BANGAMBONDA
Member
- Jul 14, 2011
- 7
- 2
Sasa kama hivyo ndivyo, yule aliyekatika kidole hicho au vyote atakuwa na nafasi gani ya kujieleza kialama?
...Lohhh, Mwj1 samahani nimechelewa kukujibu...nilikuwa kibaruani nikichangia pato la taifa.
Well, hisia zangu kwa pete ile niloamua kuivua haikuwa zaidi ya kujifeel betrayed!...
Yaani kila nikiivaa, maneno yananirudia yale ya "...ni ishara ya uaminifu wangu kwako!"...wakati hapakuwa na
uaminifu huo...nikajiamulia hii pete inanizibia mzunguko wa damu tu kidoleni.
Kama wenzangu na mie wameamua kufa na tai shingoni japo pete zinawabana haya...'hiari yashinda utumwa!
...LOL...miaka mitatu imepita tangu umetoa jibu la kwanza. Mwenzio hata sikumbuki
nimeziweka wapi zangu,...[uligusia mwanaume ni kiashiria cha utunzaji wa familia]
Haya, natafakur majibu ya RR Hapa chini;
lahh,...RR, hivi uaminifu 'wanaouzungumzia' ni upi bana.
Mimi najionea viroja tu haya mambo ya pete.
Hata mtu avae pete yenye vimulimuli, naona pete
imeshapoteza maana...
ngoja waje wenyewe, ila inaonesha u are so taken.
Ahsante@NKAMI Lakini hizi pete zimekuw zikihushwa pia na mambo ya majini na ushetan kwa kiwango kikubwa, je nikisema moja kwa moja kuwa hili linaashiria kuwa pete utumwa/ufungwa/ ni sawa?
Ahsante@NKAMI Lakini hizi pete zimekuw zikihushwa pia na mambo ya majini na ushetan kwa kiwango kikubwa, je nikisema moja kwa moja kuwa hili linaashiria kuwa pete utumwa/ufungwa/ ni sawa?