Pete katika ndoa

...bado natanzika na swali hili...

..........Mbu wengine wanaivaa kwa ajili ya jamii inayowazunguka tu na wala si kiapo wala nini! Ajulikane naye ameoa/olewa hata kama ni ndoa 'hewa'. Ila kuna wengine wanavaa kama PROTECTION eti wasitongozwe ovyo! Mfano mtu ambaye ameoa/olewa lakini ndoa ikaepa....LOL

Haya nilikuwepo:A S 103:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Huwa natamani tungeishi yale maneno wakati tunavalishana pete ...........kuliko kuzivaa wengine huwa zinawachubua inabidi wazivue kwa mujibu wa maelezo.
 
Symbolism of love and devotion "a circle" which means forever.. thats why some people use diamond rings signifying that diamonds are forever (hence the marriage being forever)

Na inavaliwa mkono wa kushoto kidole inachovaliwa sababu historically watu walikuwa wanaamini kwamba kuna vein inayotoka kwenye moyo mpaka kwenye hiki kidole (kwahiyo ukivaa kwenye hicho kidole unasignify close to the heart)

Kwahiyo in short its just symbolic and traditional
 
...LOL...miaka mitatu imepita tangu umetoa jibu la kwanza. Mwenzio hata sikumbuki
nimeziweka wapi zangu,...[uligusia mwanaume ni kiashiria cha utunzaji wa familia]
Haya, natafakur majibu ya RR Hapa chini;

Kwa wafuasi wa vatikani

A: B pokea pete hii....iwe ni ishara ya uaminifu wangu kwako........
B: A pokea pete hii....iwe ni ishara ya uaminifu wangu kwako........

Er....am sticking to that!

lahh,...RR, hivi uaminifu 'wanaouzungumzia' ni upi bana.
Mimi najionea viroja tu haya mambo ya pete.
Hata mtu avae pete yenye vimulimuli, naona pete
imeshapoteza maana...
 
207317_10150138608128235_186498368234_6527991_1645896_n.jpg

...hiyo pete uliyoivaa ("ya ndoa") maana yake nini?
:(
Swala la pete siku hizi kuna mitazamo miwili
Kwanza ni watu kuvaa pete ili waonekane wanamajukumu mazito ya familia huku wasiweze kutimiza majukumu hayo.
Pili pete zinavaliwa ili mradi mtu aonekane kuwa ameolewa na ana heshima ndio maana sasa utakuta mwanamke ameolewa avai pete na mwingine ajaolewa na anavaa pete ili aweze kuwateka vijana wa leo wanaopenda kulelewa na wake za watu......

pete iwe na heshima kwa watu wote kama mungu alivyoagiza kuwa ndoa iheshimiwe na watu wote..............pete si pambo bali huonesha maungano matakatifu ya wawili walioamua kula kiapo cha mpaka kufa.
 
lahh,...RR, hivi uaminifu 'wanaouzungumzia' ni upi bana.
Mimi najionea viroja tu haya mambo ya pete.
Hata mtu avae pete yenye vimulimuli, naona pete
imeshapoteza maana...

Ufisadi uko kila mahali mkuu....
Morals hazipo....ila bado haiondoi maana halisi ya pete....ishara ya uaminifu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...LOL...miaka mitatu imepita tangu umetoa jibu la kwanza. Mwenzio hata sikumbuki
nimeziweka wapi zangu,...[uligusia mwanaume ni kiashiria cha utunzaji wa familia]
Haya, natafakur majibu ya RR Hapa chini;

Ah....................Ina maana we Mbu huna?
Ulikuwa nazo ukavua au bado huja'shurtishwa" kuvaa? LOL

lahh,...RR, hivi uaminifu 'wanaouzungumzia' ni upi bana.
Mimi najionea viroja tu haya mambo ya pete.
Hata mtu avae pete yenye vimulimuli, naona pete
imeshapoteza maan
a...

..................Haifai kukata tamaa kiasi hicho!! je kama mwenzio anaamini katika pete?!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Huwa natamani tungeishi yale maneno wakati tunavalishana pete ...........kuliko kuzivaa wengine huwa zinawachubua inabidi wazivue kwa mujibu wa maelezo.

...lol, Chauro...hha hhaa hha...eti kwa mujibu wa maelezo "zinatuchubua!," kweli bana,...mimi hujiskia kama kidole hakipumui!

Symbolism of love and devotion "a circle" which means forever.. thats why some people use diamond rings signifying that diamonds are forever (hence the marriage being forever)

Na inavaliwa mkono wa kushoto kidole inachovaliwa sababu historically watu walikuwa wanaamini kwamba kuna vein inayotoka kwenye moyo mpaka kwenye hiki kidole (kwahiyo ukivaa kwenye hicho kidole unasignify close to the heart)

Kwahiyo in short its just symbolic and traditional

VoR,....hapa umenirudisha kwenye jibu la;

...ni hali ya binadamu kupenda kuweka alama yake. kama wanyama wanavyo kojoa kuwaonya wengine.

