwa Act Kuna fursa akaona Bora aende uko agombee
Nina hakika reform zitakiwazo na chadema zikifanyika madereka atarejea nyumbani kwake na kuvaa gwanda ahahahahah
Aiseeee leo ni bandika bandua! Kila sehemu moto! Mzee wa kesi katimkia zake ACT Wazalendo bana, yeye hajataka kwenda kula ubwabwa😂😂
=====
ACT Wazalendo wanafanya mkutano na waandishi wa habari muda huu Makao Makuu ya chama Magomeni, Dar es Salaam Mei 20, 2025
Isihaka Mchinjita - Makamu Mwenyekiti Bara ACT
Mkutano huu umefanyika ukiwa na lengo la kumpokea mwanachama mpya - Peter Madeleka katika chama hicho.
Mara nyingi wapinzani kutagazwa kwenye majimbo waliyoshindwa lazima vurugu zitokee Wenje kutangazwa Nyamagana mpaka geti la jiji lilivujwa kwa nguvu ya Umma ilo ndo Chadema hawatakiM
We lofa sana, ina maana kule Ikungi Lissu aliachiwa jimbo?? Njooni tushindane, acheni kuleta sijui no nini sijui, mnajua watu wanawazingua tu wamewagundua kuwa mnatumika na wazungu wapenda ushoga, kwenye uchaguzi hamtoboi, mmeona bora mlete watu kuja kuhamasisha vurugu nchini, pumbavu nyie.
Ndio waje ulingoni tuone kama wanakubalilka watashinda tuMara nyingi wapinzani kutagazwa kwenye majimbo waliyoshindwa lazima vurugu zitokee Wenje kutangazwa Nyamagana mpaka geti la jiji lilivujwa kwa nguvu ya Umma ilo ndo Chadema hawataki
Mpaka damu zimwagike ndo mpinzani atangazwe kweli?Ndio waje ulingoni tuone kama wanakubalilka watashinda tu
Au alitamani nafasi ya wakili mkuu wa chama 😂Kumbe Madeleka amekimbia Chadema kwa kuwa akiwa huko hataweza kugombea!
Vv