Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

Ccm kwisha habar habar yake,inategemea TISS,Jeshi la Polisi (policcm),tume mbovu ya uchaguzi na mahakama...ccm mwisho October
CCM ikishachkua ushindi October tunawakusanya chadema wote kisha tunaanza kuwapiga nyungu mmoja mmoja.
usiku kucha mpaka hasubuhi mnaloweshwa nyungu.
 
Chadema Mara zote hizo imekua ikipewa hati Safi, kwa utouh, Assad na wa sahivi hawakuona hizo quarrel acha upotoshaji, Kama wasingeziona hizo resit lazima kwenye report wangeandika
Hivi unafahamu Auditor anachohitaji akiwa anafanya auditing?
 
Hivi unafahamu Auditor anachohitaji akiwa anafanya auditing?
Chadema kapewa hati Safi miaka yote hiyo unataka useme Nini, na CAG anamamlaka kikatiba, kwa hiyo unataka kusema lijualikali ni smart Zaid ya hao CAG waliopitia, ndo maana Magufuli anawapa kipaumbele watu wanaotoka upinzani
 
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba...
Huko ccm unakoenda nafasi ya ukatibu mkuu na ya mweka hazina huwa zinapatikanaje? Ni za kuchaguliwa au ni za kuteuliwa na mwenyekiti?kweli wabunge wa morogoro ni vilaza Sana wakiongozwa na Mlinga
 
Yote haya ya nn Kama ukiondoka kimywa kimya shida ni Nini.Nawashauri wabunge wakihama vyama wahame kimya kimya.

Wakihama na kukaa kimya mnawatukana mara wana njaa mara wasaliti na kila tusi, sasa wao nao wakija na majibu mnasema wakae kimya,
Sasa mliwatukana kwa nini? Vuneni mlichopanda.
 
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba...
U
tenor.gif
 
Vijana nawapa ushauri tu siasa nisehemu yakupata maisha makubwa / Wanaokula mema ya hii nchi niwanasiasa tu,,,,sasa watu tutafute hela la sivyo tutakaa kulalamika kwa Mbowe na Magufuli mpaka kifo.
 
CDM Kilombelo iliimalishwa na yule Binti RIP Regia Mtema, huyu Bwn Mbunge kapitia huo upepo. Sasa CCM wambebe arudi Bungeni sijui atakuwa na sera gani?

Vijana aina hii hawajielewi, wanatekwa na pumba kama panya!!
 
Kuna nguvu kubwa sana kwenye kukaa kimya tambueni hata ubunge kushinda ni kwa nguvu ya chadema na sio nyie wenyewe jifunzeni kwa Joshua nassari alisepa kimya kimya ingawa baadae akijua a lipokosea akalamba mpunga wa ccm akachill kimya.
 
Back
Top Bottom