Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

Mkuu CHIPESI NAMISUKU sijui KIPENSI NA KASUKU umeajiriwa lini pale Lumumba B7?

Najua wewe,Bia yetu na wengineo mko humu jukwaani kimkakati. Ila swali langu liko pale pale:umeajiriwa lini kuchukua nafasi ya stroke ?
 
Akishamaliza ya Chadema ahamie CCm,Kuna waziri katumbuliwa kwa ufisadi tunaona kimyaaaa yupo tu kitaa,kuna trillion 1.5 nayo kimyaaa,hakuna anayehoji,yote yanayofanywa nje ya utaratibu ayaseme Sasa maana yeye ni bingwa wa kuibua uozo,vinginevyo na yeye atakuwa mnafiki tu kama wale wengine
Mlango alioingilia ndio atavurushiwa siku akihoji hayo
 
Zama zimebadilika rafiki,endelea kujifariji kwa maneno matamu ukweli utaupata October
Kwa lipi? Chadema iingekwisha Zitto alipotolewa, Chadema kingekwisha Dr Slaa alipotoka. Hizi tuhuma za hawa jamaa mbona ni za siku nyingi sana. Cdm is here to stay.!
 
Zama zimebadilika rafiki,endelea kujifariji kwa maneno matamu ukweli utaupata October
October hamtaamini macho yenu, bahati nzuri mnajua watanzania wako upande upi ndio maana kila siku kuhangaika na Chadema.
 
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba
Wewe itakukuwa ni kijana wa form 2 au wewe ni demu sio kwa uandishi huu

Eti uoxo
 
Lijuakali analalamika kuwa na yeye ALINYANYASWA KINGONO huyu jamaa ni kero
 
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba:
Mimi jina lake tu linaniachaga hoi;🤣 LI jua LIkali (LI hot LI sun).
 
Waa-Afrika walio wengi ni watu cheap sana, wana tabia sawa na fisi, ndo maana ningumu kwa makampuni makubwa kumwajiri mwafrika katika nafasi za juu, hata timu zetu za taifa na vilabu viko bize kuwaajiri makocha wazungu.

Ukienda kwenye viwanda vingi Tanzania production manager wengi ni wahindi, hii yote ni kwa sababu waafrika walio wengi hawana msimamo na ni ndumi la kuwili

Ntashangaa sana ccm watampa nafas mtu cheap kiasi hiki, huku watu waliopigania chama wakaachwa.
Cheap kwa kuwa amesema.ukweli au?
 
Kwa hiyo anajiliza ili kusisitiza. Ananikumbusha sinema za Chale mnene na mwembamba. Wakiishaharibu walikuwa wanajiliza sana mbele ya polisi na hakimu.
Wewe kuchangishwa pesa ukiwa jela ni vizuri? Alafu mmiliki wa chama anazikwapua.
 
CAG huwa anaangalia risiti tu. Ndio maana akikiso risiti za malipo anahoji. Sasa kama risiti za chama zinalipa madeni hewa? Yaliyotengenezwa na Chairman?
Chadema Mara zote hizo imekua ikipewa hati Safi, kwa utouh, Assad na wa sahivi hawakuona hizo quarrel acha upotoshaji, Kama wasingeziona hizo resit lazima kwenye report wangeandika
 
Back
Top Bottom