...lol!...ati kuwaonya wengine,...watu hawaogopi pete siku hizi, hata uvae kubwa kama kinu!
 
Ufisadi uko kila mahali mkuu....
Morals hazipo....ila bado haiondoi maana halisi ya pete....ishara ya uaminifu!

...sii ndio hapo hon.RR....unajua mimi natanzika wapi? kwenye kiapo panasemwa "mwenzangu, pokea pete hii ikiwa ni alama na uthibitisho wa upendo wangu kwako".... au nimekosea?...inamaana ni alama na ishara kwa mwenza wake tu, Period... ruksa kuivua nikishatoka nyumbani (!?)

Ah....................Ina maana we Mbu huna?
Ulikuwa nazo ukavua au bado huja'shurtishwa" kuvaa? LOL

..................Haifai kukata tamaa kiasi hicho!! je kama mwenzio anaamini katika pete?!!

Mwj1 wangu jamani, pete nimeivalia rohoni.
Kidoleni inanichubua [ref maneno ya Chauro,] na ile nyingine inanipwaya :(

kwahiyo tunaotaka kuoa tuachane na Pete?

...lol...inategemeana na imani yako juu ya pete hiyo. Una hiari ya kuwasikiza RR na MwanajamiiOne,
au Chauro aliyeandika wengine zinawachubua vidole.

Ila natanzika na wale ambao wakikuona na pete utadhani nyuki wameona asali,...!
Kwanini lakini? Yaani bila pete mtu waonekana mkora tu? [hapa nazungumzia w'wake wanaovutiwa na
wanaume wenye pete]

Dah - Hii post imenikumbusha Pete yangu iliyopotelea PR Guest House miaka hiyoooooooo!

LOL...Baba_Enock,..ulipoivua hiyo pete na uaminifu uliuvua hapo, au uliivua kwakuwa ilikuwa inakusuta?
Timbwili lake lilikuwaje nyumbani Mama_Enock alipokuuliza pete iwapi?
 
Ni ishara ya ndoa halali ya wawili walioamua kupendana maisha yao yote hapa duniani na kwamba hawatoachana japo ni kinyume kwa wanandoa wengi hususani wabongo wanaooa ucku na kuacha mchana. Ni vema tukazitumia kama zinavyomaanisha na sio kuchakachua.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...sii ndio hapo hon.RR....unajua mimi natanzika wapi? kwenye kiapo panasemwa "mwenzangu, pokea pete hii ikiwa ni alama na uthibitisho wa upendo wangu kwako".... au nimekosea?...inamaana ni alama na ishara kwa mwenza wake tu, Period... ruksa kuivua nikishatoka nyumbani (!?)

Haha haha hah ngoja nicheke kimafungu mie....duh Mbu hebu punguza kufikiria mambo katikati ya mistari...utakosoa kila kitu mydia.

Huoni inatamkwa "Mwenzangu: lakini inatamkiwa mbele ya Kadamnasi?

Mwj1 wangu jamani, pete nimeivalia rohoni.
Kidoleni inanichubua [ref maneno ya Chauro,] na ile nyingine inanipwaya :(

............MWe haya darl mie 'ntajiaminisha' tu kuwa ume'ivaa' moyoni but na hizi long-distances; mihangaiko ya maisha baba kapinda kushoto, mama kulia, mara misafarani bila kuwa nayo nawe utajiaminisha tu kweli?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahaaaaaa hukuiweka rehani baada ya kukosa hela ya malipo acha kutuzuga bwana...........Halafu siku hizi watu hawazivui ,tena unakuta pete limejaa nusu kidole mkono huo huo umekumbatia guberi...........zamani kidogo mtu akifanya upuuzi wake anaiweka mfukoni akikaribia kimlango cha home inarudishwa kulikuwa na kauoga fulani nafikiri.

Dah - Hii post imenikumbusha Pete yangu iliyopotelea PR Guest House miaka hiyoooooooo!
 
Kama nilivyokwisha sema wanapenda sana wanawake wakiona mwanaume amevaa pete na wanawake pia wakiona wanawake wamevaa pete basi ujue kuwa pete ni kama ua kwa nyuki hilo halina ubishi tumejawa na upungufu wa uaminifu....
Imani za waliowengi ni kuwa mtu akiwa na pete basi atakuwa ametulia ndio maana watu wanakuwa wanavutiwa kama ua linavyovutia nyuki bustanini.
 
Alosema nani kuwa cheaters wanavua pete. Watu wanaocheat in most cases wanacheat na watu wanaofahamu fika kuwa huyu ni mke/mume wa mtu. Tusidanganyane kuwa wanawake/wanaume huvua pete ili wasijulikana kuwa wana commitmentkabla ya kufanya ufuska wao. Pete haivuliwi na bado watu wanazini kama kawaida. I wonder hata kama wanakumbuka kuwa wamevaa pete za ndoa na maana ya pete hizo.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom